Mliwezaje toka kwenye hili Janga

Hayupo tayari kunisupport namwambia akubali niajiriwe na Mimi niishi maisha yangu Hataki anasema anataka nijitolee kwanza( Wenzangu wameajiriwa hawajajitolea naongea nao kwenye simu).
Sijaelewa. Hataki uajiriwe anataka ujitolee kwanza. Ujitolee wapi? Kufanya kazi za nyumbani au kwenye office za watu?
Na kama ni kwenye office za watu tofauti ipo wapi (kwa upande wake) ukiajiriwa na ukijitolea?
 
Labda ni upweke kwa upande wa mama, kijana umerudi toka chuo na ukipata ajira unaondoka haraka. Muhimu tafuta ajira.
 
Ameona wewe bado kijana mchelemchele, wengine tulirudi kusalimia siku chache tu nyumbani baada ya kuhitimu masomo, kilichofuata ni mwendo wa kula ulokopeleka mboga hadi tumekuwa watu wazima na maisha yetu
 
Sijaelewa. Hataki uajiriwe anataka ujitolee kwanza. Ujitolee wapi? Kufanya kazi za nyumbani au kwenye office za watu?
Na kama ni kwenye office za watu tofauti ipo wapi (kwa upande wake) ukiajiriwa na ukijitolea?
Anasema nisitake kuajiriwa kwanza Kwa ukali Sana anasisitiza nikajitolee kitu ambacho hakuna tofauti.Sasa kujitolea itatakiwa nimtegemee Tena kama mwanafunzi ila nikiajiriwa nazidi pata experience huku nalipwa chochote kitu nakuwa simtegemei.

Ikifikia swala la kujitolea na kutoka support ya kutumia hela Kila mwezi anakuwa mkali sana.
 
umemaliza chuo na bado unabishana na mama yako kuhusu ajira…? nafikiri huko chuo kuna tatizo maalum Kama kweli uliyoyaandika Yana ukweli…
 
Anasema nisitake kuajiriwa kwanza Kwa ukali Sana anasisitiza nikajitolee kitu ambacho hakuna tofauti.Sasa kujitolea itatakiwa nimtegemee Tena kama mwanafunzi ila nikiajiriwa nazidi pata experience huku nalipwa chochote kitu nakuwa simtegemei.

Ikifikia swala la kujitolea na kutoka support ya kutumia hela Kila mwezi anakuwa mkali sana.
Okay sasa wewe ajiriwa kisha mwambie unajitolea.
 
Back
Top Bottom