nikimwangalia huyo binti nakumbuka enzi zile ambazo mum and dad has to worry about everything .. jukumu langu likikua kusoma, kula, kulala na kucheza ... i didnt have to worry about a thing .... I remember once mama told me she had spent the whole night awake and i was like aaaah mum thats not true .. i thought she was exaggarating .. to me it was not normal ... ila now i understand .. i truly understand everything .. ama kweli kua uyaone
Kweli kicheko toka moyoni.
Wote wako free na ni kama mzazi anavyo wafurahisha wanawe, na ndio maana Yesu alisema watoto wadogo ndio wataingia ufalme wa mbinguni.
Hapo hakuna mnafiki, fisadi wa kujishaua wala anayejikomba kutaka cheo au anyeangusha umbea kumfitini mwenziwe-wakubwa tuna matatizo sana.
Haya wanaodai kuwa Mizengo Pinda huwa acheki manake ana hitilafu kwenye kucheka picha hiyo hapo...Pinda katoa tabasamu mwanana.:love::love::love::love::love:
Ukizungukwa na watu wenye furaha lazima utafurahi na utakuwa na afya njema ukizungukwa na watu wakununa nawe hutakuwa na furaha, napenda watu wenye furaha huniondolea mawazo.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.