Kenyan Security Minister George Saitoti Reported Killed

Today we are celebrating the 4th Anniversaries of these two Hon. who perished in a plane crash back in 2008.So sad it happened again today.
Lord help this country.

kls-wmk.php

kls-reply-spacer.jpg
 
Tatizo lako nini ndg? Si bora yeye alikaa madarakani muda mrefu na amefanya makubwa. Atleast atakumbukwa! Vipi kuhusu viongozi wako wenye u-dr fake, ambao kila uchao ni mipango bila utekelezaji!

Sina tatizo kabisa ila naamini katika "demokrasia ya kupokezana vijiti". Hata hao wenye "Dr feki" naomba izirael awashukie kama hawatawaachia wenzao "vijiti'
 
Poleni wakenya wote kwa msiba huu mkubwa. Bwana ametoa na Bwana ametwaa; jina la BWANA libalikiwe...!
 
waliokufa ni sita...mawaziri wawili, walinzi wawili na marubani wawili mmoja wao akiwa ni mwanamke hao marubani
 
R.I.P. Professor George Saitoti & Deputy!

Frankly speaking, the two guys have been very hardworking leaders, no one can believe this, and the whole nation are in deep shock!

For More info click here: Capital News » 4 dead in Kenya police helicopter crash

saitot.jpg

Prof. Saitoti - Internal Security Minister


ojods1.jpg


Orwa Ojode - Internal Security assistant minister
 
kwani hiyo choper si kama ile ya chadema.!!!
Nao hawana muda, utasikia siku moja, Mbowe, Slaa, Zitto, Lema na Tundu Lissu is no..................due to helicopter cra........., they were going to loot M4C spirits in western zone.!

hona huyu sasa......adabu zero
 
Hivi ni mimi peke yangu au kuna mtu mwingine hapa jamvini anaona very odd kwamba wale wadau wa Kenya hawaja-post chochote? Au pengine ni utamaduni wa jirani zetu kuomboleza 'kimya kimya'.
 
Back
Top Bottom