Tz mbongo
JF-Expert Member
- Mar 12, 2015
- 12,277
- 6,439
Hujui ana hali gani ndio maana hatupaswi kuhukumu.Kama kweli Hukumu ya HAKI ya milele ipo kutokana na matendo ya mwanadamu aliyoyafanya hapa duniani, huyu jamaa sijui ana hali gani huko

Huwezi kutenganisha huyo Samia na mwendazake, wote wana damu za watu mikononi mwaoKesi ya Mbowe ilipikwa chini ya utawala wa Magufuli hivyo Mama Samia hatakiwi kulaumiwa Bali apongezwe Kwa kuwa tayari kurekebisha makosa ya mtangulizi wake.
1. File lilifunguliwa July 18, 2020 na Swila,Kingai DCI et al kipindi Cha JPM.
2. Walinzi wa Mbowe walikamatwa na kubambikiwa madawa ya kulevya, na silaha na sare za JWTZ mwezi August, 2020 kipindi Cha JPM.
3. Walinzi wa Mbowe waliandikishwa maelezo ya uongo kuwa wamekiri na kumtaja Mbowe kuhusika na ugaidi mwezi August 2020 kipindi Cha JPM.
4. Mashahidi karibia wote waliandikishwa maelezo mwaka 2020 kipindi cha JPM.
5. Lengo likawa kumkamata Mbowe na kumfungulia mashtaka soon baada ya uchaguzi, na haikuwa Mbowe tu ilikuwa Bali ilikuwa waunganishwe Tundu lissu na Godbless Lema.
6. Taarifa zikavuja, Tundu lissu alivyosikia Kuna kesi pending alikimbilia ubalozi wa Ujerumani then akakimbia nchi.
7. Lema aliposikia polisi wanamsaka akakimbia akavuka mpaka wa Kenya then akaenda Canada.
8. Na Mbowe akakimbia nchi akaenda zake Dubai, ndiyo kipindi alichokaa sana nje ya nchi akarudi ashadungwa chanjo ya Corona na ndiyo maana hata wasaidizi wa Samia walimwambia Samia kuwa Mbowe alikimbia nchi ni kweli alikimbia, amerudi JPM akiwa hoi.
Sasa katika mazingira haya huwezi kubisha kuwa aliyesuka hii kesi ni Magufuli. Samia ameingia Ikulu katika mazingira ambayo hakuwa hata amejianda hivyo alikuwa anahitaji muda ku cope na vitu vingi. Huku chini wasaidizi wake wakiwa tayari Wana ushahidi waliopika Kwa maelekezo ya Mwendazake. Amekuja kushtuka kesi ishafunguliwa na wakamdanganya kuwa Wana ushahidi wa kutosha kuthibitisha ugaidi wa Mbowe.
Mimi naamini Rais Samia ahusiki na hii kesi kule kuongea BBC ilikuwa ni kutokana na kudanganywa na wasaidizi wake na Kwa kuwa si mwanasheria na ni mtu anayeheshimu ushauri wa wataalamu akawa ameaminishwa kuwa ule upupu wa kina Swila, Urio, Kingai kuwa ni ushahidi tosha wa ugaidi. Lakini alipoanza kuifuatilia Ile kesi akaja kugundua kuwa hakukuwa na ushahidi wowote wa maana.
View attachment 2139966
Case imepikwa na usalama wa taifa, polisi kushirikiana na jeshi wakiwa wamepata baraka zote za serikali ya awamu ya 5.Msimusingizie Hayati usukani unachezwa na chief Hangaya.
Ndio maana akiwatoa anakutana nao ili kuwapoteza maboya
Kakojoe ulale sasa.Kesi ya Mbowe ilipikwa chini ya utawala wa Magufuli hivyo Mama Samia hatakiwi kulaumiwa Bali apongezwe Kwa kuwa tayari kurekebisha makosa ya mtangulizi wake.
1. File lilifunguliwa July 18, 2020 na Swila,Kingai DCI et al kipindi Cha JPM.
2. Walinzi wa Mbowe walikamatwa na kubambikiwa madawa ya kulevya, na silaha na sare za JWTZ mwezi August, 2020 kipindi Cha JPM.
3. Walinzi wa Mbowe waliandikishwa maelezo ya uongo kuwa wamekiri na kumtaja Mbowe kuhusika na ugaidi mwezi August 2020 kipindi Cha JPM.
4. Mashahidi karibia wote waliandikishwa maelezo mwaka 2020 kipindi cha JPM.
5. Lengo likawa kumkamata Mbowe na kumfungulia mashtaka soon baada ya uchaguzi, na haikuwa Mbowe tu ilikuwa Bali ilikuwa waunganishwe Tundu lissu na Godbless Lema.
6. Taarifa zikavuja, Tundu lissu alivyosikia Kuna kesi pending alikimbilia ubalozi wa Ujerumani then akakimbia nchi.
7. Lema aliposikia polisi wanamsaka akakimbia akavuka mpaka wa Kenya then akaenda Canada.
8. Na Mbowe akakimbia nchi akaenda zake Dubai, ndiyo kipindi alichokaa sana nje ya nchi akarudi ashadungwa chanjo ya Corona na ndiyo maana hata wasaidizi wa Samia walimwambia Samia kuwa Mbowe alikimbia nchi ni kweli alikimbia, amerudi JPM akiwa hoi.
Sasa katika mazingira haya huwezi kubisha kuwa aliyesuka hii kesi ni Magufuli. Samia ameingia Ikulu katika mazingira ambayo hakuwa hata amejianda hivyo alikuwa anahitaji muda ku cope na vitu vingi. Huku chini wasaidizi wake wakiwa tayari Wana ushahidi waliopika Kwa maelekezo ya Mwendazake. Amekuja kushtuka kesi ishafunguliwa na wakamdanganya kuwa Wana ushahidi wa kutosha kuthibitisha ugaidi wa Mbowe.
Mimi naamini Rais Samia ahusiki na hii kesi kule kuongea BBC ilikuwa ni kutokana na kudanganywa na wasaidizi wake na Kwa kuwa si mwanasheria na ni mtu anayeheshimu ushauri wa wataalamu akawa ameaminishwa kuwa ule upupu wa kina Swila, Urio, Kingai kuwa ni ushahidi tosha wa ugaidi. Lakini alipoanza kuifuatilia Ile kesi akaja kugundua kuwa hakukuwa na ushahidi wowote wa maana.
View attachment 2139966
Alikuwa makamuCase imepikwa na usalama wa taifa, polisi kushirikiana na jeshi wakiwa wamepata baraka zote za serikali ya awamu ya 5.
Usifikirie Samia aje kujua ukweli within 2 days.
Ukiangalia ile speech ya Siro, ushahidi ulioletwa na watu waliouleta mahakamani, unganisha na interview ya bbc na samia suluhu utajua kama samia suluhu alikuwa mislead na maofisa wake wa usalama.
Kosa kubwa alilofanya samia ni kukurupuka na kusema alivyo aminishwa.
Hii ilikuwa well planed case, lakini mboe alipata lawyer wazuri sana hardworker na wasiokata tamaa.
Na wale waliokuwa mahakamani kutupa yanajiri (Martin) walisaidia sana sana kuexpose hujuma ya serikali.
Kwa kutumia maono yake alimishwe sana ilikuwapatia chakula mashetani wenzake woteYule jamaa aongezewe kuni za kutosha uko alipo ikiwezekana afanyishwe kazi ngumu mno
Huyo yeye badala ya kuhangaika na maisha yake anahangaika kuwaza ya mtu mwingine ambaye hata hajui alimalizaje maisha yake na Mungu wake!Hujui ana hali gani ndio maana hatupaswi kuhukumu.
ndio ukweli yule jamaa alikuwa mwovu mno mnoJiandae siku yako ipo na Wewe wapo watakao kuvywa bia kwa ushenzi wako uliofanya! Hata Wewe sio kwema!
Wewe ni mwema! Endelea kujidanganya Mungu sio mjomba wako! Mungu ni wa wote! Usihukumu usije ukahukumiwa!ndio ukweli yule jamaa alikuwa mwovu mno mno
Ndugu, kesi hii ni ya kubumba hilo liko wazi.Kama kesi ni ya kusuka wahusika wote wawajibishwe
Ili tuamini ndio tunataka afukuze kqzi wote walioBumba kesiKesi ya Mbowe ilipikwa chini ya utawala wa Magufuli hivyo Mama Samia hatakiwi kulaumiwa Bali apongezwe Kwa kuwa tayari kurekebisha makosa ya mtangulizi wake.
1. File lilifunguliwa July 18, 2020 na Swila,Kingai DCI et al kipindi Cha JPM.
2. Walinzi wa Mbowe walikamatwa na kubambikiwa madawa ya kulevya, na silaha na sare za JWTZ mwezi August, 2020 kipindi Cha JPM.
3. Walinzi wa Mbowe waliandikishwa maelezo ya uongo kuwa wamekiri na kumtaja Mbowe kuhusika na ugaidi mwezi August 2020 kipindi Cha JPM.
4. Mashahidi karibia wote waliandikishwa maelezo mwaka 2020 kipindi cha JPM.
5. Lengo likawa kumkamata Mbowe na kumfungulia mashtaka soon baada ya uchaguzi, na haikuwa Mbowe tu ilikuwa Bali ilikuwa waunganishwe Tundu lissu na Godbless Lema.
6. Taarifa zikavuja, Tundu lissu alivyosikia Kuna kesi pending alikimbilia ubalozi wa Ujerumani then akakimbia nchi.
7. Lema aliposikia polisi wanamsaka akakimbia akavuka mpaka wa Kenya then akaenda Canada.
8. Na Mbowe akakimbia nchi akaenda zake Dubai, ndiyo kipindi alichokaa sana nje ya nchi akarudi ashadungwa chanjo ya Corona na ndiyo maana hata wasaidizi wa Samia walimwambia Samia kuwa Mbowe alikimbia nchi ni kweli alikimbia, amerudi JPM akiwa hoi.
Sasa katika mazingira haya huwezi kubisha kuwa aliyesuka hii kesi ni Magufuli. Samia ameingia Ikulu katika mazingira ambayo hakuwa hata amejianda hivyo alikuwa anahitaji muda ku cope na vitu vingi. Huku chini wasaidizi wake wakiwa tayari Wana ushahidi waliopika Kwa maelekezo ya Mwendazake. Amekuja kushtuka kesi ishafunguliwa na wakamdanganya kuwa Wana ushahidi wa kutosha kuthibitisha ugaidi wa Mbowe.
Mimi naamini Rais Samia ahusiki na hii kesi kule kuongea BBC ilikuwa ni kutokana na kudanganywa na wasaidizi wake na Kwa kuwa si mwanasheria na ni mtu anayeheshimu ushauri wa wataalamu akawa ameaminishwa kuwa ule upupu wa kina Swila, Urio, Kingai kuwa ni ushahidi tosha wa ugaidi. Lakini alipoanza kuifuatilia Ile kesi akaja kugundua kuwa hakukuwa na ushahidi wowote wa maana.
View attachment 2139966
Sio kweliMama Samia imemchukua muda mrefu kumwachia Mbowe Kwa sababu aliaminishwa na wasaidizi wa mwendazake alioshiriki nao kupika kesi kina Sirro kuwa Wana ushahidi wa kutosha hivyo Mama akatulia aone Sheria ikichukua mkondo wake, Sasa baada ya kufuatilia kinachoendelea mahakamani akagundua ni ya mchongo tangu hapo akawa anatafuta exit.
Kuna watu wanadhani bado Nchi Ina wapumbav watupuSasa amegundua ukweli. Ana wafanya nini walio mdanganya?
Hivi kipindi hicho Mama Samia akikuwa nani vile?
Kwahiyo tutegemee na Tulia akisema alidanganywa covid 19 walikuwa wabunge halali hali tukijua Tulia anajua wa livyo ingia bungeni.??