Kikwete akiri tatizo la ajira kwa vijana kuwa 'bomu' linaloweza leta machafuko...

Katika hilo isisahulike kuwa graduates washageuzwa assets as follows;

Mazingira ya ajira yakishayengenezwa ulaji unakuw nje nje maana waandaaji kwanza waanze kupiga kwenye shortlist maana sijawahi kuelew, sielewi na sintoelewa mantiki ya anayejiita HR kuita watu 450 huku nafasi zikiwa ni mbili.

Ikumbukwe wazi kuwa mahali pakufanyia hizo apptitude test huwa panalipiwa wanaJF mnijuze hizo tricks hapo hata kama lugha gongana mpaka mchoro wa picha ten yenye rangi?

Gurudumu litaelekea kwenye kusahihisha posho nazo zitagawiwa kwa wasahihishaji, vipo hapo bajeti iloyopangiwa idara haijasogea?

Call for oral hapo ndo panahusikaga, majibu wengi tunayo.

Game haijaisha kupisha maandalizi ya bomu jamani.

Wanaosem graduates hawataki kujiajiri ebu watuchanganulie namna ambavyo huyo graduate alotoka kupokea hizo hela za bodi tena kwa kupigw a mabomu anavyopata pakuanzia.
 
Kwa Tz na nadhani kwa Africa ajira ni mtihani mkubwa sana kwa watu wasiojulikana/wasio na referees.
Mimi naamini kwa sasa hata usome vipi huwezi pata kazi kwa elimu yaki nzuri tena ukiwa na elimu nzuri bila referee ndiyo hurakiwi kabisaaaaaaa.
Kujiajiri ni vigumu sana coz huwezi jiajiri bila mtaji, uelewa wa unachotaka kukifanya??
 
Ikumbukwe Imeshawahi kutokea kwa mhariri Absolom Kibanda Kupelekwa mahakamani kwa kuchapisha makala ambayo ilituhumiwa kua maudhui yake ni kuwachochea askari kuleta migomo ,hilo likamfanya Kibanda apelekwe mahakamani.

Ktk siku za hivi karibuni kumeibuka wanasiasa ambao wanatabiri kutokea kwa mlipuko wa bomu la ukosefu wa ajira ambalo madhara yake ni makubwa.

Kauli Kama hizi kwa kuziangalia kwa jicho la kawaida lakini ukiziangalia kwa jicho la tatu ni kauli ambazo zina uzito wa hali ya juu kimantiki.

Nini Ubaya wa kauli hizi,
1.Kuwapa Msukumo hasi vijana wakosefu wa ajira kutenda aina yoyote ya uasi/uhalifu kwakua tu wayatendayo yalitabiriwa kutokea.

2.Kuwapa Vijana mioyo ya kutojituma kujiajiri kwakua tu watabiri wa bomu la ajira wengi wao wameilenga serikali kwamba ndio pekee inayoweza kutanzua tatizo la ajira nchini.

Vipi Kuhusu watabiri hawa hawastahili kushtakiwa kwa kauli zao?
 
Exactly kuna haja ya kujua undani wa kauli zao pengine kuna vijana wameshaandaliwa kuonyesha kwa vitendo na hapo ndo hali itakua mbaya zaidi.
Kumbuka yaliotokea Tunisia
 
Mkuu ndio umemaliza ka degree ka sheria nini?

Kwa nini unaogopa kivuli cha mwili wako?

Kwa nini unakimbia ukweli?

Mwl. Nyerere alishawahi kusema vipi mbona hakushitakiwa?

Kawambie hilo ni timing bomu muda wowote litalipuka.
 
Kila siku tunasema bomu la ajira, bomu la ajira, ila mara chache tunatoa mchango jinsi ya kutatua. Tusiwaachie baraza la mawaziri kila kitu. Wao baraza la mawaziri wanaumizwa vichwa na budget ndogo vs deni la taifa....

Hali ni mbaya sana huku mitaani (site), shilingi haina thamani na ajira ni shida sana. Example imagine Graduates 16,000 wanagombe ajira 70, yaani 0.01. Acha technical colleges, acha hospitality,e.tc. Hii ni hatari sana kwa Taifa, hili bomu la ajira litakuwa na impact kubwa sana kwa CCem. Ilani ya Ccem wanayotekeleza, lazima iwe na practical solutions now, sio kuja na ahadi hewa tena 2015.... Ministry of Finance, Ministry of Land, TAMISEMI, PM office

Halmashauri zingeandaa mpango wa kushirikisha wananchi, wananchi wangejiandikisha, wakatoa ada mfano laki 5 kila mtu, then ardhi inapimwa halafu wale waliochangia wanauziwa katika standard price, minus their fees paid.

Halmashauri zingepata income kwa kulipwa kodi.

Waziri wa Ardhi na Waziri wa TAMISEMI wangekaa, wakaamua. Watatoa miongozi, then halmashauri zinatekeleza. Huu Mpango ungetoa ajira kwa vijana waliomaliza vyuo pia.

Pia wangetenga maeneo maalumu ya kilimo na ufugaji kila wilaya.

Wakatoa hati miliki kila kaya na wananchi wakarasimisha mali zao. serikali ikapata kodi. Hii ndo kupanua wigo wa kodi, sio kila kitu kung'ang'ania wafanyakazi kwenye PAYEE tu, ama soda na bia.

Pia Kama maeneo ya Kilimo na ufugaji yangetengwa, vijana wangekodisha haya mashamba ama kumilikishwa, wakalima na kufuga, then ni ajira tosha. Serikali hapa ingepata kodi....
 
Halmashauri zingeandaa mpango wa kushirikisha wananchi, wananchi wangejiandikisha, wakatoa ada mfano laki 5 kila mtu, then ardhi inapimwa halafu wale waliochangia wanauziwa katika standard price, minus their fees paid.

Halmashauri zingepata income kwa kulipwa kodi.

Waziri wa Ardhi na Waziri wa TAMISEMI wangekaa, wakaamua. Watatoa miongozi, then halmashauri zinatekeleza. Huu Mpango ungetoa ajira kwa vijana waliomaliza vyuo pia.

Pia wangetenga maeneo maalumu ya kilimo na ufugaji kila wilaya.

Wakatoa hati miliki kila kaya na wananchi wakarasimisha mali zao. serikali ikapata kodi. Hii ndo kupanua wigo wa kodi, sio kila kitu kung'ang'ania wafanyakazi kwenye PAYEE tu, ama soda na bia.

Pia Kama maeneo ya Kilimo na ufugaji yangetengwa, vijana wangekodisha haya mashamba ama kumilikishwa, wakalima na kufuga, then ni ajira tosha. Serikali hapa ingepata kodi....


Ardhi ikiisha watafanyaje?
 
Ok!! Kila mtu akiwa mkulima nani atakua mnunuzi...???

Elimu yako ni level gani???

Hiyo ni njia ya kupunguza tatizo la ajira.

Wengine wataajiriwa factory, wengine engineers, wengine teachers e.tc and you mention

Na wewe inatakiwa utoe maoni yako.... What do you think can reduce the jobless problem.

Don't just stay idle and ask low question like this, do brainstorm , think and give your contribution
 
Ardhi ikiisha watafanyaje?

Kwa hiyo bora ardhi ikae idle? Wakati baadhi ya vijana hawana kazi?

Bora wawekezaji wa nje wapewe ardhi, halafu vijana wa Tanzania wawe wazururaji, Nguvu kazi ya nchi ipotee?

Na serikali mara nyingi inasema watu wajiajiri, ndo maana kuna wizara ya uwezeshaji..... Ardhi ni capital, vijana watajiajiri bila capital?

Na sio vijana wote watajiajiri, wengine watakuwa teachers, wengine engineers, wengine accounts and you mention

Shughulisha akili yako kidg kutafuta jibu, usiulize swali rahisi hivi......

Bora hata ardhi ikae bure na vijana wakae bila ajira??

Maafisa wa ardhi wamesoma na wanajua jinsi ya kurationalize this issue
 
Nchi yetu ni moja ya nchi zenye utajili mkubwa wa mali asili (natural resources) cha kushangaza cc wahitimu wa vyuo tunashundwA kutumia weledi tuliopata vyuoni......kila siku tunalia hakuna ajira ....inafkia hatua tunapta kz za mikataba kwa Wahindi ambao tunapewa hela ya kujikimu ......kma hii elimu tunayopta inashindwa kutufumbua macho jinsi y a ku extracts resources. .hakuna haja ya kusoma miaka mitati mpka minne na usipte weledi.......
Funzo
.......mm na ww hebu tujalibu kwenda vjijjn tukachukue hzo mali ghafi kwa ajiri ya ustawi wetu na jamii yetu ya kitanzania......mathalani wale waliopta taaluma ya madini...tanzania utajili wa madini kalbia kila mkoa ukitoa yale tunayoyajua kama dhahabu na almas.....pia tuna madini kama ulanga...chokaa...shaba..na makaa ya mawe....it requires only business plan and implement it to bankers. ....


Hebu tuache kujishusha hvo kwa kila kukicha tunazunguka na bahasha kwa wahindi...
 
Back
Top Bottom