mpayukaji
JF-Expert Member
- Oct 31, 2010
- 940
- 349
Sijui mantiki ya CCM kupanga uchaguzi mdogo wa Arumeru Mashariki kufanyika siku ya wajinga. Je watatangaza matokeo feki ili kuwafanya watu wajinga au kufanya ujinga wa kuchachua? Je wananchi wa Arumeru watachagua mkwe wa Lowassa ambaye alikuwa amekataliwa kwenye mchujo wa kwanza au ukombozi? Time will tell.