Waberoya
Platinum Member
- Aug 3, 2008
- 15,169
- 10,785
Call me stupid... ila niko a bit confused here.. huyu jamaa anasema kwamba hawa wakuu wamedanganya umma kwa kutoa vyeti vya uongo (vyeti fake) au nikwamba university walizosoma ni non-accreditable kwa tz?
You are not alone!
Huyu muhaya nina wasiwasi hata kama na yeye ana akili nzuri au ni kutaka kuuza kitabu chake tuu,hao wote aliowataja wengi wao wamesoma hizo shule ila tatizo ziko non accredited na hilo sio kosa,mzumbe yenyewe ina fall hapo,huwezi kuita hii ni forgery au ufisadi au kushtaki mtu kwa kusoma non accredited schools,huyu analeta story za mtikila za kuchafua watu na kujaza watu ujinga
TCU deals with accreditation of Tanzanian Universities tu. Kuhusu vyuo nje ya nchi, sana sana watakupatia latest list kutoka UNESCO. Jambo hapa ni kwamba vyeti walivyo'present Bungeni hawa waheshimiwa ni kutoka vyuo feki, yaani havitambuliki na UNESCO. Na kusoma katika non-accredited University ni kwamba unataka njia ya mkato kwa kulipia ELIMU bila kuifanyia kazi ipasavyo.
.
UNESCO sio Tanzania, wala sijaona sehemu ambayo waliostipulate kuwa wanafuata standard ya Unesco. we need our standard!
...non accredited doesnt mean fake,ila kuna matatizo kusoma katika hizo shule ambayo naona ni topic nyingine tena!
Surely, tuna mix mambo hapa , na huyo mwandishi kamix mambo!
Are you sure you cant do long distance PHD? as far as i am aware there is no leactures for PHD... and you can do PHD while u are in any country or u have to do is to meet ur superviour in regular bases (and regular bases doesnt mean each month or week)..
Another problem, jamaa hajui PhD ni nini, naona ana refer lazima ukae darasani, na ndio anaona kama PhD ya Magufuli ni ya uongo.
all in all kuna primitive issues hapa naziona, japo kunatatizo tatizo langu mimi ni u=fake wa hizo degree na sio non accredited
kwa MSEMAKWELI maana yake wote waliosoma,IMTU, MuM,Teofilo Kisanjo sijui<, Mzumbe UNIVERSITY(kwanza ni-ibold) wana degree fake! maana ni non accredited universities kwa mujibu wa TUC!!
msinipige mawe