Kijana 22yrs,kazalisha wanafunzi watano,afanyweje!

f2rk

JF-Expert Member
Jan 19, 2013
501
418
Kijana miaka 22 wa Lupa wilayani Chunya aliyemaliza form 4 2010 kazalisha wanafunzi watano akiwemo mdogo wangu,jamani afanyweje huyu mtu,sheria inasemaje??
 
Kijana miaka 22 wa lupa wilayani chunya aliyemaliza form 4 2010 kazalisha wanafunzi watano akiwemo mdogo wangu,jamani afanyweje huyu mtu,sheria inasemaje??

alipwe kwa kazi kubwa alofanya!
 
Iko wazi asaidiwe kulea watoto ,jipangeni wajombaaa!huyo kidume cha mbegu anaendeleza ukoo!
 
Apongezwe,Ameongeza idadi ya wapiga kura!
Hao mabinti+mdogo wako wameponzwa na kiherehere chao!
 
Kijana miaka 22 wa lupa wilayani chunya aliyemaliza form 4 2010 kazalisha wanafunzi watano akiwemo mdogo wangu,jamani afanyweje huyu mtu,sheria inasemaje??

Ahasiwe huyo kwanza kabla hata ya kufikishwa kortini, nyambafu!
 
dume la mbegu ila aonywe na kupewa karipio kali maana kosa hili halifanani na kosa la Mabilioni ya Uswezi.
 
Back
Top Bottom