kifua kikubwa kwa mwanaume

kifua.jpg

Hapo sasa!!..mashallah!!
 
pigeni vyuma mpaka muwe kama nyumba...ila kama mfukoni kuna VUMBI haitakusaidia...tunisha WALLET kifua mbwembwe tu!...
 
sexxxxxxyyyyyyyyyyyy.......
Ila akizidisha tu, naniliu ikarudi ndani kuwa kama 'mbilimbi' atakuwa hafai tena....

Lakini mwisho wa siku uzuri wa mwanaume upo kwenye wallet yake loh.......

Ndiyo kusema wallet ya mwanamke haihusiki kabisa?
Za asubuhi , afu nahisi umen'tenga! .
 
wallah akiwa na 'mula' za kutosha, hata kama hana kifua utaona kipo tu, tena na sifa kedekede! mula bwana ndio mpango mzima!!!
 
Kifua kikubwa hakina ishu yoyote,
sanasana atapiga vyuma,
kifua kitakuwa mbele,naniliu inarudi nyuma.
Ila mambo yote kwenye wallet yako wewe.
Uzuri wa mwanaume Pesa,kifua nyama tu hizo.
 
Ndiyo kusema wallet ya mwanamke haihusiki kabisa?
Za asubuhi , afu nahisi umen'tenga! .

nipo na nimekumiss....

Halafu umesema wallet ya nani? Mwanamke? Nakushauri uwe unaikimbia....mwanamke akikupa/akitumia laki moja kwa ajili yako ujue anajua itarudi mara tatu zaidi.......
 
nipo na nimekumiss....

Halafu umesema wallet ya nani? Mwanamke? Nakushauri uwe unaikimbia....mwanamke akikupa/akitumia laki moja kwa ajili yako ujue anajua itarudi mara tatu zaidi.......

Wiki hii umecharuka na misamiati iliyo adimu sana !
Nafuatilia sana comments zako ujue?
"una maneeno" (source Radio clouds - power breakfast)
 
ooooh yeah.....this is mwanaume.......

[/MSIZE]

Namioneeni huruma kiasi flani! Hivi hamuelewi Mchesti wa kiivo unaendana na Mbilimbi ?
sutsfaction with Bamiaisms ? Is't demandable or marketable ?
 
Back
Top Bottom