kifua kikubwa kwa mwanaume

KWeli watu tunatofautiana, kifua kikubwa akili pirton, cha nini?

Mwanamme mwenye akili is 'dayyyymn HYYOOOTTT'
Akiwa na pesa ni 'bonus truck'
 
KWeli watu tunatofautiana, kifua kikubwa akili pirton, cha nini?

Mwanamme mwenye akili is 'dayyyymn HYYOOOTTT'
Akiwa na pesa ni 'bonus truck'
kungwi upooooo? hapo sasa tupo pamoja! kifua hata kuku anacho, sie twataka mula lolest! thats a man sasa!
 
nawapenda sana aisee, yaani vile nakiona kifua chake tu lubricant inaanza kujitengeneza sehemu muhimu muhimu
 
kifua kinapaswa kuwa cha wastan....
Tatizo wabongo wanajenga kifua kwa kupiga chuma, ambacho hata uzito kati ya pandw zake mbili hauwiani.....

Wanaishia kujaza vifua, na mashine kugeuka 'mbilimbi'.......

Na vijitako ka'ngumi !
 
Hata mie nina kifua, tena kinachoweza geuka hotel ya mtu ghafla na chakula kikatoa.

Kifua kitu gani, hata mashoti wanavyo lol
kongosho hivi jamani kuna faida gani ya kuwa na mwanaume kajazia kifua, body nzuri haswa, lakini kila saa 'anadipu???'
 
nawapenda sana aisee, yaani vile nakiona kifua chake tu lubricant inaanza kujitengeneza sehemu muhimu muhimu
marrykate tunatofautiana basi mi na wewe, yaani mi nikiona wale wekundu walivyojipanga kwenye wallet wakati anaweka fuel, au kulipa bill, mi wala sihitaji tena oil yoyote, lubricants zinakuwaga zishalowesha pichu, vibaya mnooooooooo!
 
Kuna wanaume hawana vifua, ukimwona kwa mbali huna uhakika kama unamwangalia mbele au nyuma, kwa kifupi havutii kabisa, lakini ukiona vimwana anavyovipanga utajiuliza mara kibao....... Tafuteni hela jamani, vifua ni kwa ajili ya watazamaji tu wasiowahusu
 
marrykate tunatofautiana basi mi na wewe, yaani mi nikiona wale wekundu walivyojipanga kwenye wallet wakati anaweka fuel, au kulipa bill, mi wala sihitaji tena oil yoyote, lubricants zinakuwaga zishalowesha pichu, vibaya mnooooooooo!

watoto mna balaa nyie....hi hi hi....yaani mnasema......eti....
 
watoto mna balaa nyie....hi hi hi....yaani mnasema......eti....
we endelea kupenda vifua, utauona mwisho wake!!! vitajipanga vifua hapa posta na mwenge, lakini unalala kwenye banda la uani! Preta funguka, mpango mzima ni BENJAMINS! lolest.
 
Back
Top Bottom