Kijarida cha "Kumekucha" - Mwitikio wa Kikwete kwenye masuala tete ya Taifa

@mwanakijiji

hivi katika watu wanaowanyima viongozi kula raha wewe ni wa ngapi? na kwanini usiwaache wale kuku?

Mnataka kunichonganisha tu na viongozi; siwanyimi raha wala nini, wanakula kuku bila kuulizwa wala nini. I'm a nobody just a nobody..
 
mnataka kunichonganisha tu na viongozi; siwanyimi raha wala nini, wanakula kuku bila kuulizwa wala nini. I'm a nobody just a nobody..

@ mwanakijiji

Nadhani hu miongoni mwa watu walioamini kuwa kikwete ni mwokozi wa taifa nini kimekusibu sasa? nadhani makala zako zilichangia ushindi wa kikwete, je wewe si sehemu ya walioleta matatizo ya uongozi mbaya katika taifa letu?

kwanini usiendelee kuwa pamoja na rais wetu mpendwa?
 
@ mwanakijiji

nadhani hu miongoni mwa watu walioamini kuwa kikwete ni mwokozi wa taifa nini kimekusibu sasa? nadhani makala zako zilichangia ushindi wa kikwete, je wewe si sehemu ya walioleta matatizo ya uongozi mbaya katika taifa letu?


kwanini usiendelee kuwa pamoja na rais wetu mpendwa?

Well wapo manabii wa uongo wenye kuwatabiria watu 'amani' wakati inakuja vita. Well, tukiwagundua utii wetu uko kwenye ukweli kuliko mtu. Mwanadamu anayo haki ya kubadili mawazo hatakiwi kuwa mfungwa kwa mtu mwingine na hili linahusu mahali popote pale.

I don't have blind loyalty to anyone or anything.
 
Mwanakijiji wewe unatishia amani na utulivu shauri yako:)

Huyu ni mtanzania au mzambia? Wewe una umri gani kama ni mtanzania? Una wazazi au ndugu Tanzania?

Hii kitu amani ndiyo equivalent to deal environment kikwete anataka na utulivu ni equivalent na ujinga wa wote wanao-support ccm na kikwete popote anapo safiri duniani
 
mnataka kunichonganisha tu na viongozi; siwanyimi raha wala nini, wanakula kuku bila kuulizwa wala nini. I'm a nobody just a nobody..

I tend to agree, you are really a nobody and trying to assassinate the characters of all those who are "somebody". Do not hate others just because you failed in life, you failed politically (recently with CCJ), you failed in being somebody and you are always trying to be somebody behind the mask.

You are so scared even to show your photograph, because you are scared of your failures Mr. nobody.
 
well wapo manabii wa uongo wenye kuwatabiria watu 'amani' wakati inakuja vita. Well, tukiwagundua utii wetu uko kwenye ukweli kuliko mtu. Mwanadamu anayo haki ya kubadili mawazo hatakiwi kuwa mfungwa kwa mtu mwingine na hili linahusu mahali popote pale. I don't have blind loyalty to anyone or anything.

Kwanini kabla ya kumshambulia usituombe radhi watanzania na wananchi hasa unaodai wanyonge? je kama mtu akikunulia dodo bovu ulaumu dodo au yule aliyekwenda kuleta lile dodo(embe)?
 
Hawawezi kudanganya watu wote muda wote, saa ya ukombozi ni hii, rise up you fallen matumbis, rise and take your stands again, rise up you sons and and daughters of kinjeketile,mkwawa,mangi meri,songea, etc etc ,

fight now or never,
for true piece is bought for blood,
lucky for the nation whose sons have got blood.
We have it dudes.
We rise now?
We duit now?
I think we better,
we have had enough,
them belly full
but we hungry

mpaka lini jmani?
Tuamue sasa au!
 
I really love this prospective. Kitu kinasumbua hapa Tanzania ni inform nyingi kutofika kwa wananchi na kweli ukiangalia ccm imefanya kazi kubwa kuwanyima wananchi inform na hasa kielimu jinsi gani serikali na viongozi wake hasa ofisi ya raisi inamajukumu gani hasa kwa wananchi. Wengi tunaojishungulisha na kujua haki zetu tunaendelea kuwa na masikitiko makubwa na hasa jinsi ya kuwahamasisha wananchi mkoa hadi mkoa ili wajifungue kamba walizofungwa na ccm kiakili na kiufahamu. Haiwezekani kabisa kwa vitendo vingi namna hii population inakubali kuburuzwa namna hii. Kikubwa na masikitiko makubwa ni kwamba tunaona wazi kabisa hii familia ya kikwete ndio chanzo cha matatizo makubwa Tanzania. Ukianzia kwa baba hadi mtoto wao ridhiwani. Lakini uwazi ni kwamba wapo wengi wanafahamu haya maswala na ujangili huu wakiwa ofisi za usalama wa taifa hata jeshini. Huwezi kukawa na ujambazi na wizi kama huu wa biashara za mafuta, UDA na deals zote hizi bila kuwa na network kubwa ya kulindana ndani ya ccm na serikalini. The truth tumeshapata na sisi kama wananchi lazima tutoe hukumu bila kusuburi kikwete aongee lolote, kwani litakalo toka mdomoni mwake ni uongo na uchafu. Wananchi wengi wanashangaa kwanini kikwete aongei popote pale wala kusema lolote lile kwa sababu hana la kusema pakitokea rushwa au tatizo la umeme kwani atasema nini? Kweli tunategemea kikwete aseme nini kuhusu umeme? Kama familia yake inanufaika na kuingizwa kwa mafuta atasema nini kuhusu ili swala, swala muhimu ni kwanini wananchi tunakubali kutoelezwa wahusika na owners wa haya makampuni i.e BP? Kwani hii mikataba ya serikali na makampuni binafsi si right yetu kujua nani owner? Hii sio mikataba binafsi na Ngereja au pinda na BP. The problem ni kwamba wananchi wa Tanzania hawajui rights zao na hii lazima media nyingi Tanzania zifanye kila njia kuwaelimisha wananchi. Tunawasihi sana cdm kweli waweke efforts kubwa ku-invest kwenye media tools ili wananchi wapate inform na kujua kuelimika. We are so close to take control of our country. Wananchi hasa tunaoshiriki humu JF tuchangie financially kwenye tools kama JF, mimi binafsi natoa ahadi ya kutoa fee ili kuendeleza na kuboresha hii huduma kwa taifa. Tunahitaji tools nyingi kukomboa taifa na inform ndio pekee solution kumwondo kikwete na wahuni wake.
Naunga mkono hoja. JF. ni kama media nyingine tu ila hii ina sifa ya ziada. Wadau kuchangia chochote na kwa muda wowote. Naomba kitu kimoja "method of Payment" tujue ni jinsi gani tunaweza kulipia Uanachama
 
Mchango kidogo tu; hivi hata hivyo kimenipa kazi sana kwani keyboard yangu ya laptop herufi kadhaa zimegoma imebidi ni improvise.

Hapo mkuu sija kuelewa!! Mchango Kidogo tuu what do you mean???

My Take;
Its a marvelous job,
Kijarida hiki ni kwa wanao tumia Internet sana jee ni vipi tutakifikisha kwa wananchi huko miitaani waliko?
 
Nimekisoma kijarida vizuri. Sioni uchochezi hata chembe. atakayesema kusema kuna Uchochezi basi hayuko timamu. kwa sababu sio watz wengi wapo karibu na Internet ukichanganya na Mgao wa umeme kijarida hiki kinaweza kisisambae kwa jinsi yunavyotaka.

Hapa tu nimeprint copy kadhaa nimewagaiwa marafiki zangu wachache tayari kunaomnyesha kuwa na Demand kubwa sana. WAZO kwanini uongozi wa KUMEKUCHA usifanye mazungumzo na mwana Halisi au Free Media (Tanzania Diama) Kijarida hiki kikawekwa humo ili kiwafikiwe walengwa (walazwa hoi) mapema.

Naomba kuwasilisha kwa hatua zaidi
 
Jethro, Ni mchango wangu kidogo tu wa kile ambacho tayari wanapata kutoka sehemu mbalimbali.
 
@mwanakijiji

kwanini usikisajiri na kikawa kinatoka kama jarida la kawaida na kuuzwa mitaani?

Watakuwa na nguvu kubwa kwangu na kwa vile hakichapwi TZ sitaki kifungwe na sheria mbaya za vyombo vya habari za Tanzania.
 
Naunga mkono hoja. JF. ni kama media nyingine tu ila hii ina sifa ya ziada. Wadau kuchangia chochote na kwa muda wowote. Naomba kitu kimoja "method of Payment" tujue ni jinsi gani tunaweza kulipia Uanachama
Nadhani kama nimekuelewa vizuri, unamaanisha unataka kuchangia JF, piga simu hii ya Maxece Mello, huyu ni Founder wa Jamii Forum atapokea mchango wako. piga namba hii 0713 444649.
 
Naunga mkono hoja. JF. ni kama media nyingine tu ila hii ina sifa ya ziada. Wadau kuchangia chochote na kwa muda wowote. Naomba kitu kimoja "method of Payment" tujue ni jinsi gani tunaweza kulipia Uanachama

Hapo kwenye nyekundu, huo si ukweli. Ukweli ni kwamba unaweza kuchangia vyovyote vya kuiponda Serikali na CCM lakini ukichangia vya kuiponda cdm ama nyuzi yako inafutwa ama inahamishwa isionekane ama unakula ban.
 
@mwanakijiji

kwanini usikisajiri na kikawa kinatoka kama jarida la kawaida na kuuzwa mitaani?

Rekebisha hiyo kwenye nyekundu jifunze kuandika sawa "usikisajili" Kiswahili ni lugha yako ya Taifa.
 
Back
Top Bottom