Kijana miaka 22 wa lupa wilayani chunya aliyemaliza form 4 2010 kazalisha wanafunzi watano akiwemo mdogo wangu,jamani afanyweje huyu mtu,sheria inasemaje??

hili nalo neno!katika watano wote hao sijui usalama wake utakuwa asilimia ngapi?akapime ukimwi......