Kibaha: CHADEMA yaporomoshewa matusi ya nguoni, mpango wa utekelezaji wa ilani wawekwa pembeni...

Kwani mara ya kwanza Mwigulu kufanya haya, kupandisha cheo hakumuongezei mtu busara na hekima, kama nini zuzu atendeleza uzuzu wake tu..

Mwigulu asisahau tukio la kuchukua mke wa mtu kule Igunga, hapa kumbukumbu hutunzwa. Nilimsuta facebook, alivyonijibu: "kwani nilikufanya wewe?" Maana yake alikiri kukwa alichukua mke wa mtu kwa jibu lake hilo.
 
Huyu ndugu Naibu Katibu Mkuu ndio uwezo wake wa utendaji wa kazi za chama ndio huu?

Ama anahofia chama kitamfia mikononi?

CCM tekelezeni ilani yenu ya 2010, mbona simple tu kuwafunga mdomo chadema?
 
Mwigulu Nchemba, naibu katibu mkuu wa CCM,amefunga mwaka kwa matusi ya nguoni kwa chama cha demokrasia na maendeleo na viongozi wake waandamizi.

yote nayaweka hapa ili naye kwa kuwa yumo humu aje akanushe.
'KALE KABABU(DOCT SLAA).kipindi raisi anaapishwa pale karimjee kenyewe kalikuwa Rukwa kanaendesha maandamano ili nchi isitawalike na sukari yake na kakitambi.mpumbavu mkubwa.
Slaa analipwa milioni 7.watumishi wake wanalipwa sh 60,000 tu.aanze yeye kuwalipa vizuri wake ndipo sa nasi tufuate.

mbowe.mtoto wake ana soma chekechea milioni 20.

Agizo kwa watumishi wa uma
Natoa agizo kwa watumishi wa umakufanya kazi ya serikali la sivyo tutawashukia kama mwewe,wale wanaihujumu serikali.wakidhani kuikosoa CCM.

utrabiri wa kifo cha CHADEMA 2015
M.L.NCHEMBA alitabiri CHADEMA kufa 2015,na aliapa kikwao .'tyunu mao' hapo tyunu mao mana yake ni hakiamama
lazima ife.

hatuwezi kuwapa wahuni nchi.

LISSU
LISU NA SUGU walisemwa na mwigulu kuwa ni vichaa.
kule singida wanamjua lisu kuwa ni kichaa,hivyo wananchi wampuuze wakili huyo maarufu nchini.

kuhusu Sugu
yeye ni muhuni.hivyo kama CHADEMA hawawezi kuwapa nchi kwa kuwa ni wahuni.

kuhusu Docta Slaa na mch. Peter Msigwa wote kwa pamoja wamezoea kula sadaka za waumini.pia doct Slaa alikula hela za ujio wa Papa hapa nchini.

kuhusu wabunge wa viti maalumu CHADEMA
waliokuwa wanausaka uwaziri kivuli.walilazimika kupatiwa rushwa ya ngono.ndipo wakapewa uwaziri huo.
nao wabunge 7 tokea cdm wamemhakikishia mwigulu kuhamia chama chake.

CHADEMA NI MAPEPO.
CHADEMA imenenwa kwa kuwa ni mapepo ndio maana ina kemewa kila kona.

kuhusu katiba
Slaa alipewa fedha na UK.WAINGEREZA ILI AKUBALI NDOA YA JINSIA MOJA ATAKAPO KUWA RAIS.
ndio maana mkutano uliofanywa na wabunge mnyika na wenje kulikuwepo wazungu hao waliowapa pesa za ushoga.
hivyo wale wanao mpa docta slaa pesa huwa wanamfanya nini docta slaa chumbani?.my GOD.

KUHUSU M4C
Nayo imenenwa kua ni alama ya ushoga kote duniani.hivyo m4c ni kueneza ushoga toka ndoa ya jinsia tofauti kwenda
jinsia moja .

NAYE MBUGE KOKA ALIJIBU TUHUMA ZILIZOTOLEWA NA WABUNGE WA CHADEMA
Nanukuu,mimi si kweli kwamba bungeni huwa sipo,ila huwa tunakaa kwa ki alfabetical order,herufi yangu ni ;s; ndio maana huwa sionekani ila huwa nipo.mimi nimwchangia mara 15,pamoja namichango ya maandishi.
cdm msiiamini ni wapuzi hao.koka alimsema wenje na msigwa huwa anawanywesha chai wakiwa bungeni kwa kuwa wamepigika mno.

koka kuhusu mfuko wa jimbo.

zimetumika milioni 18 misaada ya kujenga mashule.

MAJI.
KOKA alijigamba kuwa tayari upembuzi yakinifu una fanyika kuhusu maji.na barabara ya tamco mapinga inapembuliwa ili iwe ya lami.hawa wenzetu ni walaghai eti wanasema nakaa nyuma wapuuzeni.

ndg wana jamvi kwa ujumla hiyo hapo juu ndio hasa utekelezaji wa ilani ya CCM kwa wakazi wa KIBAHA na Mkoa kwa ujumla.vijana hawa wa ccm wamefanya makubwa wakiongozwa na mwigulu.

.naomba kuwasilisha.

NB
Mods naomba hii post msiiunganishe na ya mwingine kwa kuwa nimeleta haya mambo bila chenga.mwigulu yumo humu atanikosoa kama nimekosea.na hana ubavu huo.[/QUOT
 
Aaaaaaaaah acha mafikirio wewe hata ushahidi una...padre live bila chenga mpaka mjukuuu kapatikana kwa wife wamtu..ezi za kanisani masista sijui walikua na Hali gani...mfanyeni aowe bs maana sijawahi muona bachelor la karibu miaka 70.
unataka tuweke picha hapa? ya Nchemba na yule nani sijui Simbachawene na hata Vasco yana chenga? Angalia hao jamaa hawana utani, weka mkeo mbali nao, au kwenu poa tu, chunga mkeo ndugu au tayari. Nchemba hajawahi kutembelea nyumbani kwako.
 
Nashindwa kuwaelewa wanasiasa wanaotumia muda mwingi kushambuliana badala ya kutueleza mikakati iliyopo ili kuondoa umaskini kwa wananchi ilituweze kuyafikia maisha bora!!?
 
Hata UKOLONI ulitoweka kwa kupanda mbegu za kujiharibu. I can see clearly the germination of seeds of own destruction sown by CCM. Hivi wazee wenye busara ndani ya chama wamekufa wote? Hivi ni kweli ndani ya CCM hakuna matumizi ya protokali ya nani aseme nini kwenye mikutano ya hadhara kiasi kwamba siasa imekuwa kama tumbo la kuharisha ndani ya chama kila unapojisikia unahara bila kujali ulichokula? CCM itasababisha maafa makubwa kitakapokuwa chama cha upinzani.
 
CHADEMA pia mnatakiwa kujifunza kuwa wastaarabu pia kwa kuacha matusi. H Hata kama ungekuwa wewe kibinaadamu unaweza kureact vibaya. aya ni baadhi ya matusi katika post moja ya taarifa ya mkutano wake:

[h=2]1)
icon1.png
re: Mwigulu Nchemba: Wabunge Saba wa CHADEMA Kuhamia CCM![/h]
Mwigulu ni mwendawazimu

2)
icon1.png
Makubwa Haya!..Kutoka Facebook Ya Mwigulu Nchemba: Wabunge Saba Wa CHADEMA Kuhamia CCM!​
Huyu jamaa mbona anajulikana ni kama pampers iliyotumika​

3)
icon1.png
Re: Mwigulu Nchemba: Wabunge Saba wa CHADEMA Kuhamia CCM!
Mwigulu ni kibaka na chizi asiyeambilika!.​

4)
icon1.png
Re: Mwigulu Nchemba: Wabunge Saba wa CHADEMA Kuhamia CCM!
Zumbukuku!​

5)
icon1.png
Re: Mwigulu Nchemba: Wabunge Saba wa CHADEMA Kuhamia CCM!
Kubishana na kahaba kama mwigulu ni kupoteza muda.​

Ni bora kukaa kimya kuliko idle talk. Sasa mlitegemea yeye awaheshimu kama nyie tayari mlishamvunjia heshima? WALK THE TALK GUYS!

Freshthinking, you havent done your homework guy!!! Nchemba stands 3rd top ranking of ruling party leaders. Hapashwi kukutukana hadharani eti kadhalilishwa mtandaoni ambao pengine na mashabiki tu wa upande mwingine. Badala yake amethibitisha mwenyewe kuwa ndivyo alivyosemwa kwa reaction hii. Amejidhalilisha zaidi mara mia. Naibu katibu mkuu!!!! Aaache siasa kama ana ghadhabu na kama hatajifunza kwa wengine wajuavyo kujibu hoja au kukaa kimya. Amemwaibisha mzee wa watu mzee mangula. Sidhani kama alipotolewa kijijini aliyatarajia haya. Hata mwenyekiti wake alimpa kazi ya kujibu hoja kisiasa sio kumwaga uharooo majukwani. Anyway, kasafisha njia ya cdm bila kujua na aendelee
 
Wahuni hatuwezi wakabidhi nchi je kwa kauli hizo wahuni ni akina nani? ni wazi ni ccm basi tusiwape tena nchi
 
Mwigulu tabia yake imekighalimu chama cha chake mara kadhaa angalia igunga,arumeru hili ndilo jembe tegemewa la ccm
 
Mwigulu Nchemba, naibu katibu mkuu wa CCM,amefunga mwaka kwa matusi ya nguoni kwa chama cha demokrasia na maendeleo na viongozi wake waandamizi.

yote nayaweka hapa ili naye kwa kuwa yumo humu aje akanushe.
'KALE KABABU(DOCT SLAA).kipindi raisi anaapishwa pale karimjee kenyewe kalikuwa Rukwa kanaendesha maandamano ili nchi isitawalike na sukari yake na kakitambi.mpumbavu mkubwa.
Slaa analipwa milioni 7.watumishi wake wanalipwa sh 60,000 tu.aanze yeye kuwalipa vizuri wake ndipo sa nasi tufuate.

mbowe.mtoto wake ana soma chekechea milioni 20.

Agizo kwa watumishi wa uma
Natoa agizo kwa watumishi wa umakufanya kazi ya serikali la sivyo tutawashukia kama mwewe,wale wanaihujumu serikali.wakidhani kuikosoa CCM.

utrabiri wa kifo cha CHADEMA 2015
M.L.NCHEMBA alitabiri CHADEMA kufa 2015,na aliapa kikwao .'tyunu mao' hapo tyunu mao mana yake ni hakiamama
lazima ife.

hatuwezi kuwapa wahuni nchi.

LISSU
LISU NA SUGU walisemwa na mwigulu kuwa ni vichaa.
kule singida wanamjua lisu kuwa ni kichaa,hivyo wananchi wampuuze wakili huyo maarufu nchini.

kuhusu Sugu
yeye ni muhuni.hivyo kama CHADEMA hawawezi kuwapa nchi kwa kuwa ni wahuni.

kuhusu Docta Slaa na mch. Peter Msigwa wote kwa pamoja wamezoea kula sadaka za waumini.pia doct Slaa alikula hela za ujio wa Papa hapa nchini.

kuhusu wabunge wa viti maalumu CHADEMA
waliokuwa wanausaka uwaziri kivuli.walilazimika kupatiwa rushwa ya ngono.ndipo wakapewa uwaziri huo.
nao wabunge 7 tokea cdm wamemhakikishia mwigulu kuhamia chama chake.

CHADEMA NI MAPEPO.
CHADEMA imenenwa kwa kuwa ni mapepo ndio maana ina kemewa kila kona.

kuhusu katiba
Slaa alipewa fedha na UK.WAINGEREZA ILI AKUBALI NDOA YA JINSIA MOJA ATAKAPO KUWA RAIS.
ndio maana mkutano uliofanywa na wabunge mnyika na wenje kulikuwepo wazungu hao waliowapa pesa za ushoga.
hivyo wale wanao mpa docta slaa pesa huwa wanamfanya nini docta slaa chumbani?.my GOD.

KUHUSU M4C
Nayo imenenwa kua ni alama ya ushoga kote duniani.hivyo m4c ni kueneza ushoga toka ndoa ya jinsia tofauti kwenda
jinsia moja .

NAYE MBUGE KOKA ALIJIBU TUHUMA ZILIZOTOLEWA NA WABUNGE WA CHADEMA
Nanukuu,mimi si kweli kwamba bungeni huwa sipo,ila huwa tunakaa kwa ki alfabetical order,herufi yangu ni ;s; ndio maana huwa sionekani ila huwa nipo.mimi nimwchangia mara 15,pamoja namichango ya maandishi.
cdm msiiamini ni wapuzi hao.koka alimsema wenje na msigwa huwa anawanywesha chai wakiwa bungeni kwa kuwa wamepigika mno.

koka kuhusu mfuko wa jimbo.

zimetumika milioni 18 misaada ya kujenga mashule.

MAJI.
KOKA alijigamba kuwa tayari upembuzi yakinifu una fanyika kuhusu maji.na barabara ya tamco mapinga inapembuliwa ili iwe ya lami.hawa wenzetu ni walaghai eti wanasema nakaa nyuma wapuuzeni.

ndg wana jamvi kwa ujumla hiyo hapo juu ndio hasa utekelezaji wa ilani ya CCM kwa wakazi wa KIBAHA na Mkoa kwa ujumla.vijana hawa wa ccm wamefanya makubwa wakiongozwa na mwigulu.

.naomba kuwasilisha.

NB
Mods naomba hii post msiiunganishe na ya mwingine kwa kuwa nimeleta haya mambo bila chenga.mwigulu yumo humu atanikosoa kama nimekosea.na hana ubavu huo.

we pia una akili kma za mwigulu atukanwe na wengine halafu yeye amtukane dr slaa wapi na wapi yule ni ms**nge tu
 
Huyu ndio katibu wa chama kilichopo madarakani. Hivi hapo nani anaonekana mpuuzi kati yake na hao anaowatukana? Anyway, tuwasamehe hawa watu, hawajui wanalolitenda kwa watanzania.
 
samahani kaka nilikuwa namkoti mtu mwingine nimekosea nimekukoti wewe samahani sana mkuu
 
Yeye nani bwana!wananchi wakiamua hakuna yoyote atayekaidi,Ccm haikabidhi ila wananchi kupitia sanduku la kura!Mnafikiri tume isiyo huru,polisi wala jeshi wanaweza kuzuia maamuzi ya wananchi!Jamaa anaongeaga kama vile watz wa ssa ni maboya asubiri 2015 kitakachowakuta wote ambao hawajatekeleza ahadi!Tumewachoka na sera za kitoto mara sijui nani anakadi ya nn kwa taarifa zenu kadi ya kweli ni ya kupgia kura hz zngne wengne hatuztak mana hatutegemei kugombea vivyeo vyenu hvyo vinavyowapa kiburi na kusahau majumu yenu!Subirini tu muda ufike,mnafikiri matatizo la watz ni Chadema!
 
Sijapata maana halisi ya "Mwigulu" na "Nchemba", kwa kuwa tunaishi majina yetu (we live by our names), inawezekana yatakuwa yanamaanisha matatizo fulani kichwani!!!!!
 
We Tukutu bora ukae kimya tunakujua ni mpenz wake Mwigulu.
Karibu sana JF, hapa matusi hayana nafasi,soma sheria na taratibu zilizowekwa na watu wenye akili timamu, wasiokuwa na tahira ya ubongo na waliokataa kujivua ufahamu!
 
By the way, wanaJF wenzangu: Hivi inawezekanaje Rais ambaye ni M/Kiti wa CCM taifa anavumilia haya?? Tutaendesha nchi kwa matusi kweli?? Mwigulu huyu huyu alitukana katika kampeni za Igunga; Kule Arumeru nako matusi yaliporomoshwa na "Profesa" wa Matusi (Lusinde) ??!!?? n.k. na uongozi wa juu bado unaona hiyo ni sawa tu?? Hivi Mhe. Rais, hivi ndivyo ulivyowaelekeza wajibu sera za wapinzani?? Hizi ndio ToRs zao toka kwako??? HAKIKA NCHI HAIWEZI KUONGOZWA KWA MATUSI BALI NI SERA!! Naomba kuwauliza Kikwete na Kinana, hivi nyie ndo mmemtuma NAIBU KATIBU MKUU CCM - BARA Kutukana watu namna hiyo??? Mbona mwataka kuingiza nchi yetu kwenye machafuko kama Libya, Misri, Syria n.k. MAY SHAME REST ONTO YOU IF YOU CONTINUE BEING SILENT ON THIS!!!
 
Siku zote kama hutaki baba au mama yako atukanwe, usianze kumtukana mzazi wa mwenzako. Ukichukua mfano wa mzazi na mtoto ndio utaelewa kwanini mnavuna matusi. Wote sio wastaarabu.

kwa hiyo waliotoa matusi hayo ni wananchama wa chadema?
 
unataka tuweke picha hapa? ya Nchemba na yule nani sijui Simbachawene na hata Vasco yana chenga? Angalia hao jamaa hawana utani, weka mkeo mbali nao, au kwenu poa tu, chunga mkeo ndugu au tayari. Nchemba hajawahi kutembelea nyumbani kwako.
Aaaaaaah mi namuweka mbali na padre Ndio mwenyeushaidinae wengine ni stori tu za vijiweni....wekambali mkeo na padre lasivyo atampa mjukuuu
 
Wananchi wakawaida wanaweza kutukana hata viongozi wao na ikahesabiwa kama ukosefu wa adabu/maadili au ukosefu wa elimu etc...ila kiongozi mkubwa wa chama, kiongozi muhimu wa nchi anapoachia mitusi hadharani inaleta picha tofauti kabisa, naamini kuna njia nyingi na maneno mbadala mengi tu ambayo yangeweza kutumika kufikisha ujumbe kwa walengwa kuliko hii mipasho na rusha roho....(kama kweli alisema hayo maneno)
 
Back
Top Bottom