John W. Mlacha
JF-Expert Member
- Oct 4, 2007
- 3,504
- 1,341
Huyu Millya hakuhusika kuleta fitna kwenye hii kesi? nauliza tu nataka nipate jibu...kama hujui usiharibu hali ya hewa
Kitu nawapongeza chadema ni kukataa kumpa cheo chochote na kumnyima asigombee ubunge wa Arusha.
Una ushahidi na unayo yasema....umoja wa vijana haukujihusisha na saga hili mkuu na hata wakina benno walipokuja sijui kamailikuwa unafiki ama la walisema aachwe mbunge afanye kazi zake....Alihusika sana sababu alikuwa kati ya makada wa CCM waliokuwa wanahudhuria mahakamani kwa mbwembwe sasa ni muda muafaka atueleze hela za kumuhonga JAJI zilitoka kwa nani.
Una ushahidi na unayo yasema....umoja wa vijana haukujihusisha na saga hili mkuu na hata wakina benno walipokuja sijui kamailikuwa unafiki ama la walisema aachwe mbunge afanye kazi zake....
Huyu Millya hakuhusika kuleta fitna kwenye hii kesi? nauliza tu nataka nipate jibu...kama hujui usiharibu hali ya hewa
Una ushahidi na unayo yasema....umoja wa vijana haukujihusisha na saga hili mkuu na hata wakina benno walipokuja sijui kamailikuwa unafiki ama la walisema aachwe mbunge afanye kazi zake....
Kitu nawapongeza chadema ni kukataa kumpa cheo chochote na kumnyima asigombee ubunge wa Arusha.
Una ushahidi na unayo yasema....umoja wa vijana haukujihusisha na saga hili mkuu na hata wakina benno walipokuja sijui kamailikuwa unafiki ama la walisema aachwe mbunge afanye kazi zake....
Mimi huwa siandiki habari za kipumbavu kama hizo labda utakuwa umesahu aliandika Kiwte.....Mkuu si wewe ndio ulituambia humu JF kuwa Millya hana lolote anapewa hifadhi na mama wa kizungu...kweli kwenye siasa hakuna adui wa kudumu wala rafiki wa kudumu.
Siwezi kujua ya moyoni mwake lakini kitambo alishaonyesha nia ingawa sikujua kama ilikuwa ni kwa masilahi yake na kambi yake na Lowasa au msimamo wake kama yeye....mkuu Crashwilse tufumbue macho basi kidogo..au unamtetea kwa vile ameshaingia ndani? hatujui kuwa ana nini moyoni.
hata Rosatam Aziz waliekuwa wakimtukana kila siku, akiamua kujiunga chadema leo, basi atakuwa jembe. chadema kweli wanashughuli. inakuwaje mtu huyo huyo mumuite mchafu akija kwenu bila ya kubadilika lolote awe msafi ?