Kikao cha kumi cha bunge la JF

Spika: Klorokwini
Naibu: Ze boss
M/kiti: Preta
Waziri mkuu: Asprin
m/kiti kamati ya nidhamu: PakaJimmy + INVISIBLE
Wabunge: Kila atakaye ichangia hii thread.

MAADA : Ushoga na ndoa za jinsia moja.

Klorokwini: Haya ndugu wabunge , maada ndoo hii naomba michango yenu. Atakaye leta vurugu namtoa nje sasa ivi.

Asanteni

View attachment 40583

hehehe hii nilikuwa sjaiona aisee, kwavile kuanzia kesho nitapotea kidogo kutokana na sababu zisizoweza kuepukika namuomba naibu TB asimamie bunge mpaka nitakaporejea.
msimamo wa spika: Mashoga wamesababisha global warming duniani na hawakubaliki, Mugabe ameahidi kuisaidia tanzania hata kama cameroun atauchuna.
 
Jamani mbona tunapoteza muda badala ya kuanza kikao rasmi? mimi napendekeza PM Cameron apate huu msimamo wa Tanzania. Napenekeza kuanzia sasa msamiati wa kulawiti uitwe kukameruni.
 
Muheshimiwa Spika..

nadhani watu wasichaguliwe jinsi ya kuishi bali kila mmoja aishi jinsi anavyopenda.
Kila binadamu ana njia yake ila kuna wachache wanaodhani njia yao ni bora kuliko
njia ya fulani. Binafsi kama nlivyosema na ninazidi kusema sina shida na mashoga
kabisa. kwani wanachofanya nyumbani mwani hainihusu kabisa. napenda
kumuheshimu kila mtu na kingine sipendi kudharau au kujaji mtu.

Kuhusu ndoa na huo ni uchaguzi wao pia.
haini athiri kwa njia yeyote ile....

Asante muheshimiwa Spika

Mheshimiwa sipika, naomba kupinga hoja yamheshimiwa afrodenza kama ifuatavyo , tupo hapa kwa maslahi ya taifa na siyo maslahi binafsi. kwa hiyo kwako wewe huoni tatizo lakini kwa taifa ni tatizo. Tunatakiwa kujenga taifa lenye maadili. asante
 
kwanza kabisa una uhakika gani na ushahidi gani haukuwa tangu mwanzo.?

Si kubaliani na David Cameroon ku sukumia wa Africa kuwa na ndoa za ma
shoga . kama nlivyosema mwanzo kila mtu aishi maisha ayapendayo. na yeye
kutaka kusukumiza hili ni "Bullying" na sisi kuwakataa watu wa jinsia moja ni
bullying pia...

ni sababu gani inakufanya mpaka mpaka uwachukie mashoga kiasi hicho??

Mheshimiwa spika, nashukuru kwa nafasi. naomba kumwelewesha mheshimiwa afrodenza kuwa hatuwachukii mshoga ila tunauchukia ushoga. asanteni
 
hehehe hii nilikuwa sjaiona aisee, kwavile kuanzia kesho nitapotea kidogo kutokana na sababu zisizoweza kuepukika namuomba naibu TB asimamie bunge mpaka nitakaporejea.
msimamo wa spika: Mashoga wamesababisha global warming duniani na hawakubaliki, Mugabe ameahidi kuisaidia tanzania hata kama cameroun atauchuna.

Tangazo.

Kikao kitaongozwa na mheshimiwa Tychicus tabutupu hadi hapo spika atakapo urudi kutoka ziarani nchini zimbambwe ambacho wameanda kula kiapo cha kumkata kameroon.
 
mimi leo napita niko hoi mbaya ila zitatokea fumanizi mpya asha akipigana na juma kumgombania bakari loh
pia nyumba ndogo nyingi zitakuwa za kiume wanawake watakoma mbona ?

Mbuge -viti maalum mmu-love connect
 
Mheshimiwa sipika, naomba kupinga hoja yamheshimiwa afrodenza kama ifuatavyo , tupo hapa kwa maslahi ya taifa na siyo maslahi binafsi. kwa hiyo kwako wewe huoni tatizo lakini kwa taifa ni tatizo. Tunatakiwa kujenga taifa lenye maadili. asante

muheshimiwa Spika
Naomba kuuliza tutajenga vipi taifa kama tunatenga baadhi ya watu?
Na Ushoga ni Tatizo kwa taifa kivipi? Na maadili mema ni yapi? Je kutenga
na kujiona baadhi yetu ni bora kuliko wengine je huko ni kujenga taifa?
Muheshimiwa Spika ingeomba Mh. Tychicus anijibu maswali niliouza hapo
juu ... Natanguliza shukurani..
 
Asante mheshimiwa spika kwa fursa kuu, kiukweli hatuwapingi mashoga wala kuwakataa maana ni binadamu kama sisi, ila tutapinga ushoga hadi kieleweke . Ushoga ni tabia yenye athali kwa taifa, taifa bora ni lile lilojengwa kwenye maadili ya kweli, kuoana wanaume kwa wanaume kweli ni kinyume na amadili yetu kabisa. Japo naomba bunge liunde kamati kuchunguza wote wanaotetea ushoga hapa bungeni.
 
Mheshimiwa spika, nashukuru kwa nafasi. naomba kumwelewesha mheshimiwa afrodenza kuwa hatuwachukii mshoga ila tunauchukia ushoga. asanteni

Samahani Mh. Tychicus
tabia ndio inayo mjenga mtu.

Naomba kuuliza ni nini hasa unachokichukia
kuhusu mashoga?
 
Khaaa!

Huu upendeleo mwingine bana dah!

Sasa waziri mkuu si haruhusiwi kuchangia mada?

Angalizo: Mbunge yeyote wa kiume atakayeunga mkono hoja ya ndoa za jinsia moja, atakuwa nyumba ndogo ya mheshimiwa waziri mkuu......... haya endeleeni na mjadala!
 
Unamaana unapenda kuwado mashoga ila hupendi kuwa shoga?

mheshimiwa naibu spika naomba kutoa ufafanuzi wa hoja yangu ya mara ya kwanza. Hatuwezi kuwachukia mashoga maana sote ni ndugu na ni binadamu. isipo kuwa tanachukia ushoga ambao na hii haina maana kuwa tunawatetea mashoga. naamini mwuliza swali amenippata kama hajaelewa naomba apewe uwaziri ili asiulize tena maswali hapa bungeni. tetetetetetete.
 
Samahani Mh. Tychicus
tabia ndio inayo mjenga mtu.

Naomba kuuliza ni nini hasa unachokichukia
kuhusu mashoga?

1. Tukiendekeza ushoga, hatuta zaliana. taifa litakosa nguvu kazi
2. Mimi binafsi naamini Mungu aliumba mtu mke na mume kwa makusudi na kila atakaye fanya kinyume atalaaniwa
3. Ina maana mheshimiwa afrodenzi unaweza kuwa mke wa mwanamke mwinzio?,haiingii akilini kabisa.
 
Asante mheshimiwa spika kwa fursa kuu, kiukweli hatuwapingi mashoga wala kuwakataa maana ni binadamu kama sisi, ila tutapinga ushoga hadi kieleweke . Ushoga ni tabia yenye athali kwa taifa, taifa bora ni lile lilojengwa kwenye maadili ya kweli, kuoana wanaume kwa wanaume kweli ni kinyume na amadili yetu kabisa. Japo naomba bunge liunde kamati kuchunguza wote wanaotetea ushoga hapa bungeni.

Mh. spika
inawia vigumu kuelewa mtu anapanda
mti wa matunda lakini hataki hayo matuda..
nikimaanisa mti ,mtu matunda tabia ...
 
Mheshimiwa Spika

Naomba bunge lako tukufu lipitishe amri askari wakamate mashoga wote na mabasha wao na kuwatupa kwenye tanuri la chuma pale kwenye kiwanda cha steel rolling mills!
 
Spika naomba Mwongozo!
mheshimiwa naibu spika naomba kutoa ufafanuzi wa hoja yangu ya mara ya kwanza. Hatuwezi kuwachukia mashoga maana sote ni ndugu na ni binadamu. Isipo kuwa tanachukia ushoga ambao na hii haina maana kuwa tunawatetea mashoga. Naamini mwuliza swali amenippata kama hajaelewa naomba apewe uwaziri ili asiulize tena maswali hapa bungeni. Tetetetetetete.
 
Mwongozo tafadhali, hii ndoa ya jinsia moja mbona inazungumzia upande wa kiume tuuuu? Kwa nini haizungumzii upande wa kikeeeee? Pia naomba kutoa taarifa juu ya mjumbe mmoja aliyenikwaza kwa kuunga mkono ushoga, hivi yeye baba yake angekuwa shoga angezaliwaaaaaa?
 
Hapo kwenye red kama umenisemea mh mbunge, lakini kwa kuongezea, kuna mbunge anasema hayo ni maisha binafsi na hivyo kuhararisha ushoga au usagaji haimuhusu, swali je endapo yeye ni mwanamke na ameolewa kwa muda wa kutosha na akijakugundua na kuhakikisha kuwa mmewe ameolewa na mme mwingine atakwepa kuguswa na hilo jambo? ikiwa ni kaka zake pia haitamgusa? Jamani tunaelekea wapi?
 
mheshimiwa spika, naomba kuunga hoja hii na iundwe kamati kuchunguza vizuri hawa wanao tetea ndoa za jinsia moja.
 
Back
Top Bottom