Kijana amwagiwa Tindikali Igunga

Kwa wale ambao hampo Igunga mwaweza kuwaweka kando CDM ila ukweli ni kwamba CDM imeingiza jana Vijana 80 kutoka Tarime na wengine 300 walitangulia kabla ya uzinduzi wa kampeni zao kwa ajili ya kuleta vurugu na kondoa mabango ya wenzao. Hakika ninawaambia hali hii italeta machafuko zaidi.

na kama unasema uongo ujue unatudanganya sisi tu lakini mungu je? Na yeye pia unamdanganya? Sema ukweli daima.

Nimeambiwa kuwa huyu kijana alimwagiwa mkojo wa Kuku. Si kweli kuwa kaumia sana na hali yake inaendelea vizuri.

Kuna uwezekano kesho akatoka mara dawa iliyoagizwa ikifika, ambayo ni Mkaa wa Mgomba.

Mgonjwa leo alionekana akila Pizza ya Kisukuma bila matatizo yoyote.

Nimeambiwa kuwa huyu kijana alimwagiwa mkojo wa Kuku. Si kweli kuwa kaumia sana na hali yake inaendelea vizuri.

Kuna uwezekano kesho akatoka mara dawa iliyoagizwa ikifika, ambayo ni Mkaa wa Mgomba.

Mgonjwa leo alionekana akila Pizza ya Kisukuma bila matatizo yoyote.

Hii kali

Hili nililitarajia kutoka kwenye chama kilichozoea fujo na maandamano kiasi cha kukodi wala ndumu kwenye maandamano yao. Wasiwasi wangu hii thread haitaishi kufikia asubuhi kabla haijafutwa eti kwa kuwa hakuna ushahidi. Wanasahau jinsi wanavyojaza thread za kumkashfu Kikwete kila uchao.

na bado vijana wa cdm fanyen kazi yenu mana wana ccm wanatoa mabango ya cdm. Hongera

Alikuwa anabandua picha za CDM usiku na Ngosha wakammwagia Mkojo wa Kuku.

nimegundua watu huwa tunatawaliwa na hasira sio fikira. Tujalibu kuchuja mambo kabla ya kusema. Kweli inawezekana kijana kafanyiwa hayo mbona shutuma ni kwa cdm na wala c cuf au kunajambo gani kuwajenga na cuf kama suspect lets not judge presumption of innocence ni nzuri ili kulinda amani.

3.jpg

Huyu ndo aliyemwagiwa tindikali

Source: Michuzi blog

Umeshaambiwa Chadema ndiyo wamehusika sasa CCM wanaingiaje hapo? Usifikiri kila mtu mjinga humu.

Binafsi naona ni dhana ya ccm na wadau wake kupandikiza chuki dhidi ya CDM. Hata wafuasi wake sasa wamekuwa na itikadi hiyo ya kusema maovu yote ni CDM. Sidhani kama kuna ukweli dhidi ya CDM. Polisi kazi yao ni kujua nani alihusika na ni kwanini. [Atupe muongozo wa polisi unasemaje]

Wana JF sasa hivi tupo hapa Igunga hospital usiku huu, kijana wa CCM aliyekuwa anabandika mabango kwa ajili ya uzinduzi wa kampeni za CCM kesho, ametekwa na vijana wa CDM na kumwagiwa tindikali usoni,, kwakweli ameharibika vibaya na inasikitisha sana. Hawa CDM kwanini wameweka fujo na ughaidi mbele? Sasa huyu kijana hawezi kuona na ukimwona utarokwa machozi. Hebu hizi tamaa na uroho wa madaraka usituingize kwenye vita,, ni kitu kibaya kabisa kilichofanyika. Sasa hivi waandishi wa habari wamefiaka hapa, pengine mtasoma kwenye magazeti na kuona picha. Watanzania tukatae roho za kijambazi kama hizi

Mambo yale yale usanii mtupu CCM iko tayari kumuangamiza mtu wa kawaida mlalahoi kwa tindi kali ili watumie kama kigezo cha kutafuta umaarufu na kupoteza na kutuondoa katika mkondo.Hebu jiulize huyu aliyemwagiwa tindi kali anaumaruufu gani?Ni bora mgemwagia tindikali mgombea wenu au Nape au Ben mkapa kungekua na logic huu mchezo mchafu toka CCM aibuu!

Hawa CDM vipi lakini yaani huu unyama waliomfanyia huyu kijana haukubaliki hata kidogo.
Ndio mnataka eti mpewe nchi wahuni watupu si ndio mtawachinja wananchi kama kuku

Hawa CDM vipi lakini yaani huu unyama waliomfanyia huyu kijana haukubaliki hata kidogo.

Ndio mnataka eti mpewe nchi wahuni watupu si ndio mtawachinja wananchi kama kuku

Mwenyekiti wao mwenyewe hajakanusha kashfa ya kula majani.

Similar Discussions

Back
Top Bottom