Mr Chromium
JF-Expert Member
- Aug 20, 2020
- 2,090
- 2,710
Kama hijabu ni vazi rasmi mashuleni (shule za umma na binafsi) basi kumbe pia kibaraghashia kitambulike kama vazi rasmi ili wavulana nao wavae.
Bungeni vibaraghashia na hijabu ni rasmi, serikalini pia ni rasmi, sasa iweje baadhi ya mashule wavulana wasivae vibaraghashia!?
Serikali mnatuchanganya.
Kwanini kama mnapenda nchi za kidini msiende Saudi Arabia