jmushi1
Platinum Member
- Nov 2, 2007
- 24,990
- 22,522
Aise kama hii ni kweli basi mahakama (jopo la mahakimu husika) wawajibike kwani Mawakili wa Serikali walipinga sana jamaa kupewa dhamana kutokana na sababu kuu mbili
1. Aliwasilisha mahakamani passport iliyokwisha muda
2. Ametoa 1.4% ya dhamana stahili tena katika hiyo 1.4% kuna kuku, mbuzi, kondoo nk
Hapa lazima mahakama iwajibike.
Passport iliyokwisha muda ilikubalika vipi kuwa kama valid document?
No verifications procedures?
Hakimu anaweza kupewa pesa ambayo hawezi kuiingiza maisha yake yote ya uhakimu...Rushwa na WIZI MTUPU!