Kijarida cha "Kumekucha" - Mwitikio wa Kikwete kwenye masuala tete ya Taifa

Mzee Mwanakijiji

Platinum Member
Mar 10, 2006
33,461
39,928
kumekucha2.png

Kurasa sita ambazo zitakufanya ufikirie mara mbili (kama siyo zaidi) uko upande gani wa mwamko wa mabadiliko? You know what you got to do.. so WHY NOT, JUST DO IT!
 

Attachments

  • kumekucha-2.pdf
    948.7 KB · Views: 623
Kama unamaanisha mchango wa hali na mali, wala usihofu. Sema tutoe kwa njia gani kwan kazi nzuri sana hii.

Hata hvyo ninaona ni busara kama wanakijiji wote wa humu JF hasa wale wapenda mabadiliko wangeshiriki kukisambaza kwa watanzania wengi. Walau kila mmoja atume email 20 kwa watu wake kwa hisani ya MM. Naomba mwongozo
 
Kama unamaanisha mchango wa hali na mali, wala usihofu. Sema tutoe kwa njia gani kwan kazi nzuri sana hii.

Hata hvyo ninaona ni busara kama wanakijiji wote wa humu JF hasa wale wapenda mabadiliko wangeshiriki kukisambaza kwa watanzania wengi. Walau kila mmoja atume email 20 kwa watu wake kwa hisani ya MM. Naomba mwongozo

Mtu yeyote anaweza kusambaza kwa njia ya email au hata kuchapa nakala chache..
 
Mchango kidogo tu; hivi hata hivyo kimenipa kazi sana kwani keyboard yangu ya laptop herufi kadhaa zimegoma imebidi ni improvise.
As long as the mouse is working, an on-screen keyboard can easily be launched and become the savior to such rare annoyances!! Was this the case sir..??!
 
As long as the mouse is working, an on-screen keyboard can easily be launched and become the savior to such rare annoyances!! Was this the case sir..??!

A what? kuna on screen keyboard? mbona hukuniambia mapema I had to go and buy an external keyboard..
 
Thanks Mkuu; kama kuna mtu anaweza kutengeneza vitini twaweza changia tunahitaji kuvigawa vijiweni na vijijini! I work mostly with communities! Bila kuelimisha watu wa kawaida hatufiki mbali!

Things like vitini they r there to stay lkn hotuba si mara zote zinastick kwa watu wenye 101 shidas in their minds!
 
a what? kuna on screen keyboard? mbona hukuniambia mapema I had to go and buy an external keyboard..

Yes, kuna on-screen keyboard, can be activated by mouse in the control panel and a short cut set on ya desktop for easy accessibility.

Next time, tuma ujumbe wa sauti kwenye jukwaa la tech ili watu wema wa kule wakusaidie pale ambapo typing imeshindikana!! Litumieni jukwaa lile lisije ota utando wa buibui kwa kujificha muda wote kwenye misiasa yenu lol
 
I really love this prospective. Kitu kinasumbua hapa Tanzania ni inform nyingi kutofika kwa wananchi na kweli ukiangalia ccm imefanya kazi kubwa kuwanyima wananchi inform na hasa kielimu jinsi gani serikali na viongozi wake hasa ofisi ya raisi inamajukumu gani hasa kwa wananchi. Wengi tunaojishungulisha na kujua haki zetu tunaendelea kuwa na masikitiko makubwa na hasa jinsi ya kuwahamasisha wananchi mkoa hadi mkoa ili wajifungue kamba walizofungwa na ccm kiakili na kiufahamu.

Haiwezekani kabisa kwa vitendo vingi namna hii population inakubali kuburuzwa namna hii. Kikubwa na masikitiko makubwa ni kwamba tunaona wazi kabisa hii familia ya kikwete ndio chanzo cha matatizo makubwa Tanzania. Ukianzia kwa baba hadi mtoto wao ridhiwani. Lakini uwazi ni kwamba wapo wengi wanafahamu haya maswala na ujangili huu wakiwa ofisi za usalama wa taifa hata jeshini. Huwezi kukawa na ujambazi na wizi kama huu wa biashara za mafuta, UDA na deals zote hizi bila kuwa na network kubwa ya kulindana ndani ya ccm na serikalini. The truth tumeshapata na sisi kama wananchi lazima tutoe hukumu bila kusuburi kikwete aongee lolote, kwani litakalo toka mdomoni mwake ni uongo na uchafu.

Wananchi wengi wanashangaa kwanini kikwete aongei popote pale wala kusema lolote lile kwa sababu hana la kusema pakitokea rushwa au tatizo la umeme kwani atasema nini? Kweli tunategemea kikwete aseme nini kuhusu umeme? Kama familia yake inanufaika na kuingizwa kwa mafuta atasema nini kuhusu ili swala, swala muhimu ni kwanini wananchi tunakubali kutoelezwa wahusika na owners wa haya makampuni i.e BP? Kwani hii mikataba ya serikali na makampuni binafsi si right yetu kujua nani owner? Hii sio mikataba binafsi na Ngereja au pinda na BP. The problem ni kwamba wananchi wa Tanzania hawajui rights zao na hii lazima media nyingi Tanzania zifanye kila njia kuwaelimisha wananchi. Tunawasihi sana cdm kweli waweke efforts kubwa ku-invest kwenye media tools ili wananchi wapate inform na kujua kuelimika. We are so close to take control of our country.

Wananchi hasa tunaoshiriki humu JF tuchangie financially kwenye tools kama JF, mimi binafsi natoa ahadi ya kutoa fee ili kuendeleza na kuboresha hii huduma kwa taifa. Tunahitaji tools nyingi kukomboa taifa na inform ndio pekee solution kumwondo kikwete na wahuni wake.
 
Kwa kukisambazasiwezi kushtaki kuwa nachochea vurugu?Nafanya kazi katika local communities ambapo naamini ingewasaidia sana wananchi ila hofu yangu ni sheria.
 
Kwa kukisambazasiwezi kushtaki kuwa nachochea vurugu?Nafanya kazi katika local communities ambapo naamini ingewasaidia sana wananchi ila hofu yangu ni sheria.

Ni kitu gani kilichomo humo ndani kinachofanana na uchochezi au ambacho hakijaandikwa kwenye magazeti mengine nchini?
 
Kwa wale ambao walikuwa wanapiga kijarida kile kingine kwenye email wataanza kupata kijarida hiki kwenye emails zao vile vile
 
mwanakijiji

hivi katika watu wanaowanyima viongozi kula raha wewe ni wa ngapi? na kwanini usiwaache wale kuku?
 
MM Bravo! Acha Watanzania tujue hali halisi. Kwanini tuishi gizani? Wanaotishia usalama wa nchi ni watawala wenyewe! MM kaza buti wengi tuko nyuma ya mawazo na uchambuzi wako.
 
12 Reactions
Reply
Back
Top Bottom