Wana JF sasa hivi tupo hapa Igunga hospital usiku huu, kijana wa CCM aliyekuwa anabandika mabango kwa ajili ya uzinduzi wa kampeni za CCM kesho, ametekwa na vijana wa CDM na kumwagiwa tindikali usoni,, kwakweli ameharibika vibaya na inasikitisha sana.
Hawa CDM kwanini wameweka fujo na ughaidi mbele? Sasa huyu kijana hawezi kuona na ukimwona utarokwa machozi. Hebu hizi tamaa na uroho wa madaraka usituingize kwenye vita, ni kitu kibaya kabisa kilichofanyika. Sasa hivi waandishi wa habari wamefiaka hapa, pengine mtasoma kwenye magazeti na kuona picha. Watanzania tukatae roho za kijambazi kama hizi