Kijana aukata uume wake kuepuka usumbufu wa wanawake huko Tabora...!!

sasa alitaka aitoe ili abaki na nini au ilikuwa haipo active labda hakuwa na matumizi nayo akaamua apunguze mziggo kwenye mwili wake.
 
Ayubu Mnazi Alphonce(24) ni kijana ambaye amelazwa katika hospitali ya Rufaa ya mkoa wa Tabora Kitete akipatiwa matibabu baada ya kuamua kuukata uume wake kwa kutumia wembe mpya ili kuepukana na usumbufu anaoupata kutoka kwa wanawake ambao amekuwa nao kimapenzi...

Imeelezwa kuwa baada ya kutokea mfarakano baina yake na mwanamke mmoja ambaye jina lake halijafahamika,Ayoub aliamua kuingia ndani na kuukata uume wake kwa kutumia wembe mkali na kisha kuutupa nje..

Taarifa kutoka Jeshi la Polisi zinaeleza kuwa baba mzazi wa Ayubu baada ya kubaini kuwa mtoto wake alikuwa amejifungia chumbani kwa muda mrefu, aliamua kumgongea mlango na alipopata fursa ya kuingia ndani ndipo alipogundua ukweli juu ya jambo hilo na hivyo kumpeleka Ayubu Kituo kikubwa cha Polisi Tabora ambapo jalada la kesi ya kujidhuru lilifunguliwa.

Hata hivyo hali ya Ayubu kwasasa inaendelea vizuri licha ya kuwa amejikata na kubakisha kipande cha sentimeta 5 huku akisubiriwa kufikishwa mahakamani kwa kutenda kosa hilo la kujidhuru mwenyewe pasipo sababu za msingi.

mhhhh,hii dunia bana?

Atakojoaje???? Wataalamu nisaidien
 
Huyu jamaa sio mkweli,anawasingizia wanawake tu,inawezekana jongoo hapandi mtungi,au mlingoti wake wa jahazi haulisimamishi tanga vizuri.Kwa hio jahazi linakua haliendi kama tanga halina upepo,mwisho wake ni jahazi kwenda mrama mwisho linazama(yaani Mademu hawamtaki maana hawafikishi panapostahili hivyo wanamkacha ndo maana kaamua kumpunguza urefu,sasa hicho kilobaki kitamsaidia?akipona akaimbe taarabu za mipasho huko ndiko kunako mfaa)
 
HII NI HATARI SANA!

Ayubu Mnazi Alphonce(24) ni kijana ambaye amelazwa katika hospitali ya Rufaa ya mkoa wa Tabora Kitete akipatiwa matibabu baada ya kuamua kuukata uume wake kwa kutumia wembe mpya ili kuepukana na usumbufu anaoupata kutoka kwa wanawake ambao amekuwa nao kimapenzi...

Imeelezwa kuwa baada ya kutokea mfarakano baina yake na mwanamke mmoja ambaye jina lake halijafahamika,Ayoub aliamua kuingia ndani na kuukata uume wake kwa kutumia wembe mkali na kisha kuutupa nje..

Taarifa kutoka Jeshi la Polisi zinaeleza kuwa baba mzazi wa Ayubu baada ya kubaini kuwa mtoto wake alikuwa amejifungia chumbani kwa muda mrefu, aliamua kumgongea mlango na alipopata fursa ya kuingia ndani ndipo alipogundua ukweli juu ya jambo hilo na hivyo kumpeleka Ayubu Kituo kikubwa cha Polisi Tabora ambapo jalada la kesi ya kujidhuru lilifunguliwa.

Hata hivyo hali ya Ayubu kwasasa inaendelea vizuri licha ya kuwa amejikata na kubakisha kipande cha sentimeta 5 huku akisubiriwa kufikishwa mahakamani kwa kutenda kosa hilo la kujidhuru mwenyewe pasipo sababu za msingi. [/QUOTE]
 
Ayubu Mnazi Alphonce(24) ni kijana ambaye amelazwa katika hospitali ya Rufaa ya mkoa wa Tabora Kitete akipatiwa matibabu baada ya kuamua kuukata uume wake kwa kutumia wembe mpya ili kuepukana na usumbufu anaoupata kutoka kwa wanawake ambao amekuwa nao kimapenzi...

Imeelezwa kuwa baada ya kutokea mfarakano baina yake na mwanamke mmoja ambaye jina lake halijafahamika,Ayoub aliamua kuingia ndani na kuukata uume wake kwa kutumia wembe mkali na kisha kuutupa nje..

Taarifa kutoka Jeshi la Polisi zinaeleza kuwa baba mzazi wa Ayubu baada ya kubaini kuwa mtoto wake alikuwa amejifungia chumbani kwa muda mrefu, aliamua kumgongea mlango na alipopata fursa ya kuingia ndani ndipo alipogundua ukweli juu ya jambo hilo na hivyo kumpeleka Ayubu Kituo kikubwa cha Polisi Tabora ambapo jalada la kesi ya kujidhuru lilifunguliwa.

Hata hivyo hali ya Ayubu kwasasa inaendelea vizuri licha ya kuwa amejikata na kubakisha kipande cha sentimeta 5 huku akisubiriwa kufikishwa mahakamani kwa kutenda kosa hilo la kujidhuru mwenyewe pasipo sababu za msingi.

dunia ina mambo aiseee
 
Jando na unyago zirudi ama Mulugu na team tafuteni namna ya kuiweka hiyo elimu kwenye mitaala au jamani miskitini na makanisani ni muda sasa wa kuandaa waumini wenu walio imara.
 
Hahahahaaaaa huyo anakosoa uumbaji aiseee na mungu atamlaani yaani ameshindwa kutumia njia nyingne ya kujizuia?????
 
Ye anaanza leo, wengine tulishakata siku nyiiiingi na wala hatukwenda hospitali wala kutangaza gazetini.
Kukata ndo mpango mzima.unakuwa kama celibacy
 
He ....

Huyu atakua anasumbuliwa na matatizo ya ubongo, wewe unaiondoa aseti muhimu mwilini mwako

Au anataka awe kaka poa?
 
Back
Top Bottom