Kifo cha Kanumba kimekupa fundisho gani?.

we are not joking and we are very very serious on this. on top of that It is sad to loose
such energetic young man ata very tender age, when we needed him badly.

Inawezekana ukatujaji hivyo, na ukawa sahihi kwa maoni yako.
Ila mtazamo wangu huwa siogopi kusema ukweli ili kukubaliana
na wengi wanaosupport uovu, bora niwe peke yake bora niwe
kwenye right track. Uovu ni uovu hata kama ni mimi nimefanya
madudu, nitakwambia nilichofanya ni madudu/sin.

The man has gone away at wrong time simply coz he was in a
wrong truck. This is what we call PREMATURE DEATH. yaani kifo
ktk umri usiostahili. Ingawa kuna watu wanasema eti muda wake
wa kufa ulifika, this is very very unscientific judgement.

Nakuomba ujitaabishe kidogo usome ktk mtandao sources za
premature death majibu yatakushangaza.
mambo haya yanapotokea yawe funzo kwa kizazi cha sasa na kijacho

You are talking loud but saying nothing!
 
You are talking loud but saying nothing!
Thanx for understanding my post. If I Had written nothing You cld not respond to my post. Nayaheshimu sana maoni yako na ndiyo maana nikasema ktk post yangu hapo juu kuwa ni heri nibaki peke yangu nikiwa kwenye ukweli kuliko kuwakubalia walio wengi wanaosupporti uovu in the name of modern world.
 
waheshimu baba na mama upate cku nyingi za maisha dunian na piaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa kuwa makini ktk ishu za relationship. mpende mpenzi wako kwa moyo wako wote,AKILI ZAKO ZOTE na...............
 
kwa kweli this thing is very complicated. tujifunze kujiepusha na ugomvi hasa kwenye mahusiano, ukiona mwenzio mgomvi hebu kwa muda huo ondoka hapo ndani hasir zikiisha rudi uzungumze na mwenzio, binafsi siwezi sema nani ana kosa.
 
kanumba alikua mtu wa watu,anajiheshimu na kuheshiwa,anajali na kujitoa kwa hali na mali kama kwa mzee kipara ila aina ya kifo alichokufa ni ya kufedhehesha na kutia aibu kwani angebahatika kupona ingekua ni doa kubwa katika maisha yake.
 
Nimejifunza kuwa raisi anawadhamini sana wasanii kuliko kikundi chochote kwenye jamii, na pia anahela za kuwasaport wao tu na hao ndo wanaoweza kualikwa kwenda ikulu kupata naye dinner siku za skukuu.
 
Nimejifunza kuwa ikitokea mwanamke amekuwa na bwana au akipigiwa simu akakwepa kupokea basi ni shida kwake but kwa wanaume zetu kuwa na line takriban 50 za kuwasiliana na mabibi na kuficha au kuzima simu mara atingapo nyumbani au kuweka password ni ruksa kwao!!!!!!!! Wanaume umieni kama wanawake wanavyoumia wanapogundua kuwa mna mawasiliano kinyume na makubaliano. Iwe fundisho to you all.
 
Nimejifunza kuwa unapokuwa na Demu usimfuatilie mambo yake hasa kwenye simu maana anao wengine wengi tu, maadam amekubali kuwa naye kula kiasi chako mwache aende zake akawashibishe wengine pia kwani uhusiano wake na mimi haumzuii kuwa na wapenzi wengine. Tujihadhari jamani mademu wa siku hizi wana mambo mengi yakichangizwa na ugumu wa maisha.
 
1. Unexamined life is not worth living.
2. Life is far more than just a prolonged moment to make fun.
 
1. Kosa la kanumba ni kuwa na mtoto wa kike ambaye hajamtolea posa, wala mahari na alikuwa anafanya naye mapenzi
2. kosa la pili ni kutembea na mfanyakazi wake
3. kosa la tatu ni kudanganya umma kuwa hana gf
5. la tano ni kutembea na katoto ambako wamekakuza na wamekaona kanakua na ghafla anabadilika kuwa mke wao..yeye na ray
6. kanumba kaanza kutembea na huyo mtoto tangu akiwa na miaka 14, in short alianza kumnajisi miaka minne iliyopita..dogo alikuwa hamuogopi tena marehemu
6. hakuwa na maadili saa sita usiku anaenda club (usicheke)

una uhakika gani kama Kanumba alikuwa anafanya mapenzi na Lulu?

What if Lulu kalengeshwa kwa SK in any means whatsoever kwa manufaa ya maadui au washindani wa Kanumba kama alikuwa nao?

All in all, hakuna awezaye kumhukumu Kanumba au Lulu kwa hearsays, tusubiri report za uchunguzi zikamilike.
 
After all was in place God created MAN; then RESTED.
Then God created WOMAN. Since then NO ONE HAS RESTED!
 
Hapa funzo ni kuacha uzinzi hasa wale msiotaka kuoa na kufanya uchumba wa kudanganyana muda mrefu uaminifu hauwezi kuwepo km huna ndoa na mtu na isitoshe huna madaraka ya kumzuia asitembee na mtu mwingine kwakuwa bado anatafuta mzuri
mkuu maneno yako yamenigusa.

hili ndilo funzo mojawapo, pia tutafakari kuwa tujiandae kama watumishi wa Mungu wanavyotuonya inaweza kusaidia kuepukana na yaliyowapata wenzetu Kanumba na Lulu. Mungu tufumbue mioyo yetu tujiombee nasi tusijekuwa wanofuata baada ya hawa.
 
Back
Top Bottom