Kijana aukata uume wake kuepuka usumbufu wa wanawake huko Tabora...!!

Nisaaidie kupata mawasiliano yake,tayar anafaha kutumika huyo,sasa kama kundi la Wanaume hayumo tena what next ? ni kumpanda tu
Unataka mawasiliano yake ya nini?

Au unataka kumkameroni?!

Hala hala,kumbuka vitabu vyote vya dini vimekataza mchezo huo mchafu.
 
Ayubu Mnazi Alphonce(24) ni kijana ambaye amelazwa katika hospitali ya Rufaa ya mkoa wa Tabora Kitete akipatiwa matibabu baada ya kuamua kuukata uume wake kwa kutumia wembe mpya ili kuepukana na usumbufu anaoupata kutoka kwa wanawake ambao amekuwa nao kimapenzi...

Imeelezwa kuwa baada ya kutokea mfarakano baina yake na mwanamke mmoja ambaye jina lake halijafahamika,Ayoub aliamua kuingia ndani na kuukata uume wake kwa kutumia wembe mkali na kisha kuutupa nje..

Taarifa kutoka Jeshi la Polisi zinaeleza kuwa baba mzazi wa Ayubu baada ya kubaini kuwa mtoto wake alikuwa amejifungia chumbani kwa muda mrefu, aliamua kumgongea mlango na alipopata fursa ya kuingia ndani ndipo alipogundua ukweli juu ya jambo hilo na hivyo kumpeleka Ayubu Kituo kikubwa cha Polisi Tabora ambapo jalada la kesi ya kujidhuru lilifunguliwa.

Hata hivyo hali ya Ayubu kwasasa inaendelea vizuri licha ya kuwa amejikata na kubakisha kipande cha sentimeta 5 huku akisubiriwa kufikishwa mahakamani kwa kutenda kosa hilo la kujidhuru mwenyewe pasipo sababu za msingi.

Weka picha ya sehemu husika iliyoathirika ili tufanye tathimini ya tatizo, mkuu huenda hicho kipisi kikafaa japo kwa kutishia watoto wakorofi!
Ila Bange mbayaaa...!
 
I am trying to imagine configuration ya kilichobaki. A body without head!?? na hainaga mabega lol..., the top ina round figure. Mathematicians wangetamani kukokotoa sijui diameter au radius! mweeh
 
umeona eeehhh!
hawa wenzetu uvumilivu sifuri.
nakumbuka nilipokuwa labor ya mtoto wa pili nilikuwa na daktari mwanaume. akaniambia aisee nyie wanawake nawaheshimu sana. kwa haya mauchungu mnayoyapata huku ingekuwa wanaume pia tunazaa hakuna mwanaume angezaa mtoto wa pili. wenzetu hawataki maumivu kabisaaaa

sasa na wewe maneno ya dakitare wako huyo ndo unataka kutuaminisha hapa?
 
Ayubu Mnazi Alphonce(24) ni kijana ambaye amelazwa katika hospitali ya Rufaa ya mkoa wa Tabora Kitete akipatiwa matibabu baada ya kuamua kuukata uume wake kwa kutumia wembe mpya ili kuepukana na usumbufu anaoupata kutoka kwa wanawake ambao amekuwa nao kimapenzi...

Imeelezwa kuwa baada ya kutokea mfarakano baina yake na mwanamke mmoja ambaye jina lake halijafahamika,Ayoub aliamua kuingia ndani na kuukata uume wake kwa kutumia wembe mkali na kisha kuutupa nje..

Taarifa kutoka Jeshi la Polisi zinaeleza kuwa baba mzazi wa Ayubu baada ya kubaini kuwa mtoto wake alikuwa amejifungia chumbani kwa muda mrefu, aliamua kumgongea mlango na alipopata fursa ya kuingia ndani ndipo alipogundua ukweli juu ya jambo hilo na hivyo kumpeleka Ayubu Kituo kikubwa cha Polisi Tabora ambapo jalada la kesi ya kujidhuru lilifunguliwa.

Hata hivyo hali ya Ayubu kwasasa inaendelea vizuri licha ya kuwa amejikata na kubakisha kipande cha sentimeta 5 huku akisubiriwa kufikishwa mahakamani kwa kutenda kosa hilo la kujidhuru mwenyewe pasipo sababu za msingi.

Huyo ni fara kweli! Muda si mrefu ataanza kujutia kitendo hicho.
 
amemkomoa nani sasa.....??
 
Hakuna kitu ninachojivunia mimi kama MASHINE yangu yaani kama mtu anaitoa bora aniue kabisaaaa. Kama mwanaume Siwezi hata kufikiria kufanya alichofanya. Asante mungu kwa kunitoa nikiwa JEMBE.

Mkuu usipende kujiita Jembe maanake linatiwa MPINI
 
Back
Top Bottom