Kifo chako ukombozi wa watanzania

kinepi_nepi

JF-Expert Member
Aug 16, 2007
869
235
Kila mtu anapenda tunzo. Mwanafunzi anayesoma kwa bidii hutunukiwa alama ya juu. mfanyakazi hutunukiwa mshahara. Mtenda makosa hutunukiwa adhabu.

Je watanzania tumeshindwa kuwatunukia tunzo zinazofaa wanaofilisi nchi yetu. China wameamua kuwatunukia kifo wala nchi yao na Japan wanafanya vivyo hivyo.

Zipo njia mbili za kuwawaadhibu wahalifu wa mali ya umma na wezi, mafisadi na mafisi maji. Njia ya kwanza ni kwa serikali kutumia utawala wa sheria na kutoa adhabu bila kumwogopa mtu, kumwonea. Ila hili Tanzania limeshindikana.
Pili ni kwa wananchi kuisadia serikali kutoa adhabu kali kwa makosa ya uhujumu uchumi hususani pale ambapo Raisi wa nchi anakuwa na maslahi binafsi na wahujumu kama ilivyo kwa kikwete na Rostam, Karamag, Chenge nk. Hapa inatakiwa dhana ya uzalendo kama ule wa Yesu kristu kukubali kufa kwa ajili ya rafiki zako. Kizazi kijacho hakiwezi kufaidi matunda ya neema na utajiri wa tanzania kama kizazi cha sasa hakitajitoa mhanga kupigana na ufisadi unaolindwa na Raisi wa nchi. Maslahi ya nchi lazima yawekwe mbele lazima tuangalie nini tutawaachia wototo wetu halafu tuanze kupigana vita vya ushindi. Adhabu kali ndio kitu pekee binadamu ataogopa. Mungu ameweka wazi ukitenda mema utaenda peponi, dhambi ni motoni.
Sasa adhabu pekee ya mafisadi ni kuwapeleka ahera mapema ili liwe fundisho kwao kizazi chao na yeyote anayefikiri kuibia nchi. Lazima yawepo makuburi ambayo yatakuwa ya kumbukumbu ya mafisadi kwamba haya yalitokea kwa sababu ya wezi wa mali ya umma.
Haya hayawezi kutokea kama mimi na wewe hatuko tayari kufa kwa ajili ya wototo wetu na kizazi kijacho.
 
Back
Top Bottom