kifua kikubwa kwa mwanaume

halafu wewe....nina kadi yako ya karibu fair....ni kesho ujue....maana najua unapenda sana kubembea juu ya ngamia.....
AH ..ah..ah..ah!!!
Aisee, mtume dereva wako(Maiko) aniletee fasta, yeye anajua maskani yangu.
Karibu-Fair si pa kukosa hata kidogo...!
Embu angalia hii maneno mamaake!
 
AH ..ah..ah..ah!!!
Aisee, mtume dereva wako(Maiko) aniletee fasta, yeye anajua maskani yangu.
Karibu-Fair si pa kukosa hata kidogo...!
Embu angalia hii maneno mamaake!

afem....
croc bbq, impala kebabs and sweet & sour pumbaa...ndo menu....
 
uwiiiiiii.....sasa kumkomesha.....tunaanza kutafuta nae pesa......chanel iko vizuri.....baada ya miezi miwili vyote hivyo ulivyotaja nitakuwa navimiliki.....na tutakuwa tunaheshimiana pia.......
hapo je....?


Preta, kina dada wengi wanaamini wanaume ndio watawapa wao maisha mazuri. Ndio maana wanaishia kulala na watu ambao wala hawawapendi wala kutamani kuwasogelea. Baada ya kuzeeka wanagundua maisha siyo gari wala wallet walizokuwa wanazifikiria.
I think mwanamke jasiri ni yule anayejari kupambana na kutafuta kutengeneza nafasi yake kwenye maisha haya. Na ukikutana na mwanamke wa aina hiyo mbona mwanaume utaenjoy maana kama amekupenda ni kweli amekupenda kwa dhati. Waganga njaa wengi wanaishiaga kubadilisha wanaume kama mashati...What a mind set!!!! Utafikiri hizi hela ni wanaume waliozaliwa nazo
 
Last edited by a moderator:
mkibeba vyuma msije mkapitiliza, mwisho wa sikumkawa mivifua mikubwaaaaaa, makalio vidunchu na vijimashine........

Vyuma mbebe kwa kiasi.....

Ila mwanaume kazi ya umodel ya nini?(huu ni mtazamo wangu tu....)

teh teh teh. Nimecheka sana. U hali gani BT?
 
preta, kina dada wengi wanaamini wanaume ndio watawapa wao maisha mazuri. Ndio maana wanaishia kulala na watu ambao wala hawawapendi wala kutamani kuwasogelea. Baada ya kuzeeka wanagundua maisha siyo gari wala wallet walizokuwa wanazifikiria.
I think mwanamke jasiri ni yule anayejari kupambana na kutafuta kutengeneza nafasi yake kwenye maisha haya. Na ukikutana na mwanamke wa aina hiyo mbona mwanaume utaenjoy maana kama amekupenda ni kweli amekupenda kwa dhati. Waganga njaa wengi wanaishiaga kubadilisha wanaume kama mashati...what a mind set!!!! Utafikiri hizi hela ni wanaume waliozaliwa nazo

hapo umetisha kaka!
Thumbs up
 
Last edited by a moderator:
Wanaume wazembe zembe hawajui kabisa kina dada wanataka nini...wanajidanganya na vijisent vyao, ndo maana waliyoos wameongezeka. Kifua changu mashallah...kinalipa wala sipati tabu. Wenye kuamini hela inanunua kila kitu endeleeni tu....mbona siku hizi hela inanunua kila kitu kweli
 
Back
Top Bottom