kikwete akiwa na madoctor leo

kwa style hii moyo bado unamashaka na utatuzi wa ajenda. Nahisi wameishia kurubuniwa na maneno laini. Jamaa kathubutu kuwapokea na salaam huku mkono moja mfukoni. Tanzania, tanzania!!
 
Ayawi ayawi na sasa yamekuwa! ukiingia ikulu lazma uwe kama mbwa na chatu! kwisg habari yao madokita, kesho kazn kama kawa, ashukuriwe mungu mgomo kwishinei waungwana.

upo sahihi, yani inaonesha dhahiri jamaa ujasiri waliokuwa wanaunesha kwenye vyombo vya habari umeishia kwenye nyayo za viatu vyao.
 
Kila jambo lina mwisho, ila mwisho wake ndo tutaujaji maana iwe makubaliano iwe ni kwa faida ya watanzania (madaktari ni haki yao) bila shaka wasimamie masilahi yao.
 
labda kuna "kitufe" anaponyeza humo mfukoni ili kunyong'onyesha wale ambao wanamzidi maarifa..(si unakumbuka mambo ya mwanza wakati wa kampeni zake za awamu ya kwanza pale kilumba?)
yule muungwana aliyehusika kwenye lile tukio mpaka kesho yupo mangelepa!!
 
jamani madokta kweli wanamatatizo serikali iwasikilize si umeona huyo dokta wa mwisho kulia alivyo vaa kiatu kirefu, bila shaka ni mtumba sio fasheni
 
Hivi hao kwenye picha ni madaktari? amma kweli, wacha wahindi wakatutibu.
 
Labda kuna "kitufe" anaponyeza humo mfukoni ili kunyong'onyesha wale ambao wanamzidi maarifa..(si unakumbuka mambo ya Mwanza wakati wa kampeni zake za awamu ya Kwanza pale kilumba?)

Mwanza hakuna sehemu inayoitwa hivyo, usiseme uongo.
 
jamani madokta kweli wanamatatizo serikali iwasikilize si umeona huyo dokta wa mwisho kulia alivyo vaa kiatu kirefu, bila shaka ni mtumba sio fasheni

Huyo ni jitu la vijijini ndani huko, lilipopata fursa ya kwendaa kwenye semina Ulaya akaona aje kuwakoga watu kwa viatu bab kubwa, hivyo viatu huvaliwa na ma "Joker" wanapofanya fani zao za kwenda kuchekesha watoto kwenye besidei pati.

Jamaa kaona ndio avitoe akaringie navyo Ikulu. Hajui akifanyacho.
 
Jamaa labda ana ulemavu wa miguu, manake kama ana mguu mkubwa hivyo angeungana na Hasheem Thabeet kwenye matangazo ya viatu.
 
419230_254546341297983_100002278567469_536107_850345422_n.jpg

Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akiwakaribisha Ikulu jijini Dar es salaam viongozi wa Chama cha madaktari nchini muda mfupi uliopita. Mkutano wake na Wazee wa Jiji la Dar es salaam umeahirishwa hadi kesho.

mtu akishatinga ikulu, hata kama alikuwa na hasira lazima acheke tu. inaonekana ni paradiso enhee
 
419230_254546341297983_100002278567469_536107_850345422_n.jpg

Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akiwakaribisha Ikulu jijini Dar es salaam viongozi wa Chama cha madaktari nchini muda mfupi uliopita. Mkutano wake na Wazee wa Jiji la Dar es salaam umeahirishwa hadi kesho.

asije akawa ni mwanae wa kumzaa, mbona kama wanafanana
 
ninyi watu,tambueni kuwa mh.Jakaya Mrisho Kikwete bado yupo madarakani na bado ni kiongozi wetu sote.ikiwa uongozi wake ni wamashaka kwenu,ni sawa.ila isiwe ndio sababu ya kumdhihaki na kumkejeli mpendavyo.na mnafanya hivyo ingali yu madarakani.kusema haki ninyi ndio wajinga zaidi yake,maana si tu hamheshimu mamlaka na uogozi mliowekewa bali hata kujiheshim ninyi mmeshindwa.labda mi niwaulize,haya maneno yenu yanampunguzia nini?zaidi ya kuwadhalilisha ninyi!!sasa faida yake ni nini?jamani,embu fanyeni mambo kwa umakini!hu ni ushenzi, uwacheni!!nawaombeni.
 
Mbowe na timu yake walikula gahwa na kashata na biriani la usiku, mpka leo kimyaaa. Kwi kwi kwi...
Mkuu hukuona au walau kusikia muswada wa marekebisho ya katiba? Hukusikia Shelukindo akipendekeza ipigwe kura ya kutokuwa na imani na rais? Hujui hayo ni matokeo ya akina Mbowe kwenda kula kashata na biriani? Inaelekea hukufuatilia kilichofuatia, na ni bora ukae kimya kwani watu wenye akili watakucheka!!
 
Nilichokipenda hapo ni hiki kizazi kilichojitambua, kizazi kilichoamua kukataa ukandamizaji unofanywa na kizazi cha walioachiwa na Nyerere baba. si unaona hamna sura kongwe hapo!Safi sana.
 
Back
Top Bottom