Key activator kerspersky

Mi nina bitdffender intrnt security 2010 in expire 2047 ilikuwa ni evaluation copy tukaifanya kuwa kamili na itaexpire mwaka huo nishasahau kununua antvrs tangu 2010!!
 
Mimi nahitaji ya Kaspersky Internet Security 2012. Unayo?

Ni kaspersky Antivirus 2012? Kama ndo iyo naweza kufanyia mpango wa commercial valid lisence ambayo inasiku kama 300 na mpaka iexpire kama ndo iyo nijulishe nkupm na iyo lisence key. But nakupa tahadhari DO NOT EXPOSE IT! sana sana sehem wazi au ambapo google anaweza kuiona ni hayo tu.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom