Kigaila, unataka jimbo gani?

Sasa Kamanda Kigaila,unataka Jimbo gani? Chagua....
Kwi kwi kwiiiii ana elimu gani vile ? kwani katiba mpya inakuja na wasio kuwa na degree hawapaswi kugombea ubunge na yeye ameishia darasa la 7, kwi kwi kwiiiiiiiii
kwikwikwikwi bwegebrain bana, kigaila amemaliza UDSM faculty of science kama sikosei 1999 na aliwahi kugombea vice presdent wa students govt kumbu kumbu zangu zinanionesha alishindwa kwasababu alikuwa supported na engineering kwikwikwikwi.
source : mimi mwenyewe nilkuwepo engineering.
 
1 Reactions
Reply
Back
Top Bottom