Kuhani
JF-Expert Member
- Apr 2, 2008
- 2,944
- 64
... Lakini ninaamini leo hii ukimuita Kikwete kwenye "Meet the Press" ukamuuliza kuhusu kauli yake hiyo kama (I need to be careful here maana Kuhani atatokea na kuuliza KAULI GANI?) anaweza kutoa jibu jingine tofauti kabisa.
Ungejua "you need to be careful" usinge comment kwenye li-tetesi halina kichwa wala miguu. "Kuhusu kauli yake hiyo," kauli gani? Yani unaongelea li hypothetical tu liko hewani hewani!