Kijana aukata uume wake kuepuka usumbufu wa wanawake huko Tabora...!!

Nisaaidie kupata mawasiliano yake,tayar anafaha kutumika huyo,sasa kama kundi la Wanaume hayumo tena what next ? ni kumpanda tu
 
Hakuna kitu ninachojivunia mimi kama MASHINE yangu yaani kama mtu anaitoa bora aniue kabisaaaa. Kama mwanaume Siwezi hata kufikiria kufanya alichofanya. Asante mungu kwa kunitoa nikiwa JEMBE.
 
Hakuna kitu ninachojivunia mimi kama MASHINE yangu yaani kama mtu anaitoa bora aniue kabisaaaa. Kama mwanaume Siwezi hata kufikiria kufanya alichofanya. Asante mungu kwa kunitoa nikiwa JEMBE.

naona unamshukuru mungu kukutoa JEMBE. je wanawake ni SHAMBA au TREKTA. ?
 
umeona eeehhh!
hawa wenzetu uvumilivu sifuri.
nakumbuka nilipokuwa labor ya mtoto wa pili nilikuwa na daktari mwanaume. akaniambia aisee nyie wanawake nawaheshimu sana. kwa haya mauchungu mnayoyapata huku ingekuwa wanaume pia tunazaa hakuna mwanaume angezaa mtoto wa pili. wenzetu hawataki maumivu kabisaaaa

Mziki wa labor achana nao best,kweli wasingeuweza.
Wamama na waheshimiwe sana,mimi hata ukiniuliza ilikuwaje nikafikisha watoto watatu wala hata sielewi ingawa bado nakumbuka kila mmoja niliumwaje.
Ahsante Mungu kwa kuniumba mwanamke.
 
Back
Top Bottom