Candid Scope
JF-Expert Member
- Nov 8, 2010
- 11,890
- 6,899
Kwani mara ya kwanza Mwigulu kufanya haya, kupandisha cheo hakumuongezei mtu busara na hekima, kama nini zuzu atendeleza uzuzu wake tu..
Mwigulu asisahau tukio la kuchukua mke wa mtu kule Igunga, hapa kumbukumbu hutunzwa. Nilimsuta facebook, alivyonijibu: "kwani nilikufanya wewe?" Maana yake alikiri kukwa alichukua mke wa mtu kwa jibu lake hilo.