Kikao cha kumi cha bunge la JF

Wanainji wa Mpwapwa wamenituma kuwa sambi kama hiso hawasitaki kwa nin wadanganyika tushikiliwe akili namna hii? Saman tulikuwa na mila setu jambo kama hili tungewamaliza hawa jamaa.
 
Mie naomba kwa leo tu niwe J.Ndugai,Mh.jogi kaa chini.....,nasema kaa chini usibishane na kiti,duh!!!!!!
 
tychicus modogo wangu, remember i warned you about bange ya arusha?? sasa hebu ona unapata ndoto za mchana....
Nina muongo mmoja toka nimeanza maisha rasmi mkoani Arusha, lakini sijajua mjini hapa au hata nje ya mji Bange inalimwa wapi!.
Mnaojua tafadhali tuambieni ina nini cha ziada mnapolinganisha na ya sehemu zingine!
Ningeambiwa mirungi a.k.a miraa ningeelewa!
 
Sijakubaliana na suala ndugu Krolo kupewa cheo cha yule Mama Bibi Kiroboto! Naomba Krolo atolee ufafanuzi hili then ntaendelea lol
 
Nina muongo mmoja toka nimeanza maisha rasmi mkoani Arusha, lakini sijajua mjini hapa au hata nje ya mji Bange inalimwa wapi!.
Mnaojua tafadhali tuambieni ina nini cha ziada mnapolinganisha na ya sehemu zingine!
Ningeambiwa mirungi a.k.a miraa ningeelewa!

Kiongozi hivi we unawaona hawa machalii wa Arusha wapo sawa kweli??
Wapo tofauti na majunk wengi wa hapa bongo, hawaogopi kitu wanajiamini kupita maelezo, hawajali.....!
Nadhani labda sababu inalimwa kwenye udongo wa tindiga hahahahaha (joke)
 
Mimi kama mbunge wa Rombo niliyetumwa na wananchi wangu tunapinga kwa kauli moja hatutaki kuongozwa kwa kuwa eti tuna njaa,
 
..ndoa ya jinsia moja ni kitu cha kukilaani kabisa kwani hakina maslahi kwa mungu wala kwa shetani, kwani:
  1. Tendo hilo halipelekei kuongezeka kwa binaadamu
  2. Mungu wetu mkuu, anakosa wafuasi
  3. Na shetani aliyelaaniwa na Mungu aliye mkuu anakosa wafuasi
  4. Kwani wakifa hao waliooana kwenye ndoa moja ndiyo mwisho wa kizazi
Nawasilisha!!
 
Fungeni mlango tupigane! Afu King'asti ntaanza na ww maana ulikuwa unaliangalia sana wigi langu
 
Nina muongo mmoja toka nimeanza maisha rasmi mkoani Arusha, lakini sijajua mjini hapa au hata nje ya mji Bange inalimwa wapi!.
Mnaojua tafadhali tuambieni ina nini cha ziada mnapolinganisha na ya sehemu zingine!
Ningeambiwa mirungi a.k.a miraa ningeelewa!

Raha ya bangi uipate saa saba mchana, ya Arusha. Mijadala ya aina hii utaimudu sana hasa kile kipindi cha jioni.
 
Back
Top Bottom