Yemen yashambulia tena Meli Vita ya USA na meli ya mizigo ya biashara huko Red Sea

kipumbwi

JF-Expert Member
Feb 3, 2015
3,057
8,726
Utawala wa Houthi unaoongoza sehemu kubwa ya Yemen umeshambulia tena Meli Vita ya USA pamoja na meli ya mizigo, huu ni muendelezo wake wa kujibu mashambulizi ambayo USA alifanya wiki 2 zilizopita kwenye ardhi ya Yemen lakini pia ni muendelezo wa ahadi ya Yemen kushambulia kila meli za Israel na washirika wake zinazoenda Israel mpaka pale Israel itapoacha kushambulia Palestine.

Tusome taarifa rasmi ya msemaji wa jeshi la Yemen, Yahya Sarae.

View: https://twitter.com/army21ye/status/1752792554364358989?t=VRHT_3Zb6qcMzKfDCg2spA&s=19
20240131_234849.jpg

In vindication of the oppressed Palestinian people, in support and solidarity with our brothers in the Gaza Strip, and as a response to the American-British aggression on our country.

The naval forces of the Yemeni Armed Forces carried out a specific military operation targeting an American merchant ship "KOI" that was heading to the ports of occupied Palestine with several appropriate naval missiles that directly hit the vessel.

This operation occurred just a few hours after Yemeni naval forces have targeted with several naval missiles the American destroyer USS Gravely in the Red Sea, and hit was accurate and direct.

The Yemeni Armed Forces continue to provide support and solidarity with their brothers in the Gaza Strip by blocking Israeli navigation or those heading to occupied Palestinian ports in the Red and Arab Seas until food and medicine are allowed.

The Yemeni armed forces will confront the American-British escalation with escalation and will not hesitate to carry out comprehensive and effective military operations in retaliation to any British-American foolishness against beloved Yemen.
 
Tusome taarifa rasmi ya msemaji wa jeshi la Yemen.
The Yemeni armed forces will confront the American-British escalation with escalation and will not hesitate to carry out comprehensive and effective military operations in retaliation to any British-American foolishness against beloved Yemen.
Waarabu huwa Hawajifunzi kwa maonyo bali kwa matokeo
 
Utawala wa Houthi unaoongoza sehemu kubwa ya Yemen umeshambulia tena Meli Vita ya USA pamoja na meli ya mizigo, huu ni muendelezo wake wa kujibu mashambulizi ambayo USA alifanya wiki 2 zilizopita kwenye ardhi ya Yemen lakini pia ni muendelezo wa ahadi ya Yemen kushambulia kila meli za Israel na washirika wake zinazoenda Israel mpaka pale Israel itapoacha kushambulia Palestine.

Tusome taarifa rasmi ya msemaji wa jeshi la Yemen, Yahya Sarae.

View: https://twitter.com/army21ye/status/1752792554364358989?t=VRHT_3Zb6qcMzKfDCg2spA&s=19View attachment 2890266

In vindication of the oppressed Palestinian people, in support and solidarity with our brothers in the Gaza Strip, and as a response to the American-British aggression on our country.

The naval forces of the Yemeni Armed Forces carried out a specific military operation targeting an American merchant ship "KOI" that was heading to the ports of occupied Palestine with several appropriate naval missiles that directly hit the vessel.

This operation occurred just a few hours after Yemeni naval forces have targeted with several naval missiles the American destroyer USS Gravely in the Red Sea, and hit was accurate and direct.

The Yemeni Armed Forces continue to provide support and solidarity with their brothers in the Gaza Strip by blocking Israeli navigation or those heading to occupied Palestinian ports in the Red and Arab Seas until food and medicine are allowed.

The Yemeni armed forces will confront the American-British escalation with escalation and will not hesitate to carry out comprehensive and effective military operations in retaliation to any British-American foolishness against beloved Yemen.

Saafi sana maneno machache , vitendo vingi
 
kuna mda unajiuliza wanacho kitafuta nini hawa majambia .wajifunze kwa china wanafanya maendeleo kumshinda adui sio ujinga wakusubiri bikra za kitabu
 
Mnyonge hana cha kupoteza zaidi ya unyonge wake.

USA na Waingereza wanaweza kutishia nchi zenye cha kupoteza, siyo wale waliojichokea mbaya na hapo ugumu ndipo unapokuja.

Hakika, Yemen mwanzo alikua anatungua meli za Israel tu,USA na Britain walipoishambulia kwa ndege,jamaa wakaanza kutwanga meli za USA, Britain na Israel kama Kawa, mpaka sasa meli vita 2 za USA na meli za mizigo za USA na Uingereza zaidi ya 6 zimepigwa makombora,huku za Israel kila wiki angalau meli 3 zinashambuliwa najamaa wala hawaogopi na wala hawajifichi.

Msimamo wao upo wazi,wanafanya hivyo Kuzuia meli zote zisiende Israel mpaka mapigano yasite,wataruhusu kupita meli kwenda Israel ikiwa tu imebeba misaada ya kibinadamu kwa ajili ya Wapalestina, kinyume Cha hapo ni makombora na drones tu dhidi ya meli zitakazokiuka muongozo
 
kuna mda unajiuliza wanacho kitafuta nini hawa majambia .wajifunze kwa china wanafanya maendeleo kumshinda adui sio ujinga wakusubiri bikra za kitabu

Kuelewa vita yao,kasome kwa miaka 9 mfululizo Yemen kapigana vita na Saudi Arabia na Emirates kwa msaada wa USA na Israel na wameshindwa kuwageuza vibaraka!!

Miaka mfululizo,wamepigwa na kila aina ya silaha, makombora ya ndege zaidi ya 200,000.

Wana kipya cha kuhofia?!!
 
Back
Top Bottom