Kikwete akutana na uongozi wa CHADEMA Ikulu; Dr. Slaa ndani

Nilikuwa najiuliza kila siku ni akina nani wamharibia mkuu wa kaya? Kumbe ni akina Pasco. Shida zao ni kuona dr ws anasalimiana mkulu bac na si jambo au mambo yatakayotuliza hali ya hewa inayotishia nchi yetu.
 
  • Thanks
Reactions: BAK
Baada ya kikao hiki, hatutategemea kuona kodi za wananchi zinatumika vibaya kwa maandamano yasiyo na tija.
Yaliojadiriwa hatuyajui,na walilokubali,kutokukubaliana hatujui,vile vile unaweza ukawa urafiki wa muda na mashaka.
 
Dr. Slaa aliposema this is not an isolated issue we ulimwelewaje?

Naona na wewe ni victim wa kushindwa kusoma btn lines...

Ok it's not an isolated issue sawa,sasa ametumbia nini baada ya kauli hiyo kuhusu walichozungumza?-"wakati muafaka ukifika" basi na sisi tusubiri wakati muafaka ufike tujue kilichomzungumzwa ndio tujadili,kwa hatuna cha kujadili ndio maana unaona watu wanashindana kutafsiri picha,wengine wanauliza kwanini falani alikua anacheka sana wengine wanazumgumzia vimiminika vile pale mezani,wengine wanamsimanga mpanda kaburi kuitafuta picha ya jakaya na slaa wakipeana mikono n.k.hakuna cha kujadili je?
 
Nakuaminia mkuu, umewaambia kweli, Mukama alipowatuma kuitetea CCM humu JF wao wakadhani wameambiwa kuja kuishambulia CDM wakasahau kuelezea mafanikio ya CCM kama yapo ndio maana utakuta kama hakuna thread inayozumngumzia Chadema au Slaa huwa wanaanzisha wenyewe ili wapate cha kuandika.

Mzee hivi wewe ni ccm ama chadema au uko kote kote ?maana naona uko busy kufanya kazi za makada wa ccm Bashe,Hamis Mngeja na Peter,hebu tuweke wazi,unajua upinzani umekuwa ukipata mafanikio hafifu kutokana na kuwa na mamluki wa dizaini yako,mchana mnakua wapinzani lakini usiku ccm damu.Unawasema jamaa wa ccm kudandia mambo ya chadema wakati wewe mwenyewe kutwa hutembei na bango la slaa unatembea na bango la kuipigia debe ccm!

chadema na hii kauli yako hapa chini mbona ni kama kifo na usingizi,yani viko tofauti sana...cdm muwe macho na watu kama hawa

"Only in Tanzania-Edward Ngoyai Lowassa for CCM chairman 2012"
 
Pasco usitake kutufanya hatukuelewa lengo lako, limeshindwa sasa unajifanya unataka tujadili, tujadili nini wakati ulichokuwa unataka ni picha tu? huwa sipendi unafiki na wanafiki.
Ndugu yangu feedback una matatizo gani?!. Nilitaka picha tangu kule Ifakara nikakosa, sasa picha ndio hii imepatikana kosa langu lipi au unafiki wangu ni upi?. Kwani waliosema kwa maneno accompanied na statement ya kutomtambua JK ndio mimi?!. Kwa kutaka tuu picha wakisalimiana ndio nimekuwa mnafiki?!. Jee sasa nikiibuka na dai jingine kuwa picha tuu haitoshi, tunataka na statement ya "Sasa Tunamtambua", mtajibuje?.

"We seriously needs leaders who practice what they preach!." Pasco.
 
Mkapa aliweza kwa mazingira yale.temper ya nchi inalazimisha maridhiano.hali si nzuri mkuu hakuna jinsi.
No mkapa pia alikua na changamoto inayofanana au zaidi ya hii upande wa pili wa muungano,tena bora ya hii cha mtoto ile ilidumu katika kipindi chake chote cha utawala na presha ilikua kubwa zaidi lakini hakuonekana kujali hata kelele za jumuiya ya kimataifa!kwa hili la juzi credit zingine lazima ziende kwa jakaya,tuwe wakweli,tusiingize ushabiki katika mambo mazito kama alivyosema bwana Slaa!
 
Hahahahahah lol! kwanza ulisema umesoma literature sidhani kama kusoma kwako literature kunakupa ruhusa ya kuja hapa jamvini na kuzuga watu. Waliosoma literature hapa jamvini wapo wengi tu. Fani yako kama inakufanya uwe impartial basi naona huitendei haki kabisa fani yako maana mara nyingi sana hapa jamvini umeikandamiza CHADEMA na hata kumpigia debe fisadi Lowassa waziwasi, sijui mwenzetu unakiona kipi toka kwa Lowassa hadi umfagilie kiasi hicho, labda utapata muda siku utueleze. Amekuwa madarakani miaka chungu nzima lakini sidhani kama unaweza kupinpoint chochote kile alichowahi kukifanya akiwa madarakani kwa maslahi ya Tanzania na Watanzania zaidi ya kujikusanyia utajiri kupitia migongo ya walipa kodi wa Tanzania.

Wiki chache zilizopita kulikuwa na mjadala kwenye TV nadhani ulihusu katiba mpya na wewe ukamtwanga swali Tundu Lissu (kama sikosei) swali ambalo lililenga kumuadhiri. Pia katika kumzodoa kwako Dr Slaa ungeweza kabisa kuandika Kikwete kamkacha Dr Slaa katika mazishi ya Regia maana hata Kikwete bila shaka alimuona Dr Slaa katika mazishi yale na angeweza kabisa kumfuata kwa nia ya kumsalimia kama akgekuwa na nia ya kufanya hivyo, lakini hakuuona umuhimu wa kufanya hivyo. Basi na wewe ulipoliona hilo ukaona umejipatia nafasi nyingine ya kumpiga dongo Dr Slaa kwamba kamkacha Kikwete mazishini.

Usijifiche nyuma ya pazia la eti "nimesoma literature" au "Fani yangu inanitaka niwe impartial." Ukiona mashambulizi yanazidi dhidi yako hapa jamvini unataka kuzuga watu kwamba umesoma literature au fani yako inakutaka uwe impartial lakini kwa taarifa yako tumeshakushtukia kwamba wewe unacheza kwenye kambi zote mbili huku ukiwa umeegemea zaidi upande wa Magamba tena unafanya hivyo kwa maslahi yako zaidi badala ya maslahi ya Tanzania na Watanzania. Bado ni mapema mno Mkuu kuweza kuchagua bega ama la magamba kupitia mgombea wako Lowassa au la CHADEMA nakuomba ufanye maamuzi haraka badala ya kutaka kuendelea kuzuga watu hapa jamvini.

Jumapili njema Mkuu.
Asante BAK nimekusikia na nitatekeleza kabla ya uchaguzi wa 2015 kwani nami nitatupa karata yangu mahali nikicheza na timu ya washindi na sio kubahatisha!.
 
  • Thanks
Reactions: BAK
Asante BAK nimekusikia na nitatekeleza kabla ya uchaguzi wa 2015 kwani nami nitatupa karata yangu mahali nikicheza na timu ya washindi na sio kubahatisha!.

Kila la heri Mkuu katika maamuzi yako, na kama utaamua kugombea Ubunge basi usisite kabisa kuja hapa jamvini ili tukupigie debe la nguvu katika kufanikisha nia yako.

La kushangaza pia katika moja ya hayo maandiko alisema kuwa jamaa Afya mgogoro. Akawataka walio karibu na Lowassa wamshauri apunguze kunywa maji ya uhai.

Hivi lazima Rais ajaye 2015 atoke CCM? Baada ya miaka 34 bado hawajachoka kui-cameroon hii nchi na wananchi wake?
Mkuu Nonda, one doesn't have to be a great thinker to read in betwen the lines, hivyo kama na wewe uelewa wako ndio huo, aendelea kuna wachache wanaonisoma na kunielewa!.

Bado nasisitiza kuendelea kumsafisha EL awe mgombea wa CCM na ni kwa kupitia kwake, Tanzania itapata ukombozi wa pili wa ukweli!.
Now back to the topic, bado naitafakari ile picha ya wakisalimiana!. Ni picha zaidi ya picha, wale ambao uwezo wao ni kuona picha tuu, endeleeni kuiona its just a picture na sisi tunaongalia beyond the simple picture acha tuendelee kuikodolea macho!.
 
Ok it's not an isolated issue sawa,sasa ametumbia nini baada ya kauli hiyo kuhusu walichozungumza?-"wakati muafaka ukifika" basi na sisi tusubiri wakati muafaka ufike tujue kilichomzungumzwa ndio tujadili,kwa hatuna cha kujadili ndio maana unaona watu wanashindana kutafsiri picha,wengine wanauliza kwanini falani alikua anacheka sana wengine wanazumgumzia vimiminika vile pale mezani,wengine wanamsimanga mpanda kaburi kuitafuta picha ya jakaya na slaa wakipeana mikono n.k.hakuna cha kujadili je?
Kama siyo an isolated issue na keshasema watatoa taarifa shida ikwapi?

Hama hujui ni issues gani they're standing for?

Ndo mjadala ulipo.
 
Mzee hivi wewe ni ccm ama chadema au uko kote kote ?maana naona uko busy kufanya kazi za makada wa ccm Bashe,Hamis Mngeja na Peter,hebu tuweke wazi,unajua upinzani umekuwa ukipata mafanikio hafifu kutokana na kuwa na mamluki wa dizaini yako,mchana mnakua wapinzani lakini usiku ccm damu.Unawasema jamaa wa ccm kudandia mambo ya chadema wakati wewe mwenyewe kutwa hutembei na bango la slaa unatembea na bango la kuipigia debe ccm!

chadema na hii kauli yako hapa chini mbona ni kama kifo na usingizi,yani viko tofauti sana...cdm muwe macho na watu kama hawa

"Only in Tanzania-Edward Ngoyai Lowassa for CCM chairman 2012"
Mzee hiyo signature yangu ni wachache tu wanaoielewa, na inajiuza yenyewe.
 
Makaburini!
Wengine wakilia kuwapoteza wapendwa wao, wengine wakipanda juu ya makaburi kutafuta picha ya kubandika gazetini kesho yake!...ili wauze kwa volumes zaidi!.....huh!

wengine wakilia, wengine wakitafuta picha ya ukumbusho.jpg
 
Ndugu yangu feedback una matatizo gani?!. Nilitaka picha tangu kule Ifakara nikakosa, sasa picha ndio hii imepatikana kosa langu lipi au unafiki wangu ni upi?. Kwani waliosema kwa maneno accompanied na statement ya kutomtambua JK ndio mimi?!. Kwa kutaka tuu picha wakisalimiana ndio nimekuwa mnafiki?!. Jee sasa nikiibuka na dai jingine kuwa picha tuu haitoshi, tunataka na statement ya "Sasa Tunamtambua", mtajibuje?.

"We seriously needs leaders who practice what they preach!." Pasco.
Mimi sina tatizo ila tatizo liko kwako kwa tabia za kukurupuka, mara ngapi unatuletea habari za bunge au ikulu bila kuwa na uhakika mwisho unaishia kuomba samahani. Kwa hili la picha lengo lako lilikuwa ni kuonyesha Slaa ana visasi kwa kumkimbia Kikwete lengo ambalo limeshindwa kufanikiwa ukishirikiana na gazeti la Mwananchi, black & white.
 
Kila la heri Mkuu katika maamuzi yako, na kama utaamua kugombea Ubunge basi usisite kabisa kuja hapa jamvini ili tukupigie debe la nguvu katika kufanikisha nia yako.
No situpi karata yangu kwenye uongozi wa kitaifa mimi nitagombea ujumbe wa nyumba kumi huku mtaani kwangu ninakoishi!.
 
Mimi sina tatizo ila tatizo liko kwako kwa tabia za kukurupuka, mara ngapi unatuletea habari za bunge au ikulu bila kuwa na uhakika mwisho unaishia kuomba samahani. Kwa hili la picha lengo lako lilikuwa ni kuonyesha Slaa ana visasi kwa kumkimbia Kikwete lengo ambalo limeshindwa kufanikiwa ukishirikiana na gazeti la Mwananchi, black & white.
Asante!.
 
Nilikuwa najiuliza kila siku ni akina nani wamharibia mkuu wa kaya? Kumbe ni akina Pasco. Shida zao ni kuona dr ws anasalimiana mkulu bac na si jambo au mambo yatakayotuliza hali ya hewa inayotishia nchi yetu.
Dada Jane, asante!. Kumbe ile wish yangu wasalimiane, ndio tunamuharibia JK?!. Haya dada sisi waharibifu tutakaa pembeni tuwapishe nyinyi wajengaji mumjenge!.
 
Mzee hiyo signature yangu ni wachache tu wanaoielewa, na inajiuza yenyewe.

Hata Pasco alianza na kauli hiyo hiyo lakini badae wengi tumemuelewa ukiwemo wewe unaehangaika nae toka jana ukizani atabadilika!Hii kitu haijiuzi yebyewe acha kusema urongo inauiza ccm zaidi kuliko chadema,na inatia shaka na kustaajabisha wewe kama kweli kukiacha chama chako yatima kuungana na kina PASCO unaejidai kuzuga unapingana nae hapa kuipigia debe ccm ambayo haijawahi wala haitokaa iombe msaada wa makada wa kuipigia debe kutoka chadema na kuwabebesha mabango ya kampeni wazunguke nayo kila mtaa mchana kutwa,inao watu wa hivyo wa kutosha kaka!
 
Sasa unataka nini zaidi wakati lengo lenu lilikuwa picha, MKJJ alipotaka kujua wachoongea Pasco unayem support akasema ni uchochezi kujua ya ndani is that right?!
Mkuu mimi na picha wapi na wapi? Natoa maoni yangu sipo kum support mtu. Ukisema jambo ambalo naamini ni kweli nitakuunga mkono. Angalia jambo ambalo nimeunga mkono. Siko kuunga mtu mkono bali hoja kaka.
 
Hongera JK kwa kuanza kuiua Chadema,walikuwa wameutangazia Umma kuwa hawakutambui sasa wanajipendekeza kwako kufuata chai ya ikulu.Nilijua tu wataingia ktk mtego wako wa kuwasambaratisha kwani uwezo wao wa kufikiri ni mdogo sana.CCM ni Chama imara chenye mizizi TZ Bara na TZ Zanzibar lakini hao Chadema ni chama cha upande mmoja wa Muungano wanashindwa na CUF chenye Wabunge Bara na Zanzibar.
 
Back
Top Bottom