Kikao cha JE Saccos

Website ya JE Saccos inaendeleaje mkuu?na vp mmekwisha fanya ile business plan ya hii kitu?I think hii BP itawa encourage wengi ku join na hii kitu coz imekaa vizuri sana I real salute you guys to formulate this idea, fantastic
 
Mkuu webiste iko still under construction but you can still view it JAMII EMPOWERMENT SACCOS LIMITED tunaendelea kutengenza content ambazo zitaingia kwenye hiyo webiste as you know content ambayo inahitaji kuwekwa kwenye hiyo website lazima iwe very useful ili kila member atayekuwa anatembelea website aweze kupata uelewa wa JE Saccos
 
Mkuu webiste iko still under construction but you can still view it JAMII EMPOWERMENT SACCOS LIMITED tunaendelea kutengenza content ambazo zitaingia kwenye hiyo webiste as you know content ambayo inahitaji kuwekwa kwenye hiyo website lazima iwe very uself ili kila member atayekuwa anatembelea website aweze kupata uelewa wa JE Saccos

Shukrani kwa maelezo but vp kwa habari ya Bussines plan ya JE Saccos?we want to know how good it is Boss.

Thanks
 
Shukrani kwa maelezo but vp kwa habari ya Bussines plan ya JE Saccos?we want to know how good it is Boss.

Thanks
Business Plan isikupe shida mkuu kwasababu suala hilo sio la mtu mmoja wala kamati but ni suala la wanachama tutakaa na kujadiliana na wanachama wote ili tuone kitu gani kitatufaa hapo kwenye Business Plan, tunafanya hivi sababu i believe kila mwanachama ana ideas tofauti tofauti tukiunganisha wote ideas zetu basi tutapata something concrete that we can work on, mean while what we are looking forward to ni kukamilisha 5 Million (Kwa mujibu wa Sheria na Kanuni za BOT) ili Saccos ianzishwe pia kuna suala la Rasimu ya Masharti ya JE Saccos kwahiyo bado tunaendelea kushughulikia mambo mbalimbali ili tuweze kukamilisha kila kitu.

Nakukaribisha Sana kwenye Kikao cha Jumamosi hii.
 
  • Thanks
Reactions: LAT
hii poa mkuu ila msiwape hizo info wana taarifa za kiitelijensia
Mkuu worry not all the information is treated confidential katika ya wanachama wote waliojiandikisha na tokea tumeanza nahisi haujasikia malalamiko yoyote kuhusu majina ya watu kutolewa, hii ni kwa ajili ya JE Saccos na si kwa mambo mengine.

Karibu Sana
 
Vipi kwa wale wa mikoan ushiriki wao katika vikao vya JE saccos ? Tunaomba pia memorandum of assosiation and articles of association.
 
Kuna biya kwenye hicho kikao?
Kama hakuna biya siji, unless finest uninunulie biya mingi sana leo pale pa ukweli, na mdudu.
Nahitaji kuwa na nguvu za kutosha kuvunja ile pua ya Rejao.
 
Vipi kwa wale wa mikoan ushiriki wao katika vikao vya JE saccos ? Tunaomba pia memorandum of assosiation and articles of association.
Utapata vyote hivyo baada ya kuwa umejiandikisha JE Saccos, infact you are going to far we are still at the registration stages
 
Kuna biya kwenye hicho kikao?
Kama hakuna biya siji, unless finest uninunulie biya mingi sana leo pale pa ukweli, na mdudu.
Nahitaji kuwa na nguvu za kutosha kuvunja ile pua ya Rejao.
Hahaha!! Rejao inabidi aje amevaa Bulleproof usoni, aisee biya iko si unajua kesho kuna Beer Festival pale Leaders kwahiyo tumeomba wafanye supply kwenye Kikao chetu pia, ukuje mitaa yako ya Kinondoni
 
Orait orait........supu ya ngumi usubuhiiii, ugali wa mishkaki........biya, halafu ankara inaenda SACCOS. very good. I am in.
 
Guys, nimefurahi sana. Rejao na Bigirita,kesho ntakuwa baunsa wenu. Mkuje wote bia full kujiachia.
 
Habarini za Jumapili,wadau wa JF.

Ninaamni wadau mlikutana mkiwa njiani kukamilisha lengo la kuundwa kwa JE Saccos,pengine kwasababu mbalimbali zilizo inje ya uwezo wangu sikifanikiwa kufika lakini yote katika yote nafikiri hamtaacha kutujuza yaliyojiri.The Finest kama ulivyoanza ndivyo tunavyokusubiri.

Ciao
 
Back
Top Bottom