Key activator kerspersky

Ni kaspersky Antivirus 2012? Kama ndo iyo naweza kufanyia mpango wa commercial valid lisence ambayo inasiku kama 300 na mpaka iexpire kama ndo iyo nijulishe nkupm na iyo lisence key. But nakupa tahadhari DO NOT EXPOSE IT! sana sana sehem wazi au ambapo google anaweza kuiona ni hayo tu.
 
wadau tuwaachie wenye shida kweli na hii kitu maana kila mtu akitaka mwisho wa siku wote mtakosa, karpesky wako stingy sana hiyo lisence ikiwa misused ni rahisi kwao kugundua
 
Mkuu hii ni Commercial lisence sio rahisi kublokiwa na hvyo hatuiexpose.. Ata mwaka jana nlgawa key ya mwaka moja ya commercial kama watu 30 hivi.. Ikatumika mpaka the last day bila kublokiwa ata hvyo njia zko nyng kuwaweza hawa ntakuja na kav na kis trial resetter 2012 apa jamvini soon iyo itakuwa bomba kwa wanaotumia kis version 2012 coz sina key kwa ajili yao
 
  • Thanks
Reactions: KXY

Heshima kwako mkuu!!!
 
Goog idea boss.
Ila kuna trial reseter nilitumia kwenye version 2012, ikareset. Ila tatizo lilikuja kujitokeza wakati wa ku update, ilikataa. So, sina hakika fault ilikuwa wapi.
 
dah hii avator yako ni kiboko
 
Goog idea boss.
Ila kuna trial reseter nilitumia kwenye version 2012, ikareset. Ila tatizo lilikuja kujitokeza wakati wa ku update, ilikataa. So, sina hakika fault ilikuwa wapi.
Ok ulitumia steps zp? Naulivo reset trial ulikumbuka ku activate trial tena?
 
Kiukweli ni siku nyingi(last year) hata sikumbuki. Ila nachojua nilireset ikawa poa tu, tatizo ndo hilo tu la update kufail.
 
PowerComputers wanauza hizo antiviruses,

Licence ya 3 PCs ni 38,000/=...

Wanapatikana Elia Complex, Zanaki/Bibi Titi Rd!!
 
Ni kaspersky Antivirus 2012? Kama ndo iyo naweza kufanyia mpango wa commercial valid lisence ambayo inasiku kama 300 na mpaka iexpire kama ndo iyo nijulishe nkupm na iyo lisence key. But nakupa tahadhari DO NOT EXPOSE IT! sana sana sehem wazi au ambapo google anaweza kuiona ni hayo tu.

Naomba msaada wa hizo key ktk pm, asante.
 
PowerComputers wanauza hizo antiviruses,

Licence ya 3 PCs ni 38,000/=...

Wanapatikana Elia Complex, Zanaki/Bibi Titi Rd!!

Katangazie biashara yako pale TBC, au uweke mabango barabarani!
Au vipi, wasiliana na mod ulipie bili.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom