Kifo cha Kanumba kimekupa fundisho gani?.

Hapa funzo ni kuacha uzinzi hasa wale msiotaka kuoa na kufanya uchumba wa kudanganyana muda mrefu uaminifu hauwezi kuwepo km huna ndoa na mtu na isitoshe huna madaraka ya kumzuia asitembee na mtu mwingine kwakuwa bado anatafuta mzuri
mkuu maneno yako yamenigusa.

hili ndilo funzo mojawapo, pia tutafakari kuwa tujiandae kama watumishi wa Mungu wanavyotuonya inaweza kusaidia kuepukana na yaliyowapata wenzetu Kanumba na Lulu. Mungu tufumbue mioyo yetu tujiombee nasi tusijekuwa wanofuata baada ya hawa. Tusitoe hukumu ya wenzetu hawa ila tuwepamoja katika majonzi na familia ya marehemu na wasanii wenzake.
 
mauti humkuta mtu bila kutegemewa. hujui ni muda na mazingira gani utakumbana na mauti yako. Kama wasemavyo waelimisha roho, ni vizuri kuwa tayari kuyakabili maisha yajayo baada ya haya ya physical life!
 
A man life worth at its end.
No secret under the sun
Never assume simple actions
 
Watanzania tuu washamba sana. Pale inapobidi tupige kelele hatupigi na pale pasipostahili tunapiga. By the way who is f...k Lulu au Kanumba katika maisha ya mtanzania? Nothing!!! They are just f...kng waasherati ambao hawana msaada wowote kwa maisha yetu, Ni nzi kafia kwenye kidonda... thats all! Hebu tujadili na kuwalilia watu wenye maana lakini sio hawa f...ng .... ******
 
Mimi toka afariki mpendwa mashine ikimsogelea dogo inasizi kabisa, maana nahisi ni walewale akina Lulu. Nimejaribu kuongea na kubwa mpya naona inaitika. Nimejipa full kuachika na dogodogo. Sitaki kabisa tena mwisho.
 
mie nimejifunza kutomwogopa mwanaume yeyote yule.ukinigeuza punchin bag nakupa dozi yako inayokustahili.utaamua mwenyewe kubak dunian au kwenda akhera.


mweeeeeeeeeeeee ... u made my beatiful evening aiseee nimechekajeee.
 
Kwa vijana waseja ni muhimu kuishi na ndugu wengi kwenye nyumba angalau watano, wanaweza kuwa na msaada mkubwa ikitokea mtu ukaingia msambweni.
 
Nimejifunza kuwa "Mwenye nguvu mpishe na mafahali wawili hawakai zizi moja", mahusiano yanataka kujishusha kwa hali ya juu na mmoja kujifanya mjinga ili kuepusha madhara!!! laiti kama mmojawapo (lulu au kanumba) angeamua kujishusha muda huu tusingekuwa tunaongea haya yote, story ingebaki kuwa ya wema na diamond au klyn na mzee wa IPP..........
 
nimejifunza...usipende kutembea na vitoto vidogo...unaweza kula shodan kata, yan kibadachi, ukatangulia akhera bila hata ya kuaga...maana mpaka naandika kanumba blog bado iko hewani b'se ameondoka bila kuaga, nani wa kuifunga blog yake???

hebu na wewe jaribu: Kanumba The Great
 
Don't give a shit about masonic nigger, u know nothing about masonic crew. Ukiweka akili yako kwamba kila kinachotokea kinahusiana na free mason basi inaamanisha Mungu wako hana nguvu maana hacontrol chochote kile.
 
Slow down man, Kanumba had been bongo icon. Unataka wakudiscuss wewe? BULLSHIT
 
Nimejifunza... baba yako hatakama alikukataa msamehe 7 mara 70, pengine huwezi jua umaskini wake ndo ulimsababisha akakukataa, na hapa duniani pesa ndo inasuluhisha migogoro katika familia,kama Kanumba alikuwa ashaipata yeye ndiye aliyetakiwa kuchukua jukumu la kumtafuta baba. apo mshikaji alichemka. Maskini The great hakuacha mtoto wa kurithi sanaa yake R.P K.The Great
 
Son u've been too mean. Hujawahi fiwa, hujui machungu ya msiba kabisa i can tell that. Who cares about Kanumba? We Tanzanians do care. He was our icon, our hero acha tulie, acha tuhuzunike, acha tukusanyike kumuaga kama mnasema tunafuata wali endelea kusema ila sisi tunajua Kanumba alikua ni nani kwetu. Nu upuuuzi kutukuza tamaduni za nje na kusahau kabisa za kwetu, kukusanyika kwenye misiba ndio tamaduni zetu na milele itakua hivyo Afrika. Subiri msiba ukufike afu watu wasije msibani ukazike mwenyewe ndo utajua naongelea nini hapa. Niko USA rightnow ila kamwe siwezi puuza tamaduni zetu sasa wewe sijui uko wapi sembuse uko ileje sijui wapi na unajikuta umesahau tamaduni zetu. To my advice anza kwenda misibani kama huwezi piga kimya acha wengine waende, wewe na familia yako mtajizika bana au sio..
 
Tena eti tujadili na kuwalilia watu wenye maana kufa wewe basi tukujadili kama unaona kumlilia KANUMBA sio jambo la maana. U just messed up son, hujui umesema nini kabisa.
 
Back
Top Bottom