Kongosho
JF-Expert Member
- Mar 21, 2011
- 35,999
- 24,178
- Thread starter
- #21
vile vijiti navichukulia twisheni
ila siku hizi nshakuwa mtu mzima
nakula kwa mkono au vyovyote ntakavyokuwa confotabo.
Pale ilikuwa na ka ujana.
ila siku hizi nshakuwa mtu mzima
nakula kwa mkono au vyovyote ntakavyokuwa confotabo.
Pale ilikuwa na ka ujana.
Ha..ha..ha nakuelewa sana Kisu na Uma ni changamoto sana,ila siku ukialikwa kwa mchina utajua umuhimu wa kutovunga kuomba maji ya kunawa mikono...afadhali uma na kisu lakini kuna vile vijiti yaani sitaki kuvisikia kabisa vilishawahi kunilaza njaa mimi.Kisa na mimi nionekane hawavumi lakini wamo ilibidi asubuhi ninawe mikono mwenyewe ili kuziba mashimo.