Kijana Mwenzenu Nishaurini Tafadhari!!

Majigo

JF-Expert Member
Feb 23, 2012
5,519
1,825
Katika Hekaheka Za Utafutaji Sasa Niko Nje Ya Nchi Nimeajiriwa sasa Nina Laki 3 Tsh Ila Nahitaji Kurudi Tz Ili Nijiajiri.
Kwa Uwezo Wangu Mdogo Wa Kufikiri,ninampango Wa Kujumua Viatu Mbeya Mjini Na Kuanza Kuviuza Eneo Nitokalo(kyela)

Ndugu Zangu Nishaurini Mbali Na Wazo Langu,Je Kuna Biashara Nyingine Naweza Fanya Na Ikatoa Faida ya Ziada?

NB:Haijarishi Mkoa Gani ilimradi Biashara Hiyo Ina Manufaa!
Natanguliza Shukrani!
 
Upo nchi gan? Kwa hela yako uliyonayo waweza kufanya biashara endapo utakuwa tu unanunua hyo bidhaa then uuze sehemu ambyo huhitaji kuwa na fremu, coz ukisema ukodi frame garama ztakuwa kubwa. All the best, kaz n kaz knachohtajika ni kuwa na malengo.
 
NASHUKURU mkuu kwa Kunipa Matumaini Kwani Nami Nina Malengo Makubwa Tu Na Ninaamini Nitayafikia!!
MIMI NIKO "MALAWI"
 
Nakushauli ufungue ata genge kwani iyo lakitatu ukifanya biashara ya kusafili na nauli umoumo na wasiwasi na kiwango cha mzigo utakacho beba kwaiyo ni bora ufanye biashara ya genge kwanza ili kuongeza zaidi mtaji.
 
unamaanisha Mzigo Nitakao Utoa Ktk Eneo Nililopo..."Genge" Kivipi Mkuu?
 
kaka kama uko malawi umeajiliwa ni bora uongeze kwanza huo mtaji maana kwa bongo ni mdogo sana kama una malengo makubwa njoo kama unataka kua MAC' MUGGA nawasilisha wakuu
 
kaka kama uko malawi umeajiliwa ni bora uongeze kwanza huo mtaji maana kwa bongo ni mdogo sana kama una malengo makubwa njoo kama unataka kua MAC' MUGGA nawasilisha wakuu

malengo Yangu Ni Makubwa Mkuu!
tatizo Mazingira Ya Huku Yananirazimu Mimi Kurudi Nyumbani Kujipanga Upya!
 
Fungua Genge au Kama una ardhi ya ndogo ya kulima,lima mbogamboga kaka.
 
Nawashukuru Nyote Mnaoendelea Kunishauri!!

tafuta eneo ambalo unaweza pata maji muda wote, hasa kando kando ya mto, iwe kiwira, mbaka au songwe[mafuriko yakija kimbia]

....ukipata eneo lima mboga mboga, uhitaji kyela ni mkubwa, na mpaka leo mboga zinatoka tukuyu.
 
Hapo ni mawili kaka, kama vipi subiri uongeze mtaji kama mchangiaji alivyoshauri au kama vipi unaweza kuanzisha biashara ya mama ntilie kwasababu biashara ya chakula kaka inalipa sana. kila la kheri
 
Back
Top Bottom