Kesi ya Mbowe ilipikwa kipindi cha Hayati Rais Magufuli

Kama kweli Hukumu ya HAKI ya milele ipo kutokana na matendo ya mwanadamu aliyoyafanya hapa duniani, huyu jamaa sijui ana hali gani huko
Hujui ana hali gani ndio maana hatupaswi kuhukumu.
 
J
Kesi ya Mbowe ilipikwa chini ya utawala wa Magufuli hivyo Mama Samia hatakiwi kulaumiwa Bali apongezwe Kwa kuwa tayari kurekebisha makosa ya mtangulizi wake.

1. File lilifunguliwa July 18, 2020 na Swila,Kingai DCI et al kipindi Cha JPM.

2. Walinzi wa Mbowe walikamatwa na kubambikiwa madawa ya kulevya, na silaha na sare za JWTZ mwezi August, 2020 kipindi Cha JPM.

3. Walinzi wa Mbowe waliandikishwa maelezo ya uongo kuwa wamekiri na kumtaja Mbowe kuhusika na ugaidi mwezi August 2020 kipindi Cha JPM.

4. Mashahidi karibia wote waliandikishwa maelezo mwaka 2020 kipindi cha JPM.

5. Lengo likawa kumkamata Mbowe na kumfungulia mashtaka soon baada ya uchaguzi, na haikuwa Mbowe tu ilikuwa Bali ilikuwa waunganishwe Tundu lissu na Godbless Lema.

6. Taarifa zikavuja, Tundu lissu alivyosikia Kuna kesi pending alikimbilia ubalozi wa Ujerumani then akakimbia nchi.

7. Lema aliposikia polisi wanamsaka akakimbia akavuka mpaka wa Kenya then akaenda Canada.

8. Na Mbowe akakimbia nchi akaenda zake Dubai, ndiyo kipindi alichokaa sana nje ya nchi akarudi ashadungwa chanjo ya Corona na ndiyo maana hata wasaidizi wa Samia walimwambia Samia kuwa Mbowe alikimbia nchi ni kweli alikimbia, amerudi JPM akiwa hoi.

Sasa katika mazingira haya huwezi kubisha kuwa aliyesuka hii kesi ni Magufuli. Samia ameingia Ikulu katika mazingira ambayo hakuwa hata amejianda hivyo alikuwa anahitaji muda ku cope na vitu vingi. Huku chini wasaidizi wake wakiwa tayari Wana ushahidi waliopika Kwa maelekezo ya Mwendazake. Amekuja kushtuka kesi ishafunguliwa na wakamdanganya kuwa Wana ushahidi wa kutosha kuthibitisha ugaidi wa Mbowe.

Mimi naamini Rais Samia ahusiki na hii kesi kule kuongea BBC ilikuwa ni kutokana na kudanganywa na wasaidizi wake na Kwa kuwa si mwanasheria na ni mtu anayeheshimu ushauri wa wataalamu akawa ameaminishwa kuwa ule upupu wa kina Swila, Urio, Kingai kuwa ni ushahidi tosha wa ugaidi. Lakini alipoanza kuifuatilia Ile kesi akaja kugundua kuwa hakukuwa na ushahidi wowote wa maana.
View attachment 2139966
Huwezi kutenganisha huyo Samia na mwendazake, wote wana damu za watu mikononi mwao
 
Alafu anatokea mpumbavu mmoja anasema kuna siku ccm itaondoka madarakani?

Imagine leo mtu ni mwanachadema kabisa ila amejipinda hadi kuandika maneno meengi kwamba Samia hana kosa ila kosa liko kwa Magu!

Ndio maana ccm ina wadharau sana wanapinzani

Sent from my SM-T295 using JamiiForums mobile app
 
Msimusingizie Hayati usukani unachezwa na chief Hangaya.

Ndio maana akiwatoa anakutana nao ili kuwapoteza maboya
Case imepikwa na usalama wa taifa, polisi kushirikiana na jeshi wakiwa wamepata baraka zote za serikali ya awamu ya 5.
Usifikirie Samia aje kujua ukweli within 2 days.
Ukiangalia ile speech ya Siro, ushahidi ulioletwa na watu waliouleta mahakamani, unganisha na interview ya bbc na samia suluhu utajua kama samia suluhu alikuwa mislead na maofisa wake wa usalama.
Kosa kubwa alilofanya samia ni kukurupuka na kusema alivyo aminishwa.
Hii ilikuwa well planed case, lakini mboe alipata lawyer wazuri sana hardworker na wasiokata tamaa.
Na wale waliokuwa mahakamani kutupa yanajiri (Martin) walisaidia sana sana kuexpose hujuma ya serikali.
 
Kesi ya Mbowe ilipikwa chini ya utawala wa Magufuli hivyo Mama Samia hatakiwi kulaumiwa Bali apongezwe Kwa kuwa tayari kurekebisha makosa ya mtangulizi wake.

1. File lilifunguliwa July 18, 2020 na Swila,Kingai DCI et al kipindi Cha JPM.

2. Walinzi wa Mbowe walikamatwa na kubambikiwa madawa ya kulevya, na silaha na sare za JWTZ mwezi August, 2020 kipindi Cha JPM.

3. Walinzi wa Mbowe waliandikishwa maelezo ya uongo kuwa wamekiri na kumtaja Mbowe kuhusika na ugaidi mwezi August 2020 kipindi Cha JPM.

4. Mashahidi karibia wote waliandikishwa maelezo mwaka 2020 kipindi cha JPM.

5. Lengo likawa kumkamata Mbowe na kumfungulia mashtaka soon baada ya uchaguzi, na haikuwa Mbowe tu ilikuwa Bali ilikuwa waunganishwe Tundu lissu na Godbless Lema.

6. Taarifa zikavuja, Tundu lissu alivyosikia Kuna kesi pending alikimbilia ubalozi wa Ujerumani then akakimbia nchi.

7. Lema aliposikia polisi wanamsaka akakimbia akavuka mpaka wa Kenya then akaenda Canada.

8. Na Mbowe akakimbia nchi akaenda zake Dubai, ndiyo kipindi alichokaa sana nje ya nchi akarudi ashadungwa chanjo ya Corona na ndiyo maana hata wasaidizi wa Samia walimwambia Samia kuwa Mbowe alikimbia nchi ni kweli alikimbia, amerudi JPM akiwa hoi.

Sasa katika mazingira haya huwezi kubisha kuwa aliyesuka hii kesi ni Magufuli. Samia ameingia Ikulu katika mazingira ambayo hakuwa hata amejianda hivyo alikuwa anahitaji muda ku cope na vitu vingi. Huku chini wasaidizi wake wakiwa tayari Wana ushahidi waliopika Kwa maelekezo ya Mwendazake. Amekuja kushtuka kesi ishafunguliwa na wakamdanganya kuwa Wana ushahidi wa kutosha kuthibitisha ugaidi wa Mbowe.

Mimi naamini Rais Samia ahusiki na hii kesi kule kuongea BBC ilikuwa ni kutokana na kudanganywa na wasaidizi wake na Kwa kuwa si mwanasheria na ni mtu anayeheshimu ushauri wa wataalamu akawa ameaminishwa kuwa ule upupu wa kina Swila, Urio, Kingai kuwa ni ushahidi tosha wa ugaidi. Lakini alipoanza kuifuatilia Ile kesi akaja kugundua kuwa hakukuwa na ushahidi wowote wa maana.
View attachment 2139966
Kakojoe ulale sasa.

Hhaha
 
Alikuwa makamu

Sent from my SM-T295 using JamiiForums mobile app
 
Kama tunasema alikuwa juu ya mihimili yote (mahakama na bunge)
vlvl hakujali hata katiba itakuwa makamo wa raisi ambaye kiutendaji hana mamlaka yyt.
 
Siro achukuliwe hatua kwa kumpotosha mama na kudanganya umma kuwa anao ushahidi Mbowe ni gaidi.
 
Kama kesi ni ya kusuka wahusika wote wawajibishwe
Ndugu, kesi hii ni ya kubumba hilo liko wazi.
Ilipwaya kwa sababu wakati wa Nduli wa Burigi, policcm hawakuhitaji umakini kwenye kushughulikia wanaoonekana kumkera Jiwe. Hatia na hatimae hukumu vingelazimishwa tu huku walamba miguu wakishangilia na maProfesa wa sheria wakiimba mapambio.
Ili kuisafisha nchi na taifa letu, hawa mapolisi waliyohusika wote yafaa wawajibishe ili tabia hiyo iliyokuwa yaota mapembe, SASA ikome.
WAPO wananchi wengine nao waliyowahi kubambikiziwa kesi, akina Mdude na hata ambao walitumikia hukumu/kifungo, akina Sugu, wajitokeze ili pafanyike mapitio na kuleta maridhiano.
Majaji nao waliyofanya hukumu vichekesho /uonezi waundiwe tume za majaji kufanya mapitio ili kurudisha heshima ya muhimili huo unaocheza mahepe, wakati jaji mkuu kajilalia usingizi wa pono.
 
Kesi ya Mbowe ilipikwa chini ya utawala wa Magufuli hivyo Mama Samia hatakiwi kulaumiwa Bali apongezwe Kwa kuwa tayari kurekebisha makosa ya mtangulizi wake.

1. File lilifunguliwa July 18, 2020 na Swila,Kingai DCI et al kipindi Cha JPM.

2. Walinzi wa Mbowe walikamatwa na kubambikiwa madawa ya kulevya, na silaha na sare za JWTZ mwezi August, 2020 kipindi Cha JPM.

3. Walinzi wa Mbowe waliandikishwa maelezo ya uongo kuwa wamekiri na kumtaja Mbowe kuhusika na ugaidi mwezi August 2020 kipindi Cha JPM.

4. Mashahidi karibia wote waliandikishwa maelezo mwaka 2020 kipindi cha JPM.

5. Lengo likawa kumkamata Mbowe na kumfungulia mashtaka soon baada ya uchaguzi, na haikuwa Mbowe tu ilikuwa Bali ilikuwa waunganishwe Tundu lissu na Godbless Lema.

6. Taarifa zikavuja, Tundu lissu alivyosikia Kuna kesi pending alikimbilia ubalozi wa Ujerumani then akakimbia nchi.

7. Lema aliposikia polisi wanamsaka akakimbia akavuka mpaka wa Kenya then akaenda Canada.

8. Na Mbowe akakimbia nchi akaenda zake Dubai, ndiyo kipindi alichokaa sana nje ya nchi akarudi ashadungwa chanjo ya Corona na ndiyo maana hata wasaidizi wa Samia walimwambia Samia kuwa Mbowe alikimbia nchi ni kweli alikimbia, amerudi JPM akiwa hoi.

Sasa katika mazingira haya huwezi kubisha kuwa aliyesuka hii kesi ni Magufuli. Samia ameingia Ikulu katika mazingira ambayo hakuwa hata amejianda hivyo alikuwa anahitaji muda ku cope na vitu vingi. Huku chini wasaidizi wake wakiwa tayari Wana ushahidi waliopika Kwa maelekezo ya Mwendazake. Amekuja kushtuka kesi ishafunguliwa na wakamdanganya kuwa Wana ushahidi wa kutosha kuthibitisha ugaidi wa Mbowe.

Mimi naamini Rais Samia ahusiki na hii kesi kule kuongea BBC ilikuwa ni kutokana na kudanganywa na wasaidizi wake na Kwa kuwa si mwanasheria na ni mtu anayeheshimu ushauri wa wataalamu akawa ameaminishwa kuwa ule upupu wa kina Swila, Urio, Kingai kuwa ni ushahidi tosha wa ugaidi. Lakini alipoanza kuifuatilia Ile kesi akaja kugundua kuwa hakukuwa na ushahidi wowote wa maana.
View attachment 2139966
Ili tuamini ndio tunataka afukuze kqzi wote walioBumba kesi
 
Mama Samia imemchukua muda mrefu kumwachia Mbowe Kwa sababu aliaminishwa na wasaidizi wa mwendazake alioshiriki nao kupika kesi kina Sirro kuwa Wana ushahidi wa kutosha hivyo Mama akatulia aone Sheria ikichukua mkondo wake, Sasa baada ya kufuatilia kinachoendelea mahakamani akagundua ni ya mchongo tangu hapo akawa anatafuta exit.
Sio kweli
 
Sasa amegundua ukweli. Ana wafanya nini walio mdanganya?
Hivi kipindi hicho Mama Samia akikuwa nani vile?
Kwahiyo tutegemee na Tulia akisema alidanganywa covid 19 walikuwa wabunge halali hali tukijua Tulia anajua wa livyo ingia bungeni.??
Kuna watu wanadhani bado Nchi Ina wapumbav watupu
 
Back
Top Bottom