christeve88
JF-Expert Member
- Aug 11, 2018
- 2,531
- 3,971
Nadhani kwenye shule za uma haya mambo mambo ya dini yasiingizwe kabisa zaidi ya mafundisho ya dini tu. Ikiwa mtu anataka hayo mambo ya dini apeleke mwanae shule za dini.
Upuuzi mwingine wa kidini, sasa, inasaidia ni ni? Mi nilitegemea kusikia,masomo ya, IT, lugha za kichina, kijerumani, ziwe za, lazima,Kama hijabu ni vazi rasmi mashuleni (shule za umma na binafsi) basi kumbe pia kibaraghashia kitambulike kama vazi rasmi ili wavulana nao wavae.
Bungeni vibaraghashia na hijabu ni rasmi, serikalini pia ni rasmi, sasa iweje baadhi ya mashule wavulana wasivae vibaraghashia!?
Serikali mnatuchanganya.
Kama hijabu ni vazi rasmi mashuleni (shule za umma na binafsi) basi kumbe pia kibaraghashia kitambulike kama vazi rasmi ili wavulana nao wavae.
Bungeni vibaraghashia na hijabu ni rasmi, serikalini pia ni rasmi, sasa iweje baadhi ya mashule wavulana wasivae vibaraghashia!?
Serikali mnatuchanganya.
Mpumzishe PapaIla wasiruhusu ushoga kama anavyotaka Papa