The Finest
JF-Expert Member
- Jul 14, 2010
- 21,605
- 6,082
- Thread starter
- #61
Hhaha!! Bigirita bana unataka Rejao aingie mitiniNikikutana na Rejao patachimbika.
Kama rejao anakuja ngoja nisafishe hii kimeo, damn! Imepata vumbi wakati wengine wanaweka kiunoni. Kwani nini bana, laki si pesa.