Kijarida cha "Kumekucha" - Mwitikio wa Kikwete kwenye masuala tete ya Taifa

Mkjj ama na wenzako ama ni wewe mwenyewe, mmefuta post zangu zilizokujibu. Kwanini mnakuwa hampendi ukweli? Hivi ni kwenye forum tu mnafuta post zetu, mnapiga ban wanao pingana na mawazo yenu duni. Swali, kwa hayo ndio mnategemea tuwape nchi?

Je, mkipewa nchi si ndio itakuwa hakuna hata kujamba?
 
Mkjj ama na wenzako ama ni wewe mwenyewe, mmefuta post zangu zilizokujibu. Kwanini mnakuwa hampendi ukweli? Hivi ni kwenye forum tu mnafuta post zetu, mnapiga ban wanao pingana na mawazo yenu duni. Swali, kwa hayo ndio mnategemea tuwape nchi? Jee, mkipewa nchi si ndio itakuwa hakuna hata kujamba.
Kujamba ruksa kama ndicho kinachokuwasha, na wajambishaji tupo usihofu.
 
mnataka kunichonganisha tu na viongozi; siwanyimi raha wala nini, wanakula kuku bila kuulizwa wala nini. I'm a nobody just a nobody..

Ni kwewli huwa huwanyimi raha ya kula kuku kwa wale wanaokumbuka wakati wa sakata la wanafunzi wa Kitanzania kule Mosco Lowassa akiwa PM alisema waziwazi kluwa yeye anakula wakati anahojiwa na Mwanakijiji so sio kweli kuwa wanakosa raha ya kula ... nimekumbushia tuu.
 
Nashukuru kwa hiki. Hofu yangu isije kuwa kama kile kilichosheheni mambo ya Shimbo, tukashughulika kusambaza mara mnatuambia ....sijui uchunguzi haujakamilika ...sijui nini, tukaonekana wazushi. Please, please, please!
 
Back
Top Bottom