ndibaiukao
New Member
- Aug 29, 2011
- 4
- 0
Hapa funzo ni kuacha uzinzi hasa wale msiotaka kuoa na kufanya uchumba wa kudanganyana muda mrefu uaminifu hauwezi kuwepo km huna ndoa na mtu na isitoshe huna madaraka ya kumzuia asitembee na mtu mwingine kwakuwa bado anatafuta mzuri
mkuu maneno yako yamenigusa.
hili ndilo funzo mojawapo, pia tutafakari kuwa tujiandae kama watumishi wa Mungu wanavyotuonya inaweza kusaidia kuepukana na yaliyowapata wenzetu Kanumba na Lulu. Mungu tufumbue mioyo yetu tujiombee nasi tusijekuwa wanofuata baada ya hawa. Tusitoe hukumu ya wenzetu hawa ila tuwepamoja katika majonzi na familia ya marehemu na wasanii wenzake.