Kesi ya Mbowe ilipikwa kipindi cha Hayati Rais Magufuli

Kesi ya Mbowe ilipikwa chini ya utawala wa Magufuli hivyo Mama Samia hatakiwi kulaumiwa Bali apongezwe Kwa kuwa tayari kurekebisha makosa ya mtangulizi wake.

1. File lilifunguliwa July 18, 2020 na Swila,Kingai DCI et al kipindi Cha JPM.

2. Walinzi wa Mbowe walikamatwa na kubambikiwa madawa ya kulevya, na silaha na sare za JWTZ mwezi August, 2020 kipindi Cha JPM.

3. Walinzi wa Mbowe waliandikishwa maelezo ya uongo kuwa wamekiri na kumtaja Mbowe kuhusika na ugaidi mwezi August 2020 kipindi Cha JPM.

4. Mashahidi karibia wote waliandikishwa maelezo mwaka 2020 kipindi cha JPM.

5. Lengo likawa kumkamata Mbowe na kumfungulia mashtaka soon baada ya uchaguzi, na haikuwa Mbowe tu ilikuwa Bali ilikuwa waunganishwe Tundu lissu na Godbless Lema.

6. Taarifa zikavuja, Tundu lissu alivyosikia Kuna kesi pending alikimbilia ubalozi wa Ujerumani then akakimbia nchi.

7. Lema aliposikia polisi wanamsaka akakimbia akavuka mpaka wa Kenya then akaenda Canada.

8. Na Mbowe akakimbia nchi akaenda zake Dubai, ndiyo kipindi alichokaa sana nje ya nchi akarudi ashadungwa chanjo ya Corona na ndiyo maana hata wasaidizi wa Samia walimwambia Samia kuwa Mbowe alikimbia nchi ni kweli alikimbia, amerudi JPM akiwa hoi.

Sasa katika mazingira haya huwezi kubisha kuwa aliyesuka hii kesi ni Magufuli. Samia ameingia Ikulu katika mazingira ambayo hakuwa hata amejianda hivyo alikuwa anahitaji muda ku cope na vitu vingi. Huku chini wasaidizi wake wakiwa tayari Wana ushahidi waliopika Kwa maelekezo ya Mwendazake. Amekuja kushtuka kesi ishafunguliwa na wakamdanganya kuwa Wana ushahidi wa kutosha kuthibitisha ugaidi wa Mbowe.

Mimi naamini Rais Samia ahusiki na hii kesi kule kuongea BBC ilikuwa ni kutokana na kudanganywa na wasaidizi wake na Kwa kuwa si mwanasheria na ni mtu anayeheshimu ushauri wa wataalamu akawa ameaminishwa kuwa ule upupu wa kina Swila, Urio, Kingai kuwa ni ushahidi tosha wa ugaidi. Lakini alipoanza kuifuatilia Ile kesi akaja kugundua kuwa hakukuwa na ushahidi wowote wa maana.
View attachment 2139966

Uneharibu hapa:

"Na Mbowe akakimbia nchi akaenda zake Dubai, ndiyo kipindi alichokaa sana nje ya nchi akarudi ashadungwa chanjo ya Corona na ndiyo maana hata wasaidizi wa Samia walimwambia Samia kuwa Mbowe alikimbia nchi ni kweli alikimbia, amerudi JPM akiwa Hoi"
 
Kesi ya Mbowe ilipikwa chini ya utawala wa Magufuli hivyo Mama Samia hatakiwi kulaumiwa Bali apongezwe Kwa kuwa tayari kurekebisha makosa ya mtangulizi wake.

1. File lilifunguliwa July 18, 2020 na Swila,Kingai DCI et al kipindi Cha JPM.

2. Walinzi wa Mbowe walikamatwa na kubambikiwa madawa ya kulevya, na silaha na sare za JWTZ mwezi August, 2020 kipindi Cha JPM.

3. Walinzi wa Mbowe waliandikishwa maelezo ya uongo kuwa wamekiri na kumtaja Mbowe kuhusika na ugaidi mwezi August 2020 kipindi Cha JPM.

4. Mashahidi karibia wote waliandikishwa maelezo mwaka 2020 kipindi cha JPM.

5. Lengo likawa kumkamata Mbowe na kumfungulia mashtaka soon baada ya uchaguzi, na haikuwa Mbowe tu ilikuwa Bali ilikuwa waunganishwe Tundu lissu na Godbless Lema.

6. Taarifa zikavuja, Tundu lissu alivyosikia Kuna kesi pending alikimbilia ubalozi wa Ujerumani then akakimbia nchi.

7. Lema aliposikia polisi wanamsaka akakimbia akavuka mpaka wa Kenya then akaenda Canada.

8. Na Mbowe akakimbia nchi akaenda zake Dubai, ndiyo kipindi alichokaa sana nje ya nchi akarudi ashadungwa chanjo ya Corona na ndiyo maana hata wasaidizi wa Samia walimwambia Samia kuwa Mbowe alikimbia nchi ni kweli alikimbia, amerudi JPM akiwa hoi.

Sasa katika mazingira haya huwezi kubisha kuwa aliyesuka hii kesi ni Magufuli. Samia ameingia Ikulu katika mazingira ambayo hakuwa hata amejianda hivyo alikuwa anahitaji muda ku cope na vitu vingi. Huku chini wasaidizi wake wakiwa tayari Wana ushahidi waliopika Kwa maelekezo ya Mwendazake. Amekuja kushtuka kesi ishafunguliwa na wakamdanganya kuwa Wana ushahidi wa kutosha kuthibitisha ugaidi wa Mbowe.

Mimi naamini Rais Samia ahusiki na hii kesi kule kuongea BBC ilikuwa ni kutokana na kudanganywa na wasaidizi wake na Kwa kuwa si mwanasheria na ni mtu anayeheshimu ushauri wa wataalamu akawa ameaminishwa kuwa ule upupu wa kina Swila, Urio, Kingai kuwa ni ushahidi tosha wa ugaidi. Lakini alipoanza kuifuatilia Ile kesi akaja kugundua kuwa hakukuwa na ushahidi wowote wa maana.
View attachment 2139966
Kama kesi ni ya kusuka wahusika wote wawajibishwe
 
Mpaka leo bado unamuota Magu......
 
Naamini huo ndo ukweli.
 
Kwahiyo magufuli ndio alimweka mbowe lock up miezi nane? hata km mnataka rais samia awape uteuzi acheni unafiki

Inajulikana kuwa mbowe alisukumizwa mahabusu ili Rais samia asipate usumbufu mwanzoni mwa utawala wake na angefungwa kabisa kama sio kelele za wazungu
Kwa hiyo yeye alikuwa hajui chochote, acheni upumba wenu
Msimusingizie Hayati usukani unachezwa na chief Hangaya.

Ndio maana akiwatoa anakutana nao ili kuwapoteza maboya
Kwanini usingeandika kipindi akiwa Bado ndani!?Hadi ametoka ndio mnanifanya kupiga ramli??!!!ACHA unaa Wewe!!
Kumekucha😀😀😀😀😀😀😀😀Ila Mbowe naye, mmmmm kwakweli mnawaumiza sana wanaCHADEMA hivi hamjifunzi Zambia.
Hivi kwani kuna mtu aliyekuwa hajui kwamba hii kesi ilitengenezwa na Mzilankende Muyango a.k.a Jiwe?!

Kweli ukistaajabu ya mtu kwenda kwa Mpalange, utayaona ya mtu kuzama chumvini kule Uvinza!
 
Sasa amegundua ukweli. Ana wafanya nini walio mdanganya?
Hivi kipindi hicho Mama Samia akikuwa nani vile?
Kwahiyo tutegemee na Tulia akisema alidanganywa covid 19 walikuwa wabunge halali hali tukijua Tulia anajua wa livyo ingia bungeni.??
Vyovyote iwavyo,lakini taasisi ya urais,ilipaswa kugundua mapema hizo fitina pindi tu SSH aliposhika usukani.Ukweli juu ya Mbowe kuwa si gaidi,umechelewa kufika.Mtu angedhani anamwumiza Mbowe tu,kumbe nyuma yake kulikuwa na wengi zaidi wanaumia.Wanachadema,wanachama wa vyama vingine,na wasio na chama chochote.
 
Hivi kwani kuna mtu aliyekuwa hajui kwamba hii kesi ilitengenezwa na Mzilankende Muyango a.k.a Jiwe?!

Kweli ukistaajabu ya mtu kwenda kwa Mpalange, utayaona ya mtu kuzama chumvini kule Uvinza!
Kipindi Mbowe anawekwa ndani Rais alikuwa Magufuli siyo.

Basi kama ndiye aliyekuwa Rais upo sahihi
 
Kesi ya Mbowe ilipikwa chini ya utawala wa Magufuli hivyo Mama Samia hatakiwi kulaumiwa Bali apongezwe Kwa kuwa tayari kurekebisha makosa ya mtangulizi wake.

1. File lilifunguliwa July 18, 2020 na Swila,Kingai DCI et al kipindi Cha JPM.

2. Walinzi wa Mbowe walikamatwa na kubambikiwa madawa ya kulevya, na silaha na sare za JWTZ mwezi August, 2020 kipindi Cha JPM.

3. Walinzi wa Mbowe waliandikishwa maelezo ya uongo kuwa wamekiri na kumtaja Mbowe kuhusika na ugaidi mwezi August 2020 kipindi Cha JPM.

4. Mashahidi karibia wote waliandikishwa maelezo mwaka 2020 kipindi cha JPM.

5. Lengo likawa kumkamata Mbowe na kumfungulia mashtaka soon baada ya uchaguzi, na haikuwa Mbowe tu ilikuwa Bali ilikuwa waunganishwe Tundu lissu na Godbless Lema.

6. Taarifa zikavuja, Tundu lissu alivyosikia Kuna kesi pending alikimbilia ubalozi wa Ujerumani then akakimbia nchi.

7. Lema aliposikia polisi wanamsaka akakimbia akavuka mpaka wa Kenya then akaenda Canada.

8. Na Mbowe akakimbia nchi akaenda zake Dubai, ndiyo kipindi alichokaa sana nje ya nchi akarudi ashadungwa chanjo ya Corona na ndiyo maana hata wasaidizi wa Samia walimwambia Samia kuwa Mbowe alikimbia nchi ni kweli alikimbia, amerudi JPM akiwa hoi.

Sasa katika mazingira haya huwezi kubisha kuwa aliyesuka hii kesi ni Magufuli. Samia ameingia Ikulu katika mazingira ambayo hakuwa hata amejianda hivyo alikuwa anahitaji muda ku cope na vitu vingi. Huku chini wasaidizi wake wakiwa tayari Wana ushahidi waliopika Kwa maelekezo ya Mwendazake. Amekuja kushtuka kesi ishafunguliwa na wakamdanganya kuwa Wana ushahidi wa kutosha kuthibitisha ugaidi wa Mbowe.

Mimi naamini Rais Samia ahusiki na hii kesi kule kuongea BBC ilikuwa ni kutokana na kudanganywa na wasaidizi wake na Kwa kuwa si mwanasheria na ni mtu anayeheshimu ushauri wa wataalamu akawa ameaminishwa kuwa ule upupu wa kina Swila, Urio, Kingai kuwa ni ushahidi tosha wa ugaidi. Lakini alipoanza kuifuatilia Ile kesi akaja kugundua kuwa hakukuwa na ushahidi wowote wa maana.
View attachment 2139966
Nauliza TU HIVI MAGUFULI ALIENDA WAPI?
 
FB_IMG_16465820708833673.jpg
 
Professionalism ni kitu Muhimu Sana pamoja na kufahamy fika kwamba ushahidi utaacha mashaka makubwa lakini wanaendelea na kesi!
Inawezekana ni Kwa maksudi au kwasababu yoyote Ile bado kunakila sababu ya kuacha utaalamu na WATAALAMU wafanye kazi zao ipasavyo.

Hawa Polisi watuache tufanye KAZI zetu za siasa Kwa Uhuru na haki wataona manufaa ya Kuwa na chi yenye kuthamini haki.

Madhira yote mnayoyapata mpaka mnakosa uelekeo yatabakia Kuwa historia Sisi tunawaonea huruma mnavyo tumika wakati wa uchaguzi na baada ya hapo mnakuwa Ngoma ya mwendawazimu.
Nyosheni mstari mtaona matokeo yake.
 
Kesi ya Mbowe ilipikwa chini ya utawala wa Magufuli hivyo Mama Samia hatakiwi kulaumiwa Bali apongezwe Kwa kuwa tayari kurekebisha makosa ya mtangulizi wake.

1. File lilifunguliwa July 18, 2020 na Swila,Kingai DCI et al kipindi Cha JPM.

2. Walinzi wa Mbowe walikamatwa na kubambikiwa madawa ya kulevya, na silaha na sare za JWTZ mwezi August, 2020 kipindi Cha JPM.

3. Walinzi wa Mbowe waliandikishwa maelezo ya uongo kuwa wamekiri na kumtaja Mbowe kuhusika na ugaidi mwezi August 2020 kipindi Cha JPM.

4. Mashahidi karibia wote waliandikishwa maelezo mwaka 2020 kipindi cha JPM.

5. Lengo likawa kumkamata Mbowe na kumfungulia mashtaka soon baada ya uchaguzi, na haikuwa Mbowe tu ilikuwa Bali ilikuwa waunganishwe Tundu lissu na Godbless Lema.

6. Taarifa zikavuja, Tundu lissu alivyosikia Kuna kesi pending alikimbilia ubalozi wa Ujerumani then akakimbia nchi.

7. Lema aliposikia polisi wanamsaka akakimbia akavuka mpaka wa Kenya then akaenda Canada.

8. Na Mbowe akakimbia nchi akaenda zake Dubai, ndiyo kipindi alichokaa sana nje ya nchi akarudi ashadungwa chanjo ya Corona na ndiyo maana hata wasaidizi wa Samia walimwambia Samia kuwa Mbowe alikimbia nchi ni kweli alikimbia, amerudi JPM akiwa hoi.

Sasa katika mazingira haya huwezi kubisha kuwa aliyesuka hii kesi ni Magufuli. Samia ameingia Ikulu katika mazingira ambayo hakuwa hata amejianda hivyo alikuwa anahitaji muda ku cope na vitu vingi. Huku chini wasaidizi wake wakiwa tayari Wana ushahidi waliopika Kwa maelekezo ya Mwendazake. Amekuja kushtuka kesi ishafunguliwa na wakamdanganya kuwa Wana ushahidi wa kutosha kuthibitisha ugaidi wa Mbowe.

Mimi naamini Rais Samia ahusiki na hii kesi kule kuongea BBC ilikuwa ni kutokana na kudanganywa na wasaidizi wake na Kwa kuwa si mwanasheria na ni mtu anayeheshimu ushauri wa wataalamu akawa ameaminishwa kuwa ule upupu wa kina Swila, Urio, Kingai kuwa ni ushahidi tosha wa ugaidi. Lakini alipoanza kuifuatilia Ile kesi akaja kugundua kuwa hakukuwa na ushahidi wowote wa maana.
View attachment 2139966
yaami nyie hakuna kitu mnachoweza! mnaanzisha jambo likiwashinda mnakuja ku'backdate' na kutupa lawama kwa jembe letu lililolala kwa amani huku mkijikoshakosha...mmmmh hoooooovyo kabisa!
Ingekuwa hayo yanaukweli unafikiri angekuwa analandalanda mtaani bila kukamatwa...hebu tutolee upuuzi hapa, mmelikoroga linyweni na mama yenu!
 
Adui ni sisiemu na yeyote aliepo katika hicho chama ni adui wa nchi
Ccm kama chama na nembo yake ya nyundo na jembe sio tatizo.Tatizo ni watu wachache waliopo ndani ya Ccm.chama cha mapinduzi kina historia kubwa na uliyotukuka Afrika na Duniani na baadhi ya viongozi waliokitumikia chama vema wanaheshima kubwa hadi leo mf Baba wa Taifa mwl Julius kambarage Nyerere,mzee philipo Mangula,mzee warioba na wengine wengi.Tatizo ni watu wachache waliopo ccm sio Chama
 
Tuache kumbebesha JPM lawama wakati haya yanatokea yeye hakuwepo na hayupo tena Duniani.
Tuache kukatisha tamaa watu wa vyombo vya ulinzi na kazi zao kuwa wanabambikia watu kesi za uongo bila ushahidi.
Tuache kumchonganisha Rais na wasaidizi wake kuwa wanamdanganya sisi ni nani? Tunaojifanya tunaijuwa taasisi ya urais na watu wake kuliko wanavijijuwa wenyewe?.mimi naweza kuamini swala la mbowe lina ukweli kwasababu zifuatazo
1)wakati polisi wanauwawa kibiti chadema haikutoa tamko lolote la kulaani mauwaji yale kama chama kikuu cha upinzani.ila baada ya jeshi kuingia na kufanya yao soon viongozi wa chadema walitoa matamko kuwa watu wanauwawa kibiti na miili inaelea baharini
2)Baada ya uchaguzi kuisha cream yote ya chadema walikimbilia nje ya nchi huku wakiwa washindwa uchaguzi kwa halali bila pingamizi lolote je????? Shida ilikuwa nini anayefahamu anijuze na viashiria vingine siwezi kusema.
Nachoamini mimi mama atabaki kuwa mama tu kaamua kusamehe kama alivyosamehe wengine wengi tu mf escrow aaze ukurasa upya na ushawishi wa watu maarufu kama viongozi wa dini kumwomba wamalize swala kiungwana na kidugu yaishe
Tuache kuchafua system na viongozi waliotangulia mbele ya haki.vyombo vya dola tuviheshimu vina kazi ngumu saana tusiwavunje moyo.leo Ukraine kimenuka raia wanakimbia nchi kutafuta makazi mengine ila vyombo vya dola vipo kazini kutetea nchi bila kuogopa kufa tusiwakejeli bila kujuwa ukweli halisi kuwa wanabambikia watu kesi
 
Kipindi Mbowe anawekwa ndani Rais alikuwa Magufuli siyo.

Basi kama ndiye aliyekuwa Rais upo sahihi
Kwa hiyo wewe unajifanya kwamba hujui kusoma?

Tunasema kesi ilitengenezwa na Magufuli katika mpango wake kamambe wa kufuta upinzani Tanzania.
Hatujasema kipindi Mbowe anawekwa ndani Rais alikuwa Magufuli. Wewe ni Kasomi ka wapi?
 
Chawa kazini
 
Back
Top Bottom