Kikao cha JE Saccos

Sawa mkuu by the way unaweza kuelekeza zaidi ili tupafahamu vizuri hapo mahali?

Thanks
Mkuu ukifika Kinondoni unashuka kituo kinaitwa Manyanya hapo kuna Petrol Station ya BP kawaida huwa inaitwa Mwanamboka sasa nyuma yake ndio kuna hiyo sehemu inaitwa Mexico Pub
 
Mkuu taratibu za kujiunga zinakuwaje sisi wa mikoani. Kila nikijaribu naambiwa clear cookies!
 
Mkuu nimejaribu kutuma details zangu kwa kutumia hiyo email ya gmail lakini haziendi. Hata hivyo nilituma details kwa njia ya sms kwa kiongozi CD. Ninaimani ombi langu atalifanyia kazi.
 
Habari za asubuhi mkuu,

Labda tujuze ni mambo muhimu tunayopaswa kufika nayo coz sometimes nishawahi kuhudhuria vikao then unaambiwa hapa kinatakiwa so and so and so.
Tunapenda kuwafahamisha wanachama wote wa JE SACCOS kuwa tutakuwa na kikao JUMAMOSI hii ya tarehe 1-10-2011 kitakachofanyika MEXICO PUB iliyoko barabara ya Kawawa Kinondoni Manyanya opposite na PETROL STATION YA MWANAMBOKA kuanzia saa 9 mchana na kuendelea tunaombwa wote kufika bila kukosa hasa kwa wanachama wa JE SACCOS waliopo Dar es Salaam.

Dhumuni la kikao ni kufanya tathmini ya tulipofikia na kujadili rasimu ya masharti ya
JE SACCOS tunaomba wanachama wote tujitahidi kufika bila kukosa.

Kwa maelezo zaidi unaweza kuwasiliana nasi kupitia namba zifuatazo

0715 887912
0757 212122
0787 212122


Asanteni.
 
  • Thanks
Reactions: LAT
Habari za asubuhi mkuu,

Labda tujuze ni mambo muhimu tunayopaswa kufika nayo coz sometimes nishawahi kuhudhuria vikao then unaambiwa hapa kinatakiwa so and so and so.

only your presence is mostly important
 
Hilo eneo ni maarufu kwa Mungiki..how is my safety guaranteed?
Gold Addict,ur safety with gold is guaranteed,would u like ultimate security to look after ur intrest :),kuna ulinzi wa vibajaji na bodaboda only,plus leave ur husband at home otherwise Ataibiwa bila yeye or u kupenda.afterall the venue is in kiino Klein
 
Back
Top Bottom