kifua kikubwa kwa mwanaume

Ndio maana wanaume wengi wanaofikiria pesa tu wanaishia kuwa source ya finance ya maliyoos. Jamani tutafute pesa na kutunza vizuri miili yetu.
 
we endelea kupenda vifua, utauona mwisho wake!!! vitajipanga vifua hapa posta na mwenge, lakini unalala kwenye banda la uani! Preta funguka, mpango mzima ni BENJAMINS! lolest.

yaani unataka nifikirie kumuacha this hendsam of mine......?.. cacico....he is very hendsam ujue.....

Last edited by a moderator:
Ndio maana wanaume wengi wanaofikiria pesa tu wanaishia kuwa source ya finance ya maliyoos. Jamani tutafute pesa na kutunza vizuri miili yetu.

sasa tunazungumza.....
kuwa na pesa....kuwa na mvuto....basi...

Ha..ha..ha nimekusoma loud and clear CUTE money does it all...If a woman is worth it then money is not a concern kabisa.
Illustration:
Lets say the avatar that you are using is the real you,then burning cash can never be a problem at all.

unaanza kummendea na CUTE tena? Mwali umemshindwa? salaaale ..somebody is gonna die
 
Last edited by a moderator:
yaani unataka nifikirie kumuacha this hendsam of mine......?.. cacico....he is very hendsam ujue.....

preta sasa kama huo u handsome utakupa nissan qashqai kaa nao, utakupa ma-less wig ya kufa mtu original kaanao, utakujengea nyumba kaa nao, utakusaidia wakati wa shida eg kuuguliwa wazazi, wadogo zako kaa nao, utakusomeshea watoto na kukupa heshima NASEMA TENA KAA NAO!!! Pesa inafanya hata kama hukuwa na mapenzi ya dhati kwa huyo mwanaume, ukabadilika kabisa na kumpenda vibaya mno kwa care anayokuonyesha!! ila pia tu kuomba pesa ziwepo na UAMINIFU JUU! coz u can have ol this mwisho wa cku UKIMWI! Very sad! BUT OL IN OL, VIFUA NI BIG NOOOO, mula, preta, mula dada!
 
uwiiiiiii.....sasa kumkomesha.....tunaanza kutafuta nae pesa......chanel iko vizuri.....baada ya miezi miwili vyote hivyo ulivyotaja nitakuwa navimiliki.....na tutakuwa tunaheshimiana pia.......
hapo je....?

hiyo imetulia mbaya preta! yaani awe na body sexy kama hiyo picha hapo juu, halafu na mkwanja mrefuuuuu! uwiiiii mbona uhandsome unazidi mara mbili! yaani anakuwa smbody else, lakini sio kifua hichoo lakini hata hela ya vocha hana! kwa kweli acha akae tu na kifua chake!
 
you are qualified to meet your shemeji.....jiandae.....
 
..hivi mie bebii hiki kifua changu kikubwa..?...maana kuna mdada hapa ofcn..eti ananiambiga nimekaa kimazoezi. Preta
 
Last edited by a moderator:
..hivi mie bebii hiki kifua changu kikubwa..?...maana kuna mdada hapa ofcn..eti ananiambiga nimekaa kimazoezi. Preta

haiyaa....sasa ili ajue vizuri...nakuja weka kambi hapo ofcn... PakaJimmy naomba unirudishie eureka yangu....
 
Last edited by a moderator:
haiyaa....sasa ili ajue vizuri...nakuja weka kambi hapo ofcn... PakaJimmy naomba unirudishie eureka yangu....

...aisee fanya haraka...maana SHETANI anaweza kunipitia...hivi anko PakaJimmy..yuko..maana kimya sana..last alikuwa ana msiba mbeya
Watching you guys from a distance! Preta nakuletea distillation flask kabisa ili ajue wewe ni nani!...Halafu unatafutwa sana na Mtumishi Wetu
mtu chake Nipo mkubwa, life has gone back to square one, n, ...wow!... yr prayers did it!
 
halafu wewe....nina kadi yako ya karibu fair....ni kesho ujue....maana najua unapenda sana kubembea juu ya ngamia.....
 
hiyo imetulia mbaya preta! yaani awe na body sexy kama hiyo picha hapo juu, halafu na mkwanja mrefuuuuu! uwiiiii mbona uhandsome unazidi mara mbili! yaani anakuwa smbody else, lakini sio kifua hichoo lakini hata hela ya vocha hana! kwa kweli acha akae tu na kifua chake!

Pesa inatafutwa jama, tupunguze tamaa tafuta naye atafute u~handsome na u~beauty ni added features.... na pesa huwa hazitoshi always.., kama mahitaji ya pesa yalivyo hayaishi al
 
Back
Top Bottom