utaifakwanza
JF-Expert Member
- Feb 1, 2013
- 14,193
- 2,812
Mzee wa usafi,nakuunga mkono.
sipendi watu wanafiki.
Huyu kijana alinikera sana siku ya ulimboka.
wewe mwenyewe huaminiki
Mzee wa usafi,nakuunga mkono.
sipendi watu wanafiki.
Huyu kijana alinikera sana siku ya ulimboka.
Pole sana kibanda. Namshukuru rais kikwete kwa kukujulia hali, huo ndio uungwana
Wapendwa, habari za uhakika zilizofika sasa hivi kutoka hospitalini Afrika Kusini alikolazwa Kibanda ni kwamba ameshatolewa jicho moja ambalo liliharibiwa kabisa na wavamizi. Tayari ameshatoka Theater.Tutaendelea kujuzana.
Pole sana kibanda. Namshukuru rais kikwete kwa kukujulia hali, huo ndio uungwana
Hahaaa! Pole sana!Rais kikwete tuna imani na wewe, tunakuomba ukomeshe vitendo hivi vya kinyama.
sijui bayana nini kitatokea ila Yehova amenionyesha watu wenye maandishi yaliyoandikwa kwa damu Walazendo wa nchiJaribu kuweka bayana hii sentesi! Sijaambua kitu! Nini kitatokea?
Vitendo wakati yeye ni mhusika mkuu...unakumbuka swala la kubenea, Dr Ulimboka, Mwandishi wa channel ten.....
Mtandao wa Membe ndani ya CCM umeanza kazi ya kunyamazisha wasiotaka kuwaunga mkonoMpaka 2015 mtaona mengi sana, ni mbinu za kuzima kama walivyozima analogia! Mtaona mengi sana serikali inahusika na unyama huo kwa % zote..