Kigaila, unataka jimbo gani?

VUTA-NKUVUTE

JF-Expert Member
Nov 25, 2010
6,135
17,802
Benson Kigaila, Mkurugenzi wa Organaizesheni wa CHADEMA ameonyesha ukomavu.Amekuwa jasiri na mpiganaji wa kweli.

Ni kiongozi wa juu pekee wa CHADEMA aliyezongwa na Polisi jana pale Morogoro wakati palipochafuliwa na mabomu ya machozi,maji ya kuwasha na risasi za moto na 'za majivu'(kwa mujibu wa Kamanda wa Polisi).

Katikati ya Askari waliovalia kivita,ndani ya Gari lao almaarufu kama Difenda,Kamanda Kigaila akanyoosha alama ya ukombozi-'V'.Hakutetereka,hakuogopa.Ameonyesha ujasiri uliotukuka.

Sasa Kamanda Kigaila,unataka Jimbo gani? Chagua
 
Sio lazima kila mpambanaji anataka kuwa mbunge mkuu!

Well said, hizi akili za kupeana majimbo, uwaziri na ukuu wa wilaya/mkoa zipo CCM, kisa umemsifia kiongozi au umevua nanihii..

Mbona Dr. Slaa yupo nje ya Bunge lakini anawatumikia waTanzania!
 
Sasa kamanda kigaila,unataka jimbo gani? Chagua....[/quote]

kibakwe
 
Acha hiyo style. Kila mgombea wa CDM atapatikana kutokana na katiba ya chama inavyosema. Hapa ndio tunapokosea. Tuacheni wakati ufike msitoe siri zenu kwa maadui mapema.
 
Sasa Kamanda Kigaila,unataka Jimbo gani? Chagua....[/QUOTE]
Kwi kwi kwiiiii ana elimu gani vile ? kwani katiba mpya inakuja na wasio kuwa na degree hawapaswi kugombea ubunge na yeye ameishia darasa la 7, kwi kwi kwiiiiiiiii
 
Nadhani tutampa Dodama mjini huyu, atatufaa zaidi. Usimshambulie mleta hoja. Ni haki vile vile kumshawishi Kigaila kugombea hata kama kigaila hajasema hivyo. Kigaila ni jembe la ukweli.
 
Sasa Kamanda Kigaila,unataka Jimbo gani? Chagua....
Kwi kwi kwiiiii ana elimu gani vile ? kwani katiba mpya inakuja na wasio kuwa na degree hawapaswi kugombea ubunge na yeye ameishia darasa la 7, kwi kwi kwiiiiiiiii[/QUOTE]

Ha ha ha ha ha CrazyMakalio! Are you serious? Kama hujui nyamaza.
 

Well said, hizi akili za kupeana majimbo, uwaziri na ukuu wa wilaya/mkoa zipo CCM, kisa umemsifia kiongozi au umevua nanihii..

Mbona Dr. Slaa yupo nje ya Bunge lakini anawatumikia waTanzania!

anawatumikia kwa maandamano ama?
 
anawatumikia kwa maandamano ama?

If you think maandamano na kutoa elimu ya uraia, kupigania rasilimali za nchi sio kuwatumikia wananchi well.

Lakini unaona safari za Rais wako kukwea pipa kila kukicha kwenda kwa Obama na kwingineko duniani ndo kuwatumikia wananchi poa.
 
anataka kurudisha nchi mikononi

mwa wazalendo,safari hii tunataka

nchi nzima ikombolewe tunaichukua jumla

PEOPLESSSS!!!
 
Namkubali huyu kamanda jana katuonesha ukomavu na ujasiri wa kisias.

Big up hon. Kigaila
 
Sasa Kamanda Kigaila,unataka Jimbo gani? Chagua....
Kwi kwi kwiiiii ana elimu gani vile ? kwani katiba mpya inakuja na wasio kuwa na degree hawapaswi kugombea ubunge na yeye ameishia darasa la 7, kwi kwi kwiiiiiiiii[/QUOTE]

akili ukwaju hizi! Si mlisema jana CHADEMA tumekosa watu?

Ha ha ha..............................!
 
.....[/QUOTE]

Mbona anawasumbua wenye elimu hawalali wamebaki na risasi kama mbadala wa mawazo.zuma nae amesoma?
 
Kigaila huwa anagombea kwenye jimbo la kibakwe(kwa george simbachawene) kwa bahati mbaya wananchi wa kule elimu duni sana wanasema akihamia ccm wanampa ubunge.nadhani iko siku ataupata
 
Mungu hawezi kufanya makosa ya kumpatia Binadamu sifa mbili zinazokinzana kwa wakati mmoja. Ukiwa mfanya fujo huwezi kuwa mtulivu. Huwezi kuwa mshari kisha uwe muungwana. Huwezi kuwa mpiga mikelele kisha uwe mchapakazi haiwezekani. Huyu bwana hatumpi ubunge, yeye buludoza letu, linachonga barabara sasa. Tukifika mwisho tunamtia kwenye lory asichimbe barabara nzuri aliyoitengeneza.
 
Back
Top Bottom