Nyangomboli
JF-Expert Member
- Nov 24, 2010
- 3,501
- 1,955
Kuna wakati mnakera. Ipikwe wakati huo kisha akamatwe wakati mwingine. Mbona mnatumia nguvu nyingi sana kupigana na mtu asiekuwepo? Mbona waTZ tunalifahamu hili vyema? Muacheni JPM apumzike kwa amani. Hajatutoka mioyoni mwetu na hatotutoka kamwe. Mmekula matapishi yenu wenuewe yamezeni salama.Kesi ya Mbowe ilipikwa chini ya utawala wa Magufuli hivyo Mama Samia hatakiwi kulaumiwa Bali apongezwe Kwa kuwa tayari kurekebisha makosa ya mtangulizi wake.
1. File lilifunguliwa July 18, 2020 na Swila,Kingai DCI et al kipindi Cha JPM.
2. Walinzi wa Mbowe walikamatwa na kubambikiwa madawa ya kulevya, na silaha na sare za JWTZ mwezi August, 2020 kipindi Cha JPM.
3. Walinzi wa Mbowe waliandikishwa maelezo ya uongo kuwa wamekiri na kumtaja Mbowe kuhusika na ugaidi mwezi August 2020 kipindi Cha JPM.
4. Mashahidi karibia wote waliandikishwa maelezo mwaka 2020 kipindi cha JPM.
5. Lengo likawa kumkamata Mbowe na kumfungulia mashtaka soon baada ya uchaguzi, na haikuwa Mbowe tu ilikuwa Bali ilikuwa waunganishwe Tundu lissu na Godbless Lema.
6. Taarifa zikavuja, Tundu lissu alivyosikia Kuna kesi pending alikimbilia ubalozi wa Ujerumani then akakimbia nchi.
7. Lema aliposikia polisi wanamsaka akakimbia akavuka mpaka wa Kenya then akaenda Canada.
8. Na Mbowe akakimbia nchi akaenda zake Dubai, ndiyo kipindi alichokaa sana nje ya nchi akarudi ashadungwa chanjo ya Corona na ndiyo maana hata wasaidizi wa Samia walimwambia Samia kuwa Mbowe alikimbia nchi ni kweli alikimbia, amerudi JPM akiwa hoi.
Sasa katika mazingira haya huwezi kubisha kuwa aliyesuka hii kesi ni Magufuli. Samia ameingia Ikulu katika mazingira ambayo hakuwa hata amejianda hivyo alikuwa anahitaji muda ku cope na vitu vingi. Huku chini wasaidizi wake wakiwa tayari Wana ushahidi waliopika Kwa maelekezo ya Mwendazake. Amekuja kushtuka kesi ishafunguliwa na wakamdanganya kuwa Wana ushahidi wa kutosha kuthibitisha ugaidi wa Mbowe.
Mimi naamini Rais Samia ahusiki na hii kesi kule kuongea BBC ilikuwa ni kutokana na kudanganywa na wasaidizi wake na Kwa kuwa si mwanasheria na ni mtu anayeheshimu ushauri wa wataalamu akawa ameaminishwa kuwa ule upupu wa kina Swila, Urio, Kingai kuwa ni ushahidi tosha wa ugaidi. Lakini alipoanza kuifuatilia Ile kesi akaja kugundua kuwa hakukuwa na ushahidi wowote wa maana.
View attachment 2139966